Ukraine wakomboa mji wa Snihurivka. Hivi ile kura ya maoni nini ilikuwa maana yake?

Urusi walisema hii miji na majimbo watalinda kwa nuclear sasa hichi tunachokiona ni nini?
 
Hata kama ni ka mtaa ndiyo kamechukuliwa tayari.
  • Ukraine's military claimed it has retaken territory in Kherson after Russia ordered the withdrawal of its troops from parts of the southern region in a major setback for Russian President Putin.
  • But President Volodymyr Zelensky said his troops would move carefully as Ukrainian officials expressed skepticism over Russia's announcement of the retreat, warning that Russian troops could still be present and use scorched-earth tactics.
  • Ukraine has claimed big wins in its southern counteroffensive this week, but Kyiv remains concerned that retreating Russian soldiers could turn the regional capital of Kherson into a “city of death” on their way out
  • Russia's retreat leaves questions in Kherson: The situation is "tense and difficult" in the key southern city of Kherson, where Moscow has ordered a retreat but Ukrainian officials have been wary of potential traps. A local leader said citizens are living in fear and without access to the internet, making them hard to contact.
 
Unajaribu kufafanua zaidi hapa?
 
Mkuu kisa cha russia kupiga long range toka black sea kuja Kyiv kuharibu miundo mbinu na nyumba za raia ni kutokana na Urusi kufeli vita ya ardhini totali sasa mwezi 9

Maisha Kremlin sio shuwari uchumi wa urusi umeanguka na ushahidi mkubwa ni majatijiri wa kirusi wapatao zaidi ya 15 elfu kuhama Russia na kwenda kuwekeza nchi za uturuki, dubai na wengine ulaya, maisha ya Urusi sasa mtihani wananchi wa russia kwa maelfu wameekwa ndani kwa kufanya maandamano kupinga vita ambavyo vimeenda kuwasababishia umasikini lakini kupoteza ndugu zao na waume zao ambao kwa nguvu wamepelekwa vitani

Maisha russia yamekuwa tabu kupindukia haijawahi kutokea watu na vijana mbali mbail zaidi ya milioni 7 kuhama nchi yao ya Russia na kutokomea kusikojulikana kukimbilia hali ya maisha ya urusi juzi kuna tajiri mmoja mpaka amekataa uraia wa urusi na kuomba uraia wa nchi nyengine kwa namna ambavyo warusi wanaichukia nchi yao sababu ya akili fupi ya putin

Putini amepoteza kila kitu wanajeshi wake, uchumi wake na hakuna dalili ya kupata kile alichokitumainia kuivamia Ukraine nadhan habari za leo umeskia Kherson imeanguka ni katika majimbo aliyopiga kura putin sasa hana mbele wa nyuma Iran ndege alizokuwa anaazima zimeangushwa kama nzige na China kauchomoa putin hana mshirika kaachiwa jipu pekee linamtesa
 

Mnatafuta pakujishikilia ila ndio hivyo, jifunze tofauti baina ya mkoa na mji.
 
Kwani operation imeisha??

View attachment 2413438
Sasa kama Russia ilivamia Ukraine mpaka Kyiv kwa mbwembwe zote lakini akaweza kutolewa Kyiv na miji mingine akarudi zake donbas ambako sasa tunaambiwa Kherson imeshaanguka wamesha withdraw vikosi vyao wanakimbia jeshi la Ukraine lakini na kuokoa maisha yao

Russia vita ya ardhini ameshindwa completely sasa amekaa black sea anatumia long range missile kuharibu miundo mbinu na nyumba za raia lakini hana tena jeshi la kuvamia mkono kwa mkono na kuchukua kipande cha ardhi sasa ni makeke ya mdomo tu kwisha habari yake.

Hayo majimbo alisema atayalinda kwa nuclear sasa kherson ishaanguka iko wapi nuclear, zile drone za Iran alizokopeshwa zinaangushwa usiku na mchana, alivamia na msururu wa vifaru 64km long sasa jiulize ule msururu uliishia wapi tena, ngoja US wamtie adabu zaidi west walikuwa wanatafuta namna kumshughulikia putin na kaingia kwenye 18 hana muombezi China kaufyata, sijuw India sijui nani wote kimya
 
Kama unajua kusoma ramani angalia eneo lenye dots za blue ndio mnatupigia kelele kulikomboa 🤣🤣🤣🤣🤣

 
Was a Russian logistics hub, imechukuliwa na wenye nchi yao.
Wait and see they will comeback with full force

cheki watu wanavyoondoka kibabe wakisindikizwa na wananchi halafu manasema wamefurushwa
 
Kama unajua kusoma ramani angalia eneo lenye dots za blue ndio mnatupigia kelele kulikomboa 🤣🤣🤣🤣🤣

Hii ramani uliyotuma saiv si ramani halisi ya hali halisi ilivyo sasa ndio maana niliipuuza, lakini hata kama dots 3 za blue zilizokombolewa ni kwa nini zikombolewe na mlisema mtalinda kwa nuclear? lakini mkasema ukishambulia yale majimbo 4 umeshambulia urusi hivyo nchi ya Urusi itahusika kupigana kama nchi, haya maneno aliyatamka putin ama utuambie kama alikuwa ashapiga mambo yake na hakujua akisemacho
 
nendo kushinda mnalipenda nyiny wehu , wanasema sehem ya Kherson imekombolewa ww unajitungia kuwa wamesema wameshinda vita , Wakiitaj URUSI nyeghe zinakufany uitaje USA wakiitaj USA unaitaja IRAN , wakiitaja IRAN miwasho inakufanya Uitaje ISRAEL , yaan mna ka ukichaa fulan hv , Tunaikosoa Urusi kuvamiaa Ukraine , kichaa mmoja anasema mbona USA alivamia Iraq , Syria , Libyia etc Kiufup huwa akili zenu hkn tofaut na meeh meeh meeh , JIFUNZEN KUJADILI MADA MOJA IISHE NDO MLETE STORY ZENU ZILIPENDWA AMBAZO ZILITOKEA KIPIND HATA SMARTPHONE HAZIPO WALA PLATFORM KAMA HIZI HAZIKUWA NA INFLUENCE KWENYE JAMII
 
Hiyo ramani imechapishwa 09.11.2022
 
ungekuwa timamu mpk sasa ungekuwq umepata jibu kwann waliondoka kiev na hawawez kurud mbali na kurushia mipasho yao km wakiwa mafichoni mbali kbs tofaut na awali waliingia kiev kwa mbwembwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…