Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

Myahudi yupi alimuua yesu??
Mtaje??

Hiv
Hakuna kitu kama hicho! Hizo ni propaganda za Waislmu kutuingiza Wakristo kwenye mtego wa kuilaani Israeli.
Nchi zote za kikristo ziko pamoja na Israeli,na kihistoria ni Mazayuni wa Kikristo waliosaidia kuundwa kwa Taifa la Israel 1948!
Hivi unajipendekezaje kwa watu kama hao ambao wanaamini kuwa nyie ni Waabudu sanamu na ni halali kuuawa?

View: https://www.youtube.com/watch?v=lq28ZFNzaWM
 
Na wayahudi wanasema wazi kuwa Sanhedrin ikianzishwa upya na kuanza kutoa hukumu kwa mujibu wa Torah basi wakiristo halali yao ni kuuawawa maana wako regarded na uyahudi kama idol worshippers
Wayahudi feki hao (waabudu shetani)
 
MKUU HATA ISRAELI HUJAWAHI KUFIKA ILA MIMI KILA MARA NAENDA JERUSALEM NA BETHELEEM KUHIJI......
SASA SIJUI UTANIDANGANYA NINI.
Haaaaa 😀😀😀😀 kama kawaida mzee wa misifa yaani ww kila sehemu duniani ulisha wahi kufika, kila kazi ilipo hapa duniani ww ni mtaalamu wake dah ila hii bongo.
 
Ni kitu cha ajabu manabii wakubwa wote kwenye uislamu ni wayahudi lakini cha ajabu baadhi ya waislamu wanawachukia wayahudi hadi wanakera
Ni kitu cha ajabu manabii wakubwa wote kwenye uislamu ni wayahudi lakini cha ajabu baadhi ya waislamu wanawachukia wayahudi hadi wanakera
Waisilam hawajawahi kuwa na chuki kwa wayahudi na ndio maana kuna Wayahudi kibao wanaishi kwenye nchi za kiislam , wenye chuki na wayahudi ni nyinyi wagaratia na historia inaonesha kuwa wagaratia ndo wahusika wakubwa wa maangamizi dhidi ya wayahudi.
 
Wamatumbi wapo kugombania mabwana zao huku mizungu huku miarabu 😂 😂
 
Wamatumbi wapo kugombania mabwana zao huku mizungu huku miarabu 😂 😂
japo lugha tata, ila hakika kuna division kubwa hizi dini zimeleta na kadri siku zinaenda hata utanzania wetu utafata baada ya dini
 
From the Bible to the Qur'an
Revelation in Jerusalem, Shalom
Salam alaykum
 
Ibrahim alikuwa mkurdi wala hakuwa myahudi.
Myahudi ni mtu yeyote wa ukoo wa Ibrahim akiwemo Ibrahim mwenyewe ndie mwanzilishi wa uyahudi kwa ahadi aliyopewa na Mungu

MUNGU alimwambia atamfanya kuwa taifa kubwa yeye binafsi na uzao wake hivyo.taifa lake ni uyahudi aliloahidiwa na Mungu. uliokuwa uraia wa Ibrahim ni myahudi sio mkurdi
 
Hamna anayekulazimisha sikiliza hiyo video ukifika Israel uwe makini kumtaja Yesu usije kwenda jela.
Mitume walikatwa vichwa, walichomwa katika pipa la mafuta, wengine wakatundikwa mpka msalabani. Na wengine walipondwa kwa mawe mpka kifo kisa kumtaja Yesu.

Unafikiri hiyo video yako inaweza kubadiri kitu?
 
Hakuna kitu kama hicho! Hizo ni propaganda za Waislmu kutuingiza Wakristo kwenye mtego wa kuilaani Israeli.
Nchi zote za kikristo ziko pamoja na Israeli,na kihistoria ni Mazayuni wa Kikristo waliosaidia kuundwa kwa Taifa la Israel 1948!
Sema nyinyi warokole msio kuwa na akili kutoka bara la giza ndo wenye shobo na wayahudi hali yakuwa nyinyi ni kama mavi tu mbele yao.

Ukienda America ya kusini yote ni mataifa ya wakatoriki lakini kuanzia raia na serikali zao wanawaunga mkono wapalestina, na ukitaka kwenda jera jaribu kuwadhihaki wapalestina kwa kuwaita magaidi.
 
MKUU UNADHANI NDIO HII ITAWAFANYA WAKRSTO WAWAUNGE MKONO WAISLAMU NA WARAABU KWENYE CHUKI YAO DHIDI YA WAARABU.
NB: WAISLAMU NA WAARABU WANASAHAU KUA MUNGU WA WAKRSTO NA WAYAHUDI NI MMOJA YEHOVAH KUPITIA TORATI YA KIYAHUDI
Kama Mungu wenu ni mmoja mbona Imani ya Kiyahudi haiamini kama Yesu ndio Masiha?

Yani nyinyi wakristo upo kama Gali mbovu iliyopoteza uelekeo

Jews believe Jesus did not fulfill messianic prophecies that establish the criteria for the coming of the messiah. Judaism does not accept Jesus as a divine being, an intermediary between humans and God, a messiah, or holy.
 
SASA MBONA NIMEINGIA SANA MAKANISANI NA KWENYE MASINAGOGI NA NILIMTAJA SANA YESU SIKUFUNGWA.
Screenshot_20230515-172320.png
 
Jamaa naomba nikushambulie. Ukristu upo israel. Si kwa wingi upo. Hiyo video vlip ni ya muda saaaaaana march huko, Ulipoikuta wameamua tu kushare haihusiani kabisa na wakati huu wa hapa karibuni.
Na ilikua bill tu, haikua imeongelewa kama ulivyongea. Ilikua propaganda.
Sasa na wewe acha propaganda.

View: https://youtu.be/HJNfKTO7XK8?si=H_5V1WRM2z0QgXXs

Vipi hii nayo ni propaganda???
Tena hili tukio limetokea October 2023.
 
Kama Mungu wenu ni mmoja mbona Imani ya Kiyahudi haiamini kama Yesu ndio Masiha?

Yani nyinyi wakristo upo kama Gali mbovu iliyopoteza uelekeo

Jews believe Jesus did not fulfill messianic prophecies that establish the criteria for the coming of the messiah. Judaism does not accept Jesus as a divine being, an intermediary between humans and God, a messiah, or holy.
MKUU KASOME TORATI GOMBO LA NABII ISAYA NA NABII NEHEMIAH AFU UON3 KAMA WAYAHUDI HAWAMJUI YESU.
NB: TATIZO HATA TORATI YA KIYAHUDI HIIJUI UNAONGEA KISHABIKI TU
 
Wewe siyo wa kwanza kuleta uzi wa aina hiyo kwamba Israel haimuamini Yesu na sasa hivi wakristo wengi sana wanajua hilo kwamba waisrael siyo wenzao katika imani hivyo tushachoka na hizi ngonjera zenu, shida ni ninyi waislam kuona kwamba kila mkristo anayeiunga mkono Israeli basi anafanya hivyo sababu ya dini yote hiyo ili mradi tu dunia nzima iiunge mkono Palestina ili uislam uonekane una nguvu na unapendwa, msitumie nguvu kubwa sana kuieneza dini yenu narudia hakuna dini ya haki zote ni umafia tu hivyo msipangie watu kipi cha kuunga mkono na kipi siyo acheni kila mtu afanye maamuzi yake
Mbona Mimi sijamuona mleta mada akisema muiunge Palestine???
Au hujaelewa maudhui yake??
Maudhui yake ni kwamba WAKRISTO MUACHE KUJINASIBISHA NA ISRAEL NA KUWATUKUZA KUWA TAIFA TEULE.
HUKUAMBIWA UIUNGE MKONO PALESTINA.
 
japo lugha tata, ila hakika kuna division kubwa hizi dini zimeleta na kadri siku zinaenda hata utanzania wetu utafata baada ya dini

Hilo mbona tayari. Wamatumbi wamegawanyika tokana na nani wanamuabudu mizungu/miarabu. Hao hao wanaowashobokea hawawapi hata pole kwenye madhila yao. Wamatumbi waliwezwa kuletewa dini.
 
Back
Top Bottom