Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Myahudi yupi alimuua yesu??
Mtaje??
Hivi unajipendekezaje kwa watu kama hao ambao wanaamini kuwa nyie ni Waabudu sanamu na ni halali kuuawa?Hakuna kitu kama hicho! Hizo ni propaganda za Waislmu kutuingiza Wakristo kwenye mtego wa kuilaani Israeli.
Nchi zote za kikristo ziko pamoja na Israeli,na kihistoria ni Mazayuni wa Kikristo waliosaidia kuundwa kwa Taifa la Israel 1948!
Wayahudi feki hao (waabudu shetani)Na wayahudi wanasema wazi kuwa Sanhedrin ikianzishwa upya na kuanza kutoa hukumu kwa mujibu wa Torah basi wakiristo halali yao ni kuuawawa maana wako regarded na uyahudi kama idol worshippers
Haaaaa 😀😀😀😀 kama kawaida mzee wa misifa yaani ww kila sehemu duniani ulisha wahi kufika, kila kazi ilipo hapa duniani ww ni mtaalamu wake dah ila hii bongo.MKUU HATA ISRAELI HUJAWAHI KUFIKA ILA MIMI KILA MARA NAENDA JERUSALEM NA BETHELEEM KUHIJI......
SASA SIJUI UTANIDANGANYA NINI.
Ni kitu cha ajabu manabii wakubwa wote kwenye uislamu ni wayahudi lakini cha ajabu baadhi ya waislamu wanawachukia wayahudi hadi wanakera
Waisilam hawajawahi kuwa na chuki kwa wayahudi na ndio maana kuna Wayahudi kibao wanaishi kwenye nchi za kiislam , wenye chuki na wayahudi ni nyinyi wagaratia na historia inaonesha kuwa wagaratia ndo wahusika wakubwa wa maangamizi dhidi ya wayahudi.Ni kitu cha ajabu manabii wakubwa wote kwenye uislamu ni wayahudi lakini cha ajabu baadhi ya waislamu wanawachukia wayahudi hadi wanakera
Ibrahim alikuwa mkurdi wala hakuwa myahudi.Babu yao wayahudi anashindwaje kuwa myahudi
Tofautisha myahudi na mwisrael watoto wa Yakobo
Kwaiyo wewe mungu wako ni yesu au mungu wa wayahudi?WAULIZE WAKRSTO WAKUJIBU MKUU.
NI MUNGU WAO NA MWANA WA MUNGU WAO YEHOVA.
NB: USIMCHANGANYE MUNGU WA WAYAHUDI NA WAKRISTO NA MUNGU WA WAARABU NA WAISLAMU.
NI VITU VIWILI TOFAUTI MKUU
japo lugha tata, ila hakika kuna division kubwa hizi dini zimeleta na kadri siku zinaenda hata utanzania wetu utafata baada ya diniWamatumbi wapo kugombania mabwana zao huku mizungu huku miarabu 😂 😂
Myahudi ni mtu yeyote wa ukoo wa Ibrahim akiwemo Ibrahim mwenyewe ndie mwanzilishi wa uyahudi kwa ahadi aliyopewa na MunguIbrahim alikuwa mkurdi wala hakuwa myahudi.
Mitume walikatwa vichwa, walichomwa katika pipa la mafuta, wengine wakatundikwa mpka msalabani. Na wengine walipondwa kwa mawe mpka kifo kisa kumtaja Yesu.Hamna anayekulazimisha sikiliza hiyo video ukifika Israel uwe makini kumtaja Yesu usije kwenda jela.
Sema nyinyi warokole msio kuwa na akili kutoka bara la giza ndo wenye shobo na wayahudi hali yakuwa nyinyi ni kama mavi tu mbele yao.Hakuna kitu kama hicho! Hizo ni propaganda za Waislmu kutuingiza Wakristo kwenye mtego wa kuilaani Israeli.
Nchi zote za kikristo ziko pamoja na Israeli,na kihistoria ni Mazayuni wa Kikristo waliosaidia kuundwa kwa Taifa la Israel 1948!
Kama Mungu wenu ni mmoja mbona Imani ya Kiyahudi haiamini kama Yesu ndio Masiha?MKUU UNADHANI NDIO HII ITAWAFANYA WAKRSTO WAWAUNGE MKONO WAISLAMU NA WARAABU KWENYE CHUKI YAO DHIDI YA WAARABU.
NB: WAISLAMU NA WAARABU WANASAHAU KUA MUNGU WA WAKRSTO NA WAYAHUDI NI MMOJA YEHOVAH KUPITIA TORATI YA KIYAHUDI
SASA MBONA NIMEINGIA SANA MAKANISANI NA KWENYE MASINAGOGI NA NILIMTAJA SANA YESU SIKUFUNGWA.
Ndio nikasema unapoteza mda kuwashawishi wawapende waarabu waislamuSijakuchagulia mpenzi
Jamaa naomba nikushambulie. Ukristu upo israel. Si kwa wingi upo. Hiyo video vlip ni ya muda saaaaaana march huko, Ulipoikuta wameamua tu kushare haihusiani kabisa na wakati huu wa hapa karibuni.
Na ilikua bill tu, haikua imeongelewa kama ulivyongea. Ilikua propaganda.
Sasa na wewe acha propaganda.
MKUU KASOME TORATI GOMBO LA NABII ISAYA NA NABII NEHEMIAH AFU UON3 KAMA WAYAHUDI HAWAMJUI YESU.Kama Mungu wenu ni mmoja mbona Imani ya Kiyahudi haiamini kama Yesu ndio Masiha?
Yani nyinyi wakristo upo kama Gali mbovu iliyopoteza uelekeo
Jews believe Jesus did not fulfill messianic prophecies that establish the criteria for the coming of the messiah. Judaism does not accept Jesus as a divine being, an intermediary between humans and God, a messiah, or holy.
Mbona Mimi sijamuona mleta mada akisema muiunge Palestine???Wewe siyo wa kwanza kuleta uzi wa aina hiyo kwamba Israel haimuamini Yesu na sasa hivi wakristo wengi sana wanajua hilo kwamba waisrael siyo wenzao katika imani hivyo tushachoka na hizi ngonjera zenu, shida ni ninyi waislam kuona kwamba kila mkristo anayeiunga mkono Israeli basi anafanya hivyo sababu ya dini yote hiyo ili mradi tu dunia nzima iiunge mkono Palestina ili uislam uonekane una nguvu na unapendwa, msitumie nguvu kubwa sana kuieneza dini yenu narudia hakuna dini ya haki zote ni umafia tu hivyo msipangie watu kipi cha kuunga mkono na kipi siyo acheni kila mtu afanye maamuzi yake
🤣🤣🤣🤣 SOURCE AL JAZEERA PRO ARAB AND ISLAM MOVEMENT
View: https://youtu.be/HJNfKTO7XK8?si=H_5V1WRM2z0QgXXs
Vipi hii nayo ni propaganda???
Tena hili tukio limetokea October 2023.
japo lugha tata, ila hakika kuna division kubwa hizi dini zimeleta na kadri siku zinaenda hata utanzania wetu utafata baada ya dini