Ukraine yafanya mashambulizi ndani ya Urusi tena karibu na Moscow

Ukraine yafanya mashambulizi ndani ya Urusi tena karibu na Moscow

Huyu jamaa si jana tu hapo alikuwa anataka akutane na putin wafanye mazungumzo wayamalize kaisha kubali kushindwa?
Si unajua wachekeshaji Aina ya Clown ndiyo huyu!
Haoni kwamba by the time mrusi kamuacha, hiyo nchi itakuwa magofu na maskini Sana!
Nchi nyingi zinarudi kimaendeleo baada ya Vita!
 
Defenders wa Ukraine wafanya mashambulizi ndani Urusi. Mashambulizi hayo ni ya makombora ambayo yamelipua vituko vya mafuta na kuleta mlipuko mkubwa katika Jimbo la Druzhba oil depot in Bryansk kilomita 240 kutoka Moscow.

Milipuko hiyo imetokea kwenye storage muhimu za mafuta ambaya ndio yalikuwa yakisaidia Sana kuwez Sha mashambulizi katika majimbo ya Donhas.

Urusi yenyewe inadai eti ajali ya moto.

Dah comedian Zelensky anaendelea kumjambisha mtu serious Putin!

Soma zaidi kwa kiingereza kwenye iyo linki chini.
hii vita
 
Defenders wa Ukraine wafanya mashambulizi ndani Urusi. Mashambulizi hayo ni ya makombora ambayo yamelipua vituko vya mafuta na kuleta mlipuko mkubwa katika Jimbo la Druzhba oil depot in Bryansk kilomita 240 kutoka Moscow. Milipuko hiyo imetokea kwenye storage muhimu za mafuta ambaya ndio yalikuwa yakisaidia Sana kuwez Sha mashambulizi katika majimbo ya Donhas. Urusi yenyewe inadai eti ajali ya moto. Dah comedian Zelensky anaendelea kumjambisha mtu serious Putin! Soma zaidi kwa kiingereza kwenye iyo linki chini.
Mkulima wa 'bamia' Mbutu-Kigamboni Yericko Nyerere na Warusi wenzake wa Buza kwa Mpalange watabisha sana.
Mkulima wa 'bamia' Mbutu-Kigamboni Yericko Nyerere na Warusi wenzake wa Buza kwa Mpalange watabisha sana.
 
Una uwezo wa kupiga Urusi ilihali majimbo yaliyojitenga ukashindwa kuyarudisha, kwaiyo makombora yanapitiliza yale majimbo na kwenda Urusi sio? Mifumo ya Urusi haifanyi kazi sio? Kuna vitu vya kujiongeza, unapopanga jambo la.kufsnya lzm utafute jina baya la kumpa mbwa unayetaka kumuua viziru tu. Mambo yakigeuka kwa Ukraine wasije kutia huruma hapaa.
 
Moskova ilikuwa ina ulinzi Europe nzima ilikuwa inaogopa na imezamishwa
 
Nikwambie tu Vita ikapoisha Ukraine wataijenga Nchi yao, wakati sisi na wewe tuko pale pale, na kwa taarifa yako licha ya Vita Ukraine umeme, Internet, Maji na Hospitali bado wana huduma nzuri kuliko 90% ya nchi za Africa
Russia hawahitaji kupiga miundo mbinu ya kiraia, wana maana kubwa sana wanaposema ni operation.

Wapo makini sana.
 
Kilichobai ni putin kuchukua hatua stahiki za kuchoma hako kanchi na Nuclear.
One Nuclear Warhead anafuta mji mmoja wa ukraine alafu heshima inarudi.
 
mtakuwa mnakosea sana. kama kuna mtu ana hisi Urusi itashindwa hii vita! Ukraine imesha poteza 100%
Dah eti 100%! Hapo unamaanisha vita imekwisha kabisa, lakini unayemshabikia bado anasota kwenye uwanja wa vita, na vijana wake wanapoteza maisha.

Waswahili tukijishibia zetu mihogo tuna ushabiki maandazi sana!
 
Hii habari haina ukweli. Sijaiona kwenye television yoyote ile ya magharibi
 
hapa inabidi tuungane na MK254 kuamini mrusi ni super power wa mchongo ila nahisi kuna hujuma ndani ya jeshi la Urusi na kama Putin asipoangalia anaweza pata pigo moja la hatari
Hapa mrusi anapambana na mataifa makubwa ulaya na marekani kushinda hii vita aachie lile bomu pendwa tu hakuna namna.
 
Defenders wa Ukraine wafanya mashambulizi ndani Urusi. Mashambulizi hayo ni ya makombora ambayo yamelipua vituko vya mafuta na kuleta mlipuko mkubwa katika Jimbo la Druzhba oil depot in Bryansk kilomita 240 kutoka Moscow.

Milipuko hiyo imetokea kwenye storage muhimu za mafuta ambaya ndio yalikuwa yakisaidia Sana kuwez Sha mashambulizi katika majimbo ya Donhas.

Urusi yenyewe inadai eti ajali ya moto.

Dah comedian Zelensky anaendelea kumjambisha mtu serious Putin!

Soma zaidi kwa kiingereza kwenye iyo linki chini.
Kwa jinsi wa Ukr wanavyopewa silaha , Russia ajiandae kisaikolojia 😆😆

Kaanza kuleta vitisho vya kipuuzi kama N Korea as if wengine hawana nukes

Screenshot_20220426-072141.png

Screenshot_20220426-071909.png
 
Kilichobai ni putin kuchukua hatua stahiki za kuchoma hako kanchi na Nuclear.
One Nuclear Warhead anafuta mji mmoja wa ukraine alafu heshima inarudi.
Nimeamini watanzania wanaroho mbaaya sana mioyoni mwao, ila niwaoga sana,
 
mtakuwa mnakosea sana. kama kuna mtu ana hisi Urusi itashindwa hii vita! Ukraine imesha poteza 100%
wakati kuna zaid ya nusu ya ukraine hawajui kama kuna vita vinaendelea , vita kwa sasa vipo maeneo.kadhaa mashariki mwa ukraine na kusini mwa ukraine kasehemu kadogo sana
 
Dah eti 100%! Hapo unamaanisha vita imekwisha kabisa, lakini unayemshabikia bado anasota kwenye uwanja wa vita, na vijana wake wanapoteza maisha.

Waswahili tukijishibia zetu mihogo tuna ushabiki maandazi sana!
endelea kuota Ukraine imesha poteza haina njia ya majini tena ata anga nalo lita fungwa siku sio nyingi iyo ni phase 2 sasa subiria ya 3 ndio uta juwa Urusi sio Marekani wala Congo
IMG_20220425_152911_931.jpg
 
Back
Top Bottom