Ukraine wakomboa mji wa Snihurivka. Hivi ile kura ya maoni nini ilikuwa maana yake?

Umepoteza Mikoa 4 . Kwenye mkoa mmoja umepata wilaya ya Temeke ndo umeshinda vita.
Siku zote hata Milioni huanza na shilingi moja.Kama wewe ni mwamba kweli iweje uchukue mikoa 4 na ndani ya mwezi mmoja tu tayari umeshasurrender hiyo 'temeke'? Tukienda na hiyo assumption maana yake by January utakuwa umeachia Mkoa mmoja mzima.Kulikuwa na maana gani sasa ya kutwaa hayo maeneo kama huwezi kuyalinda?
 
Yaani umepoteza 400 . Umerudisha 30 ndo umeshinda vita. Nyie

Tumeona mkizingua , Moscow anaweza kupiga Kiev akijisikia tena kuharibu miundo mbinu anayoitaka yeye. Unajisifu??

Ukraine yote inashupaza shingo iko vitani.
Kaa ukijua Moscow maisha yanaendelea na Kremlin haishupazi shingo.

The Time akishupaza shingo mtaanza lawama
 

Hauko jeshini na haujui technicalities za vita.

Ungepinga hoja za Generali kuwa kwa nini wali Ondoa watu na jeshi pale?
-Hatari ya bwawa kulipuliwa na kuleta mafuriko.
-Position yao ilikuwa ngumu kusupply huduma sababu ya mto Kwani walitumia pantoni.(Siyo Salama)
-Daraja ktk mto liliharibika.
-Wamerudi upande wa pili wa mto kuweka strong position, sababu ya kijiografia na usalama.

Pinga kuwa hoja zao si sawa siyo kukazania wamekimbia.
Kuna ku’retreat’ na Kuna ku’withdraw’ au ku’abort’ and take New position

Walipowithdraw kutoka Kiev mlishangilia, then nini kilikuja?, MLITEGEMEA HILO?
 
Sawa Generali,naona mabegani na kifuani umejaza medals za kutosha ulizokuwa awarded baada ya kuongoza vita kadhaa kwa ufanisi wa hali ya juu kabisa .

Pamoja na kujua kwako kote hizo technicalities za vita lakini bado umeshindwa kumsaidia Putin kuweza kumaliza hii vita kwa ushindi mkubwa.
 
kwani vita ineisha au ni Poaition Swaps.

UVAMIZI na KUGOMBANIA MAENEO
 
Sasa unashupaza shingo Putin kuvamia nchi huru ?? Nahisi ata Idi Amin ulimuunga mkono alipovamia Kagera
 
Sijakuelewa!! Unataka Ukraine ikubali kutawaliwa na dikteta PUTIN?
 
Sasa unashupaza shingo Putin kuvamia nchi huru ?? Nahisi ata Idi Amin ulimuunga mkono alipovamia Kagera
Mvamizi wa Nchi za watu humjui?

Ukraine anataka kuvunja Minsk agreement, ulitaka achekewe!!

Na inshort huu mgogoro Russia ameuweka mpk Minsk agreement itakapoheshiniwa na Ukraine
 
Russia wamesema wanaachia mji wote wewe uko wapi, zelensky hanampango wa kumuua Putin yeye anataka kurudisha ardhi yao, hiyo ya kutaka kumuua Putin ni ya kwako
 
Russia wamesema wanaachia mji wote wewe uko wapi, zelensky hanampango wa kumuua Putin yeye anataka kurudisha ardhi yao, hiyo ya kutaka kumuua Putin ni ya kwako
Unajua wamewithdraw kilometa ngapi?.. Ndo maana nakwambia fuatilia kwa undani weka unazi pembeni kwanza
 
Russia ameweka mgogoro Ukraine ili watu waje mezani kuheshimu Minsk agreement na hana sababu ya kufanya "Full scale war".

Mnaotaka kupima uwezo wake ni pale tu Moscow itakapokuwa under heavy threat au under attack. I repeat hili lisiombewe kutokea!!
 
Mvamizi wa Nchi za watu humjui?

Ukraine anataka kuvunja Minsk agreement, ulitaka achekewe!!

Na inshort huu mgogoro Russia ameuweka mpk Minsk agreement itakapoheshiniwa na Ukraine
Umebugi mwamba. Mkataba wa Minsk II ulikuwa unataka Ukraine na wafuasi wa PUTIN pale Donbass waache kuvamiana. Putin alikataa kuutambua huu mkataba na mapigano yakaendelea. Ndio maana Ukraine Ikakataa ku-renew mkataba na mkataba ukaisha tarehe 31-March 2019.
 
kamanda wa kulipua bembea za watoto
 
Nenda katibiwe akili , kutoka kiev hadi kherson bado anatafuta njia ya kubadili ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…