Ukraine yapokea mifumo ya ulinzi wa anga NASAMS kutoka Marekani

Ukraine yapokea mifumo ya ulinzi wa anga NASAMS kutoka Marekani

"Two batteries will be transferred first. A battery can have up to eight launchers, as well as a command post, a radar that will see the targets."
 
Sasa naanza kuelewa kwanini week hii Russia kapoteza ndege nyingi pamoja na drones,kumbe mzigo ushaingia kazini halafu cha kushangaza Marekani walisema hautaingia mpk mwishoni mwa mwaka
Kumbuka mzigo uliingia toka septemba lakini kipigo kikubwa toka urusi kwa ukraine kwa mashambulizi ya anga kimetokea Oktoba mbele ya mzigo huo wa Marekani!!! Huo mzigo hauna kitu, ni biashara tu hiyo!!!
 
Drones za urusi zinajipigia tu huko ukraine huku mzigo NASAMS ukiwa umechapa usingizi! Oktoba hii missiles na drones za urusi zimejichapia sana huko ukraine na karibu nchi nzima imeingia giza!!
 
The NASAMS is made by USA [emoji631] and Norway [emoji1189], the system protects Washington D.C, and is the first Advanced NATO Air Defense System delivered to Ukraine [emoji1255]
hii NASAMS ndio inalinda washngton kumbe na imeshindwa kudhibiti drones za Iran?

aiseeee......!
 
Nyie nendeni mswali swala ya mwisho mkalale mambo ya air defence systems hamyafahamu.
 
Lete
Sasa naanza kuelewa kwanini week hii Russia kapoteza ndege nyingi pamoja na drones,kumbe mzigo ushaingia kazini halafu cha kushangaza Marekani walisema hautaingia mpk mwishoni mwa mwaka
Lete
takwimu Ila zisiwe za kutokea buza kwampalange😄
 
Back
Top Bottom