Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

Ukraine ishapokea silaha imeshapokea silaha nzito za aina zote labda bado nuclear ndio hawajapokea.
Ila hakuna silaha ambayo Ukraine hawajapokea kutoka Western powers.
Hiyo vita inayoendelea sasa hivi ni tayari full out war labda kama haujui maana ya full out war.
 
Hiyo ni vita unatarajia waondoke kwa siku moja!?
Wewe subiri vita iendelee kesha uone matokeo yake.
kwan walifikaje hapo ? au walitembea kutokea kyiev mpk kursk ?
 
Tizameni Aljazeera sasa hivi Ukraine washaanza kurudishwa nyuma na vikosi vimeongezeka hapo Kursk.
Ni kama nilivyosema tu Ukraine hawezi kuhimili mapigano kwa idadi ndogo ya jeshi.
 
wamepokea washatumia ndan ya urusi ? Urusi kashatumia zake zote ndan ya Ukraine
 
wamepokea washatumia ndan ya urusi ? Urusi kashatumia zake zote ndan ya Ukraine
Unataka nikuletee ripoti ya maeneo ndani ya Urusi yaliyoshambuliwa na makombora ya Ukraine!?
Au unajisahaulisha aisee!?
Vijiji vya mipakani na Russia si vilishambuliwa mwaka huu?
 
Mkuu hata robo ya Silaha nzito Haina.Hajapokea cluster bombs,long range missiles labda ant- air missiles lakini Hana silaha za maangamizi.
 
Mkuu hata robo ya Silaha nzito Haina.Hajapokea cluster bombs,long range missiles labda ant- air missiles lakini Hana silaha za maangamizi.
😂😂😂😂Bro katizame silaha alizopewa Ukraine halafu uone.
 
Mkuu nahisi naongea na kichaa uwe na wakati mwema.
Kuna watu wengine kama 4by94 ni form four failure zero kabisa, 💯 hivyo kumwelewesha inabidi utumiye nguvu kidogo. Design za akina Nape ( four ya mwishoni mkiani kabisa) leo waziri, kweli kisa CCM.
 
Mkuu hata robo ya Silaha nzito Haina.Hajapokea cluster bombs,long range missiles labda ant- air missiles lakini Hana silaha za maangamizi.
Anazo mpaka silaha za sumu kapiga hapo kusk
 
Mkuu hata robo ya Silaha nzito Haina.Hajapokea cluster bombs,long range missiles labda ant- air missiles lakini Hana silaha za maangamizi.
 
Attachments

  • Screenshot_20240814-105212.png
    247.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240814-105252.png
    257.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240814-105518.png
    247.1 KB · Views: 1
Sikweli.
 
Attachments

  • Screenshot_20240814-130250.png
    495.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240814-124513.png
    425 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240814-123938.png
    330.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240814-123601.png
    256.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240814-123209.png
    337.8 KB · Views: 1
Unataka nikuletee ripoti ya maeneo ndani ya Urusi yaliyoshambuliwa na makombora ya Ukraine!?
Au unajisahaulisha aisee!?
Vijiji vya mipakani na Russia si vilishambuliwa mwaka huu?
we mtu una ttzo mahala sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…