Wiki hii Russia keshapoteza si chini ya ndege 10 za kivita.Sasa nianza kuelewa kwanini week hii Russia kapoteza ndege nyingi pamoja na drones,kumbe mzigo ushaingia kazini halafu cha ajabu Marekani walisema hautaingia mpk mwishoni mwa mwaka
Kipigo atakachopata Marekani siku siyo nyingi atajuta kuingilia vita isiyomuhusu.Wiki hii Russia keshapoteza si chini ya ndege 10 za kivita.
Let's see.Kipigo atakachopata Marekani siku siyo nyingi atajuta kuingilia vita isiyomuhusu.
Je Russia ataweza kulinda jimbo la donbas kama alivyofanya kwa crimea?Wiki hii Russia keshapoteza si chini ya ndege 10 za kivita.
“We finished up with the 🇷🇺professional army, and now it’s time to defeat unprofessional” - Gen. Valerii Zaluzhny, a Commander-in-Chief of the Armed forces of Ukraine.Tulishasema Russia hawezi kushinda hii vita na hao makuruta anaowapeleka Ukraine Putin yuko sahihi kuwaambia waage kabisa kwa sababu hawatakaa warudi tena Russia labda wajiongeze wajisalimishe wakiwa vitani.
MUNGU mwenyewe amewapa kibali marekani cha kuitalawa hii dunia sometimes tuwe wapole Tu kubishana na mpango wa MUNGUKipigo atakachopata Marekani siku siyo nyingi atajuta kuingilia vita isiyomuhusu.
[emoji3][emoji3][emoji3]Kipigo atakachopata Marekani siku siyo nyingi atajuta kuingilia vita isiyomuhusu.
MUNGU mwenyewe amewapa kibali marekani cha kuitalawa hii dunia sometimes tuwe wapole Tu kubishana na mpango wa MUNGU
Hapa pana kazi ya ziada.Crimea aliachiwa tu akajiona mbabe,Donbas wababe wa Dunia wameamua awathibitishie kama kweli huo uwezo anaoJe Russia ataweza kulinda jimbo la donbas kama alivyofanya kwa crimea?
A bunch of farts...sorry to say USA are the giants of this world.Kipigo atakachopata Marekani siku siyo nyingi atajuta kuingilia vita isiyomuhusu.
Operated by US Army..The NASAMS is made by USA [emoji631] and Norway [emoji1189], the system protects Washington D.C, and is the first Advanced NATO Air Defense System delivered to Ukraine [emoji1255]
Na kibali cha kusambaza ushoga.........huyo atabaki kua Mungu wao tu na zama.zake zimepitaMUNGU mwenyewe amewapa kibali marekani cha kuitalawa hii dunia sometimes tuwe wapole Tu kubishana na mpango wa MUNGU