Ukraine wakomboa mji wa Snihurivka. Hivi ile kura ya maoni nini ilikuwa maana yake?

Ukraine wakomboa mji wa Snihurivka. Hivi ile kura ya maoni nini ilikuwa maana yake?

Iraq , Vietnam, Libya, Afghanistan amog others
Kwa hiyo Mwendazake unataka kusema kuwa US imenyakuwa maeneo ya Iraq, Vietnam, Libya na Afghanstan na kuyakalia kimabavu kama anavyoganya PUTIN apo DONBASS?

Tanzania pia tulimpiga Idi Amin.Je na sisi mikono yetu inanuka damu?
 
Matokeo ya hii vita ni Trump kurudi white house na kukaa pamoja na Putin na Zelensky kumaliza tatizo, pia Kuna kitu inaitwa war propaganda and maneuver ndo kinachoendelea hapo Ukraine. Putin hajashindwa kama watu wanavoweza kufikiria, vita ni m
No. Suluhu ni kuwa Putin aachane na ndoto ya kutaka kuifufua USSR.Aheshimu mipaka ya wenzake.
 
Ukraine wanaendelea kukomboa miji iliyopigiwa kura za maoni na Warusi.

Hivi yule kamanda wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye muuaji namba moja kule Syria, mbona sijaona chochote cha ajabu kwake.

=========

Ukrainian troops say they have taken back the key town of Snihurivka, 50km (30 miles) to the north of Kherson.

Kyiv has also claimed big pushes on two fronts near Kherson, including advances of 7km in some places.

Russia says it has started to exit the city - its top gain in the invasion - but the process could take weeks.

Wednesday's announcement was viewed as a major setback for Moscow's war effort, though Ukrainian officials were sceptical - warning that the manoeuvre could be a trap.

There was no immediate evidence of any mass-scale Russian withdrawal from Kherson.

Ukraine's commander-in-chief Valeriy Zaluzhny said on Thursday that he could not confirm or deny the pull-out - but said his own forces had made important advances.

Gen Zaluzhny also said his soldiers had driven forward on two fronts on the western bank of the Dnipro river - an area of land which encompasses Kherson - taking control of 12 settlements.

Umeleta taarifa ambayo wewe mwenyewe hujaisoma. Nakurudishia hizi aya 3 hapa;

"'Wednesday's announcement was viewed as a major setback for Moscow's war effort, though Ukrainian officials were sceptical - warning that the manoeuvre could be a trap.

There was no immediate evidence of any mass-scale Russian withdrawal from Kherson.

Ukraine's commander-in-chief Valeriy Zaluzhny said on Thursday that he could not confirm or deny the pull-out - but said his own forces had made important advances""
 
Wale waliouliwa Libya ni ndama?

Project ya kuanzisha Islamic state ilisimamiwa na nani ?
Libya kauwawa dictata Gaddafi tu!
Pamoja na mazuri yake Gadafi alikuwa anafadhili magaidi ili kuipandisha chati Libya. Mwaka 1988 Gadaffi alikiri kulipua Pan American flight pale Scotland na aliliwatoa magaidi waliohisika na kulipa fidia ya mabilioni.
 
Libya kauwawa dictata Gaddafi tu!
Pamoja na mazuri yake Gadafi alikuwa anafadhili magaidi ili kuipandisha chati Libya. Mwaka 1988 Gadaffi alikiri kulipua Pan American flight pale Scotland na aliliwatoa magaidi waliohisika na kulipa fidia ya mabilioni.
Barack alianzisha Is kwa maslahi ya nani ?
 
Libya kauwawa dictata Gaddafi tu!
Pamoja na mazuri yake Gadafi alikuwa anafadhili magaidi ili kuipandisha chati Libya. Mwaka 1988 Gadaffi alikiri kulipua Pan American flight pale Scotland na aliliwatoa magaidi waliohisika na kulipa fidia ya mabilioni.
Barack alianzisha Is kwa maslahi ya nani ?
 
Kasome Minsk agreement kwanza manake Upro US ndo unawapa tabu.

Reason kubwa ni Ukraine kugeuka Minsk agreement ndo mengine yafuate
Ukiwa unatuambia tusome hiyo Minsk agreement na wewe pia nenda kasome Budapest Agreement ya 1994 ambapo US, UK,Ukraine na Russia ni signatories ambapo Russia iliridhia kutambua Sovereignty ya Ukraine.Katika makubaliano hayo Ukraine ilipewa uhuru wa kuchagua kati ya kuwa Democracy au Utocracy bila kuingiliwa na Taifa jingine kwa mambo yao ya ndani.Iweje leo hii Putin anakiuka hayo makubaliano?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Unajua wamewithdraw kilometa ngapi?.. Ndo maana nakwambia fuatilia kwa undani weka unazi pembeni kwanza
Wewe ndiyo uweke unazi pembeni maana unaruka ruka tu,huoni pro Russia wenzio wengine wameshaona hali si hali na wameamua kukaa kimya kwa muda hapa.
 
Russia ameweka mgogoro Ukraine ili watu waje mezani kuheshimu Minsk agreement na hana sababu ya kufanya "Full scale war".

Mnaotaka kupima uwezo wake ni pale tu Moscow itakapokuwa under heavy threat au under attack. I repeat hili lisiombewe kutokea!!
Umekazania Minsk agreement tunakupa assignement na wewe kasome Budapest Agreement ya 1994
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Umebugi mwamba. Mkataba wa Minsk II ulikuwa unataka Ukraine na wafuasi wa PUTIN pale Donbass waache kuvamiana. Putin alikataa kuutambua huu mkataba na mapigano yakaendelea. Ndio maana Ikakataa ku-renew mkataba na mkataba ukaisha tarehe 31-March 2019.
Asante Mkuu kuliweka hili sawa,huyu anaruka ruka tu na si ajabu hata alikuwa hajui kilichomo kwa hiyo Agreement na wala hakujua hata kama ilisha expire.
 
Ukrainian troops say they have taken back the key town of Snihurivka, 50km (30 miles) to the north of Kherson.
Watoa taarifa ni wao wenyewe, halafu sema kakitongoji sio "mji"
 
Back
Top Bottom