Ukraine yaharibu Makombora ya S-300 ya Urusi

Nimekuwekea mashirika mangapi ya habari yaliyoripoti hii habari, kama hutaki kuamini fresh
 
Dw pia huwaamini?
Juzijuzi hapa Ukraine wameharibu "Podlet K1 Radar' hii ni radar ya kisasa kabisa ya Urusi ambayo inatumiwa na S-400 missile systems. Kwahiyo Kama radar imeharibiwa inamaanisha hata hizo launchers za S-400 zingekuepo eneo hilo nazo zingeharibiwa.

Na kwa hali ilivyo sasa Urusi hawezi kupeleka S-400 ndani ya maeneo aliyoyateka maana anaogopa zikishambuliwa na Ukraine itakua ni aibu kwao pia itasababisha zikose soko

Russia's most advanced Podlet-K1 air defence radar destroyed by Ukraine inside Russian territory - Defence View
 
Nimekuwekea mashirika mangapi ya habari yaliyoripoti hii habari, kama hutaki kuamini fresh
Habari gani tena Mkuu!!!,Kama ni ya shambulizi lililofanyika Odessa ni kweli wamerusha Makombora huko ya kutosha lakini kwenye kuziharibu hizo HIMARS ndo hakuna evidence kama unayo tuwekee
 
Habari gani tena Mkuu!!!,Kama ni ya shambulizi lililofanyika Odessa ni kweli wamerusha Makombora huko ya kutosha lakini kwenye kuziharibu hizo HIMARS ndo hakuna evidence kama unayo tuwekee
Naona umeamua kushupaza shingo tu 🀣🀣🀣🀣 unataka video au

Just Google "Russia war updates"
 

Attachments

  • Screenshot_20220725-110815_Chrome.jpg
    191.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220725-111437_Chrome.jpg
    255.9 KB · Views: 6
Hili tukio sio dogo ona mashirika makubwa yanavyoripoti

Leta chanzo kingine cha taarifa yako πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Yani unaleta chanzo kinachosema "Russia said..." alafu unataka tujadili? Artillery zenu hizi hapa moja imekamatwa nyingine imeharibika yenyewe kutokana na maintenance mbovu na matumizi ya kupitiliza
 
Piga Putin kabisa jambazi la dunia
 
Mashindano yote haya,Vita inapiganiwa ndanni ya Ukraine, Russia Ni showari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…