Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go.

Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim unayemsoma kwenye Koran.

Ibrahim wa kwenye Biblia baba yake anaitwa Terah ila wa kwenye Koran anaitwa Azar. Kasome Quran 6:74.

Kwenye Biblia wana Yesu, kwenye Koran wana Issa. Huyu Issa hakusulubiwa msalabani, ila Yesu alisulubiwa. Ndugu zangu, hawa ni watu wawili tofauti.

Kuna MUNGU (Almighty GOD) kwenye Biblia na kuna Allah kwenye Koran

So watu wa huku ni tofauti na wa kule. Kwa Biblia, Ishmael anajulikana kama mtoto wa kijakazi, ila kwa Kuran ni tofauti.

So mkikaa na kuzungumza, cha kwanza jueni mnawazungumzia watu wa sehemu tofautitifauti.

Mfalme Suleiman wa Bible alikuwa holy na baadaye akaanguka dhambini ila wa kwenye Kuran alikuwa anaongea mpaka na majini. So mkiwa mnawasoma watu wa kwenye Bible, msije kufikiri ni watu walewale wa kwenye Kuran, sio hivyo.

Musa wa kwenye Biblia alipewa Amri 10 za MUNGU, Musa wa kwenye Koran hakupewa amri 10 zozote.

Biblia inamtambua Samson kama jamaa aliyebarikiwa nguvu na uwezo wa kupambana na udhaifu wake ni kukata nywele zake, ila hakuna kisa cha namna hiyo kwenye Quran.

Biblia imeorodhesha mitume na manabii wengi wakitoka katika chimbuko la wayahudi, wakati Quran haiwazungumzii wayahudi katika chimbuko la unabii.

Ndio maana ukimsoma mtu wa huku, unaona tofauti kubwa na mtu wa kule.

Kuran imemtambua Adam kama mtume, ila kwa Biblia imemtambua kama mtu wa kawaida tu, mtu aliyeumbwa mwanzoni kabisa.

So mlifahamu hilo, sio mnakaa kwenye vijiwe vya kahawa mnabishana weeee meaningwhile watu mnaowazungumzia ni tofauti.

Historia ya Matukio ikitofautiana basi jua kabisa hao ni watu tofauti kabisa.

Hivyo ni vyema kila mtu abaki na anachokiamini, muda au siku ya kiama ndio ukweli utadhihirika nani alikuwa sahihi na nani alikuwa muongo.
 
Stori za biblia na quran zote ni za kutunga tu, ila watunzi wa biblia Wana akili sana, watunzi wa quran ni vilaza tu walikopi kwa biblia wakaharibu stori za wenzao then wakajiona wao ndo wapo sahihi.
Wazo hili lingekosekana hapa ningepotea JF milele.

Hata hivyo hakuna kiumbe kilichojileta duniani kwa ridhaa yake chenyewe bila ya kuumbwa.

Je kabla ya kuumbwa kilikuwa kinaishi wapi na baada ya maisha duniani kitarudi wapi?

Tafakari na chukua hatua, haki hekima kidini [emoji375][emoji375]
 
Makafiri mna hangaika sana ila wenye akili hadi hao waliyowadanganya sasa hivi wameanza kuijua haki na wanaingia kwenye dini ya mwenyezi mungu makundi kwa makundi, maji na mafuta siku zote hujitenga nyie makafir wa mbagala bakini huko huko kwenye kukanyaga mafuta
 
Wazo hili lingekosekana hapa ningepotea JF milele.

Hata hivyo hakuna kiumbe kilichojileta duniani kwa ridhaa yake chenyewe bila ya kuumbwa.

Je kabla ya kuumbwa kilikuwa kinaishi wapi na baada ya maisha duniani kitarudi wapi?

Tafakari na chukua hatua,haki hekima kidini [emoji375][emoji375]
Unasema kiumbe kabla ya kuumbwa kilikuwa kinaishi wapi!
Kitaishije na hakipo au sijakuelewa?

Halafu mi kusema hivo vitabu ni vya kujitungia haimaanishi Mungu hayupo.

Hivo vitabu vina madhaifu kibao, Mungu hana haja ya kuandika vitabu,.
 
Makafir mna hangaika sana ila wenye akili hadi hao waliyowadanganya sasa hivi wameanza kuijua haki na wanaingia kwenye dini ya mwenyezi mungu makundi kwa makundi, maji na mafuta siku zote hujitenga nyie makafir wa mbagala bakini huko huko kwenye kukanyaga mafuta
Kwani hapo jamaa kakosea nini hadi umekuja kwa hasira hivi!?
 
Makafir mna hangaika sana ila wenye akili hadi hao waliyowadanganya sasa hivi wameanza kuijua haki na wanaingia kwenye dini ya mwenyezi mungu makundi kwa makundi, maji na mafuta siku zote hujitenga nyie makafir wa mbagala bakini huko huko kwenye kukanyaga mafuta
Katika Biblia hiyo ilishatabiriwa kitambo... Siku za mwisho watu watamuasi MUNGU na dhambi zitaongezeka, kwa ambao wanasoma biblia vizuri, hawashituki
 
Stori za biblia na quran zote ni za kutunga tu, ila watunzi wa biblia Wana akili sana, watunzi wa quran ni vilaza tu walikopi kwa biblia wakaharibu stori za wenzao then wakajiona wao ndo wapo sahihi.
Quran imeandikwa kiarabu biblia iliandikwa kwa lugha gani?
 
Back
Top Bottom