Ukraine yaharibu Makombora ya S-300 ya Urusi

Tumia akili hata kidogo tu . Iangalie hiyo picha iliyoshambuliwa kwa umakini bila ushabiki ujiulize hivi inawezekaje huku chini iharibike kiasi hicho lkn mkonga umeendelea kusimama wima 90Β° acha kuanguka ? Edited. Ova
 
Tumia akili hata kidogo tu . Iangalie hiyo picha iliyoshambuliwa kwa umakini bila ushabiki ujiulize hivi inawezekaje huku chini iharibike kiasi hicho lkn mkonga umeendelea kusimama wima 90Β° acha kuanguka ? Edited. Ova
Usibishe mkuu maana Wenyewe Russia wame confirm.
Ukibisha halafu tayari wao wao wenyewe wameriport utaoneka mahaba yamekuzidi.
 
Ukraine ikipasua vifaa vyao inatoa mpaka video, kama ni majeneral hadi picha na majina unayaona.
 
Uzuri wa Ukraine ni huu, wakipiga utaona tu wanakupa mpaka uthibitisho.
 
Shida nyie wa UKRAINE kwa maneno ya kwenye kanga uwa mmeshindikana ila mkija uwanja wa vita hamna kitu.leteni basi picha hata moja kama hii,ili tujue kituo kinachofata. Mnaferi wapi kwani

 
Ukraine yasema mpaka sasa imelipua maghala ya silaha 50 ya Urusi kwa kutumia Makombora ya HIMARS.


KYIV, July 25 (Reuters) - Ukraine said on Monday its forces had used U.S-supplied HIMARS rocket systems to destroy 50 Russian ammunition depots since receiving the weapons last month.

In comments on national television, Defence Minister Oleksiy Reznikov underlined the growing impact that the High Mobility Artillery Rocket Systems (HIMARS) are having as Ukraine tries to repel Russia's invasion.

"This cuts their (Russian) logistical chains and takes away their ability to conduct active fighting and cover our armed forces with heavy shelling," Reznikov said

Ukraine says it has destroyed 50 Russian ammunition depots using HIMARS
 
Sasa wanashindwa vipi kurudisha hata kijiji kimoja kwenye mikono ya WARUSI
 
Sasa wanashindwa vipi kurudisha hata kijiji kimoja kwenye mikono ya WARUSI
Ndo maana wanashambulia Kwanza logistics za jeshi ili iwe ngumu kusupply Kwa troops then ndo counteroffensive ianze. Haya mambo sio kama kwenye video game mkuu.
Wewe jiulize kwanini huyo Mrusi hajaenda Kwa Ile Kasi alokua anaenda nayo ya kuchukua miji tangu HIMARS zianze kufanya kazi ya kulipua maghala ya silaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…