Ukraine yapokea mifumo ya ulinzi wa anga NASAMS kutoka Marekani

I
Tulishasema Russia hawezi kushinda hii vita na hao makuruta anaowapeleka Ukraine Putin yuko sahihi kuwaambia waage kabisa kwa sababu hawatakaa warudi tena Russia labda wajiongeze wajisalimishe wakiwa vitani.
Ivi kaishiwa kabisa wanajeshi?
 
Tulishasema Russia hawezi kushinda hii vita na hao makuruta anaowapeleka Ukraine Putin yuko sahihi kuwaambia waage kabisa kwa sababu hawatakaa warudi tena Russia labda wajiongeze wajisalimishe wakiwa vitani.
Mshamegwa na mtaendelea kumegwa na mrusi na hakuna la ajabu mtafanya
 
Linaemda kufa jitu , subiri muone
 
Hii vita ina sehemu mbili au tatu kwa marekani na zote kwake ni faida tupu!
1. Anaidhoofisha urusi huku yeye akiwa anaendelea na mishe zake
2. Anatangaza soko la siraha zake
3. Amepata iwanja wa kutesti siraha zake live bila chenga
Akili kubwa hiyo , yaani mathematical calculations zilizopigwa na wale miamba WA pentagon ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…