Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Mchina hajaufyata ila hataki kufanya maamuzi kutokana na reaction za mahasimu wake, nae anapiga hesabu zake kama mrusi, bado ana lengo la kuichukua taiwan kwa amani kabisa kupigana ni njia ya mwisho kabisa, na anaweza kuibeba kama hongkong tuHujiulizi tu kwanini mchina kaufyata kuhusu Taiwan licha ya mikwara kibao?
Putin ana option mbili tu zilizobakia:Sasa naanza kuelewa kwanini week hii Russia kapoteza ndege nyingi pamoja na drones,kumbe mzigo ushaingia kazini halafu cha kushangaza Marekani walisema hautaingia mpk mwishoni mwa mwaka
Yaani watu ndo kwanza wanaamka. Muda huo Russia pumzi inazidi kukata.Kwa west vita ndo kama inaanza.
plus member wa NATO kuongezekaHii vita ina sehemu mbili au tatu kwa marekani na zote kwake ni faida tupu!
1. Anaidhoofisha urusi huku yeye akiwa anaendelea na mishe zake
2. Anatangaza soko la siraha zake
3. Amepata iwanja wa kutesti siraha zake live bila chenga
yaani hii ngoma ikipigwa itachezwa maeneo 72 kwa wakati mmoja., mlete 'mdhungu'' Mrusi kaumia sana na atajuta sana mwaka huuKyiv. Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekiri rasmi nchi yake imepokea mifumo ya ulinzi wa anga NASAMS kutoka serikali ya Marekani.
View attachment 2367995
The National Advanced Surface to Air Missile System (NASAMS) is a medium-range, network-centric air defence system designed and developed jointly by Raytheon and Kongsberg Defence & Aerospace, primarily for the Royal Norwegian Air Force (RNoAF).
The anti-aircraft missile system (NASAMS) combines Norwegian launchers and control systems with the American AIM-120 Advanced Medium Range Air-to-Air Missile (AMRAAM). It is capable of hitting 72 targets simultaneously.
Ahahahahah!!Kipigo atakachopata Marekani siku siyo nyingi atajuta kuingilia vita isiyomuhusu.
Wamaanisha raia wa Urusi laki tatu waliosukumwa kwa nguvu kwenda vitani wataiangusha dola ya marekani??Kipigo atakachopata Marekani siku siyo nyingi atajuta kuingilia vita isiyomuhusu.
Pumzi inazidi kukata wakati leo watu wanaesabu kura za kumpa mrusi uhalali wa kuteketeza panya road wate watakaoonekana kuyasogelea hayo maeneo. Mzee amka usingizini kabla ya kuona chaka la kujisaidia haja kubwa. Utapata aibu shauriyakoYaani watu ndo kwanza wanaamka. Muda huo Russia pumzi inazidi kukata.
Aliyekuambia ni ya kushambulia ni nani?Usilolijua. Hiyo siyo silaha ni kinga tu ya kuzuia msipigwe.
Hahaha wamekuwa wanyonge saaana.Kinyonge saaaaana [emoji28][emoji2][emoji1787]
Sidhan kama tathmini yako ni sahihi,Mchina hajaufyata ila hataki kufanya maamuzi kutokana na reaction za mahasimu wake, nae anapiga hesabu zake kama mrusi, bado ana lengo la kuichukua taiwan kwa amani kabisa kupigana ni njia ya mwisho kabisa, na anaweza kuibeba kama hongkong tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Soon wanawake wataanza kumnyoa hayo mandevu matakataka bila maji
Jeshi la Urusi Lina wanajeshi zaidi ya laki Tisa.“We finished up with the 🇷🇺professional army, and now it’s time to defeat unprofessional” - Gen. Valerii Zaluzhny, a Commander-in-Chief of the Armed forces of Ukraine.
NATO, Taiwan, Japan, India, South Korea, Australia, New Zealand, Philippines, Indonesia, Vietnam and etc. Vs China & Russia.Sidhan kama tathmini yako ni sahihi,
Moja- Marekani imeshasema itaisaidia kijeshi Taiwani ikivamiwa na China, ikiwemo kutuma majeshi. Kwa hiyo Tegemea Taiwan, US vs China.
Pili- Taiwani ina jeshi imara na silaha za kisasa na nia ya kutetea taifa Lao. Taiwan ina silaha bora kuliko Ukraine, kwa hiyo huwezi ifananisha na hongkong kivyovyote.
Tatu- Wamerakani wameshasema watai-arm Taiwan to the teeth kiasi kwamba hakuna atakayejaribu kuivamia Taiwan.
Nne- Japan na Australia zimeshasema zitaingia moja kwa moja kijeshi kuisaidia Taiwan, na defence spending ya Japan imeongezwa mara dufu. India nayo imeshaonyesha utayari huo kuitetea taiwani.
-Changamoto kubwa ya China ni kwamba jeshi lake halina uzoefu wa kupigana vita kubwa kwa miongo- hivyo halijawa tested kwenye modern war ukilinganisha na Russia au Marekani.
- Vita ya Tiwan inaweza kuwa hv
●NATO, Taiwan, Japan, India, South Korea, Australia, New Zealand, Philippines, Indonesia, Vietnam and etc. Vs China & Russia.
*Sasa katika mazingira haya ndo utategemea uvamizi kuwa mraisi kama hongkong? Hata China mwenyewe hawezi kuwaza hvi.
Hamna ndugu yangu.Hii vita ina sehemu mbili au tatu kwa marekani na zote kwake ni faida tupu!
1. Anaidhoofisha urusi huku yeye akiwa anaendelea na mishe zake
2. Anatangaza soko la siraha zake
3. Amepata iwanja wa kutesti siraha zake live bila chenga
Ambao kwa kweli bila aibu kabisa walikimbizwa na kikundi Cha Afghanistan maarufu kama Taleban.A bunch of farts...sorry to say USA are the giants of this world.
Kwa hiyo wakina mama walishinda watawaalika Marekani wake wawatawale?Naona kina mama wameamua kula sahani moja na Ayatollah, wala hamna haja ya HIMMARS.
Bwana Elon Musk kawasha satellite zake, wamama wa Iran wanakula internet connection bila chenga, baada ya ayatollah kuzima internet connectionAyatollah wamemuwashia satellites huko mashuka anayaona mazito anashinda na pitshot tuu.