Ukraine yapokea mifumo ya ulinzi wa anga NASAMS kutoka Marekani

Ukraine yapokea mifumo ya ulinzi wa anga NASAMS kutoka Marekani

Je Russia ataweza kulinda jimbo la donbas kama alivyofanya kwa crimea?
Hata Crimea itarudishwa. Mwaka 2014 Ukraine ilikuwa na jeshi la mgambo tu la watu wasiozidi 250,000. Putin alipoingia Crimea, hakukuwa na mapigano yoyote, bali alijimegea tu. Kuanzia wakati Ule Ukraine ikaanza jitihada za kujengs jeshi la ulinzi na kuanza kufufua viwanda vya silaha. Ndiyo maana safari hii Urusi akakumbana na kizingiti. Mbaya zaidi baada ya uvamizi huu, Ukraine ikapata ufadhili wa kufundisha jeshi lake huko Marekani, Poland, na Uingereza, na mpaka sasa hivi jeshi la Ukraine linakaribia millioni moja, Baada ya jeshi hilo jipya lilifundishwa nje kuanza kuingia mapambanano na silaha mpya, ndiyo sasa Putin atajua tu
 
“We finished up with the [emoji635]professional army, and now it’s time to defeat unprofessional” - Gen. Valerii Zaluzhny, a Commander-in-Chief of the Armed forces of Ukraine.
YAANI mimi nisichoelewa ni kwamba,hivi hayo majimbo yanayopigishwa kura za kujiunga na Urusi.Yanapiga kura chini ya majeshi ya Ukraine au majeshi ya Urusu?.
 
The National Advanced Surface to Air Missile System

Jina tu lenyewe linatisha. Hata HIMARS inaanza na High Mobility, hizi NASAMS tutasikia mengi mno huko.
Usilolijua. Hiyo siyo silaha ni kinga tu ya kuzuia msipigwe.
 
Akili kubwa hiyo , yaani mathematical calculations zilizopigwa na wale miamba WA pentagon ni balaa
Walishindwa kupiga hizo calculation Afghanistan ambapo jeshi lote la NATO lilisha weka base ndani ya Afghanistan ndio mje muweze kuwapigia mahesabu mrusi? Hayo ni madhara ya kutumia Matako kufikili
 
Walishindwa kupiga hizo calculation Afghanistan ambapo jeshi lote la NATO lilisha weka base ndani ya Afghanistan ndio mje muweze kuwapigia mahesabu mrusi? Hayo ni madhara ya kutumia Matako kufikili
Kwa akili yako unafikiri USA aliondoka afghanstan baada ya kushindwa vita?
 
[emoji23][emoji23]timu dictatorship bhana yaani kabisa eti unatuletea speech toka kwa akina Museven?sifa kubwa ya madikteta ni uongo hili lipo wazi kama kichwa chako hakiko one side bending.
Ngoja sie tushuhudie demoghasia
Screenshot_20220926-090508_RT News.jpg
Screenshot_20220926-090552_Sputnik.jpg
Screenshot_20220926-090633_Sputnik.jpg
Screenshot_20220926-090653_Sputnik.jpg
 
Back
Top Bottom