Si unajua wachekeshaji Aina ya Clown ndiyo huyu!Huyu jamaa si jana tu hapo alikuwa anataka akutane na putin wafanye mazungumzo wayamalize kaisha kubali kushindwa?
hii vitaDefenders wa Ukraine wafanya mashambulizi ndani Urusi. Mashambulizi hayo ni ya makombora ambayo yamelipua vituko vya mafuta na kuleta mlipuko mkubwa katika Jimbo la Druzhba oil depot in Bryansk kilomita 240 kutoka Moscow.
Milipuko hiyo imetokea kwenye storage muhimu za mafuta ambaya ndio yalikuwa yakisaidia Sana kuwez Sha mashambulizi katika majimbo ya Donhas.
Urusi yenyewe inadai eti ajali ya moto.
Dah comedian Zelensky anaendelea kumjambisha mtu serious Putin!
Soma zaidi kwa kiingereza kwenye iyo linki chini.
Fires burn in Russian city of Bryansk 'after Ukraine missile strike'
Fires broke out at the Druzhba Oil Depot and a military base in the Russian city of Bryansk in the early hours of the morning, after what were widely suspected to be Ukrainian missile strikes.www.dailymail.co.uk
Defenders wa Ukraine wafanya mashambulizi ndani Urusi. Mashambulizi hayo ni ya makombora ambayo yamelipua vituko vya mafuta na kuleta mlipuko mkubwa katika Jimbo la Druzhba oil depot in Bryansk kilomita 240 kutoka Moscow. Milipuko hiyo imetokea kwenye storage muhimu za mafuta ambaya ndio yalikuwa yakisaidia Sana kuwez Sha mashambulizi katika majimbo ya Donhas. Urusi yenyewe inadai eti ajali ya moto. Dah comedian Zelensky anaendelea kumjambisha mtu serious Putin! Soma zaidi kwa kiingereza kwenye iyo linki chini.Fires burn in Russian city of Bryansk 'after Ukraine missile strike'
Fires broke out at the Druzhba Oil Depot and a military base in the Russian city of Bryansk in the early hours of the morning, after what were widely suspected to be Ukrainian missile strikes.www.dailymail.co.uk
Mkulima wa 'bamia' Mbutu-Kigamboni Yericko Nyerere na Warusi wenzake wa Buza kwa Mpalange watabisha sana.
Mkulima wa 'bamia' Mbutu-Kigamboni Yericko Nyerere na Warusi wenzake wa Buza kwa Mpalange watabisha sana.
Moskova ilikuwa ina ulinzi Europe nzima ilikuwa inaogopa na imezamishwaUna uwezo wa kupiga Urusi ilihali majimbo yaliyojitenga ukashindwa kuyarudisha, kwaiyo makombora yanapitiliza yale majimbo na kwenda Urusi sio? Mifumo ya Urusi haifanyi kazi sio? Kuna vitu vya kujiongeza, unapopanga jambo la.kufsnya lzm utafute jina baya la kumpa mbwa unayetaka kumuua viziru tu. Mambo yakigeuka kwa Ukraine wasije kutia huruma hapaa.
Russia hawahitaji kupiga miundo mbinu ya kiraia, wana maana kubwa sana wanaposema ni operation.Nikwambie tu Vita ikapoisha Ukraine wataijenga Nchi yao, wakati sisi na wewe tuko pale pale, na kwa taarifa yako licha ya Vita Ukraine umeme, Internet, Maji na Hospitali bado wana huduma nzuri kuliko 90% ya nchi za Africa
Heheee POLESubili ndani ya mwezi mmoja ndo utajua Rusia ni dhaifu Sana ,kama alivoibomoa Ukureine na yeye mini yake itawaka moto muda sio mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah eti 100%! Hapo unamaanisha vita imekwisha kabisa, lakini unayemshabikia bado anasota kwenye uwanja wa vita, na vijana wake wanapoteza maisha.mtakuwa mnakosea sana. kama kuna mtu ana hisi Urusi itashindwa hii vita! Ukraine imesha poteza 100%
Hapa mrusi anapambana na mataifa makubwa ulaya na marekani kushinda hii vita aachie lile bomu pendwa tu hakuna namna.hapa inabidi tuungane na MK254 kuamini mrusi ni super power wa mchongo ila nahisi kuna hujuma ndani ya jeshi la Urusi na kama Putin asipoangalia anaweza pata pigo moja la hatari
Amepteza 100% ya nini?mtakuwa mnakosea sana. kama kuna mtu ana hisi Urusi itashindwa hii vita! Ukraine imesha poteza 100%
Kwa jinsi wa Ukr wanavyopewa silaha , Russia ajiandae kisaikolojia 😆😆Defenders wa Ukraine wafanya mashambulizi ndani Urusi. Mashambulizi hayo ni ya makombora ambayo yamelipua vituko vya mafuta na kuleta mlipuko mkubwa katika Jimbo la Druzhba oil depot in Bryansk kilomita 240 kutoka Moscow.
Milipuko hiyo imetokea kwenye storage muhimu za mafuta ambaya ndio yalikuwa yakisaidia Sana kuwez Sha mashambulizi katika majimbo ya Donhas.
Urusi yenyewe inadai eti ajali ya moto.
Dah comedian Zelensky anaendelea kumjambisha mtu serious Putin!
Soma zaidi kwa kiingereza kwenye iyo linki chini.
Fires burn in Russian city of Bryansk 'after Ukraine missile strike'
Fires broke out at the Druzhba Oil Depot and a military base in the Russian city of Bryansk in the early hours of the morning, after what were widely suspected to be Ukrainian missile strikes.www.dailymail.co.uk
Ashapata habari ajaribu kama urusi haitakuwa jangwaKwani Nukes anazo yeye peke yake hapa Duniani
Nimeamini watanzania wanaroho mbaaya sana mioyoni mwao, ila niwaoga sana,Kilichobai ni putin kuchukua hatua stahiki za kuchoma hako kanchi na Nuclear.
One Nuclear Warhead anafuta mji mmoja wa ukraine alafu heshima inarudi.
duh!Yale machuma hayana msaada wowote! Yalisha prove failure kule Syria na sasa hivi Ukraine anajipigia tu Russia anavyotaka. Hamna wa kumzuia
wakati kuna zaid ya nusu ya ukraine hawajui kama kuna vita vinaendelea , vita kwa sasa vipo maeneo.kadhaa mashariki mwa ukraine na kusini mwa ukraine kasehemu kadogo sanamtakuwa mnakosea sana. kama kuna mtu ana hisi Urusi itashindwa hii vita! Ukraine imesha poteza 100%
Mimi sina roho mbaya ila sio muoga, ni kuchukua hatua stahiki for the betterment of the world.Nimeamini watanzania wanaroho mbaaya sana mioyoni mwao, ila niwaoga sana,
endelea kuota Ukraine imesha poteza haina njia ya majini tena ata anga nalo lita fungwa siku sio nyingi iyo ni phase 2 sasa subiria ya 3 ndio uta juwa Urusi sio Marekani wala CongoDah eti 100%! Hapo unamaanisha vita imekwisha kabisa, lakini unayemshabikia bado anasota kwenye uwanja wa vita, na vijana wake wanapoteza maisha.
Waswahili tukijishibia zetu mihogo tuna ushabiki maandazi sana!