Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Unasema hakuna kampuni ya maana imewekeza Afrika. Je KPMG, DELLOITE, ERNEST and YOUNG , PRICE WATERHOUSE ni taasisi ndogo ? Nimekutana na Mtanzania aliarijiwa KPMG tanzania akaomba kazi ERNEST and YOUNG Luxembourg amepata. We kazana na rakaa zako za swala tano na acha kupambana. Utazeekea kwenye vijiwe vya kahawa.Kumbe wewe unafanya kazi mote au umetumwa na hayo makampuni ??
hao wahindi na waarabu uliwapa wewe ruzuku ?? Unaandika mipasho bila kuja na ushahidi wowote , mara mishahara milioni 20 mara Unilever , TBl wanalipa vizuri si ukawaajiri watoto wako , Mbona watu wanalia na kazi hatuoni hao wazungu wako kuajiri mtu ??
Hujajibu hata moja hapa unaharisha tu
Kuhusu ushoga nyinyi mpaka Mna Nabii Shoga, Sasa nikuulize hivi Nabii Tito ametokea wapi ?
Mzungu ana Taasisi ipi ya maana hapa Tz zaidi ya wizi.
Hivi Kampuni ya maana inaweza ku invest Tz , msikilize Rostam Aziz anavyosema wewe mpenda ushoga
View attachment 3084324
Sawa watu wanalilia na kazi ndio maana nakuuliza. Kati wya waarabu na wazungu ninnani anayetoa ajira nyingi na nzuri hapa Tanzania. Maana kuna mmoja anaishia kujenga misikiti na kuweka visima vya maji ya kutawadhia. Rafiki yangu nikuambie tu Asas alipata ruzuku katika biashara yake ya mifugo kutoka serikalini. Mo Dewji anapewa ruzuku kila mwaka katika biashara ya kusambaza mbolea. Watu wanapewa ruzuku halafu wanalipa mishahara ya laki tatu kwa mwezi yaani 10000 kwa siku duh. We endelea kulala na kushangilia Simba na Yanga. Naomba Mungu hali iendelee hivi hivi siku moja tuwe kama Congo. Maana tukifika huko ndio tulio na mtaji ndio tutawakamua vizuri nyie mnaokazana nna madrasa na swala tano.
Ndugu naona bado unakwepa swali naomba unitajie taaasisi iliyoanzishwa na kuendeshwa na waarabu. Narudia tena kwa mara ya ishirini na nne : "Mwarabu kamwe hawezi kuwasaidia waafrika. Msaada pekee kwa waafrika ni msikiti. Akijitahidi sana ataweka kisima kwa ajili ya maji ya kutawadhia."