Sidhan kama tathmini yako ni sahihi,
Moja- Marekani imeshasema itaisaidia kijeshi Taiwani ikivamiwa na China, ikiwemo kutuma majeshi. Kwa hiyo Tegemea Taiwan, US vs China.
Pili- Taiwani ina jeshi imara na silaha za kisasa na nia ya kutetea taifa Lao. Taiwan ina silaha bora kuliko Ukraine, kwa hiyo huwezi ifananisha na hongkong kivyovyote.
Tatu- Wamerakani wameshasema watai-arm Taiwan to the teeth kiasi kwamba hakuna atakayejaribu kuivamia Taiwan.
Nne- Japan na Australia zimeshasema zitaingia moja kwa moja kijeshi kuisaidia Taiwan, na defence spending ya Japan imeongezwa mara dufu. India nayo imeshaonyesha utayari huo kuitetea taiwani.
-Changamoto kubwa ya China ni kwamba jeshi lake halina uzoefu wa kupigana vita kubwa kwa miongo- hivyo halijawa tested kwenye modern war ukilinganisha na Russia au Marekani.
- Vita ya Tiwan inaweza kuwa hv
●NATO, Taiwan, Japan, India, South Korea, Australia, New Zealand, Philippines, Indonesia, Vietnam and etc. Vs China & Russia.
*Sasa katika mazingira haya ndo utategemea uvamizi kuwa mraisi kama hongkong? Hata China mwenyewe hawezi kuwaza hvi.