Ukraine yapokea mifumo ya ulinzi wa anga NASAMS kutoka Marekani

Ukraine yapokea mifumo ya ulinzi wa anga NASAMS kutoka Marekani

Ayatollah wamemuwashia satellites huko mashuka anayaona mazito anashinda na pitshot tuu.
Kila mtu ashinde mechi zake na mungu wenu wa ushoga
Screenshot_20220925-215030_Sputnik.jpg



Hakuna kuogopana tena ni mwendo wa kupeana live za uso
20220925_215650.jpg
 
I
Tulishasema Russia hawezi kushinda hii vita na hao makuruta anaowapeleka Ukraine Putin yuko sahihi kuwaambia waage kabisa kwa sababu hawatakaa warudi tena Russia labda wajiongeze wajisalimishe wakiwa vitani.
Ivi kaishiwa kabisa wanajeshi?
 
Tulishasema Russia hawezi kushinda hii vita na hao makuruta anaowapeleka Ukraine Putin yuko sahihi kuwaambia waage kabisa kwa sababu hawatakaa warudi tena Russia labda wajiongeze wajisalimishe wakiwa vitani.
Mshamegwa na mtaendelea kumegwa na mrusi na hakuna la ajabu mtafanya
 
Kyiv. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekiri rasmi nchi yake imepokea mifumo ya ulinzi wa anga NASAMS kutoka serikali ya Marekani.

View attachment 2367995

The National Advanced Surface to Air Missile System (NASAMS) is a medium-range, network-centric air defence system designed and developed jointly by Raytheon and Kongsberg Defence & Aerospace, primarily for the Royal Norwegian Air Force (RNoAF).

The anti-aircraft missile system (NASAMS) combines Norwegian launchers and control systems with the American AIM-120 Advanced Medium Range Air-to-Air Missile (AMRAAM). It is capable of hitting 72 targets simultaneously.
Linaemda kufa jitu , subiri muone
 
Hii vita ina sehemu mbili au tatu kwa marekani na zote kwake ni faida tupu!
1. Anaidhoofisha urusi huku yeye akiwa anaendelea na mishe zake
2. Anatangaza soko la siraha zake
3. Amepata iwanja wa kutesti siraha zake live bila chenga
Akili kubwa hiyo , yaani mathematical calculations zilizopigwa na wale miamba WA pentagon ni balaa
 
Back
Top Bottom