Futa kwanza habari ya "roman" ndio tuelewane. Acha kukaza fuvu soma.Hiyo hiyo tunayoijua kama Roman Catholic ndo imani ya mwanzo kabisa ya ki kristo ndo maana hata jina lake limebakinkua hivyo kwasababu kuanza kwake hakukua na maslahi yoyote binafsi
niambie nitumie jina gani kwanza, hili kanisa halija wahi kujipa jina kwasababu ilianza kama early community ikaendelea kukuaFuta kwanza habari ya "roman" ndio tuelewane. Acha kukaza fuvu soma.
Kanisa Katoliki. Period sio roman catholic wala nini.niambie nitumie jina gani kwanza, hili kanisa halija wahi kujipa jina kwasababu ilianza kama early community ikaendelea kukua
ilipozidi kuenea ndo watu wakawa wana refer kama Catholic ( kitu kilichoenea duniani kote )
maana ukristo ulikua kwa kasi sana watu walikua tayari kupigwa mawe kuuwawa ila wazunguke kila mahali kuueneza,
Yesu aliikuta Torati na Manabii, Injili imekuja baada yake. Ni ushahidi wa yale aliyosema na aliyotenda, na ushahidi huo unatolewa na wanafunzi wake, wafuasi wengine na mashuhuda waliomshuhudia Yesu kwa kumsikia, kuona, waliofanyiwa miujiza na wengine waliosikia habari zake toka kwa mashahidi.Biblia yesu alivyokuja aliikuta mkuu ,, hata yesu ameahi kupewa biblia katika sinagogi akasoma chuo cha nabii isaya kisha akasema maneno hayo yametimia vitabu vingine vimwongezwa baadaye
Kulikuwa hakuna makanisa wakati wa Yesu, kulikuwa na masinagogi na mahekalu tu!Vipi kuhusu makanisa ambayo Yesu aliyakuta na kushiriki? ,,, tunavutia tu upande wetu ila uhalisia hatuufahamu
Kanisa ni jumuiya ya waimini, katoliki ni kwa wote. Mitume walianzisha jumuiya ambayo mwanzoni ilikuwa ni kwa wayahudi waliomkubali Yesu. Baada ya Paulo naye kumkubali Yesu na kupokea Utume aliwaambia viongozi, Petro na wenzake wa kanisa (jumuiya) ya kiyahudi kuwa hata watu wa mataifa nao wamempokea Yesu kuwa Mkombozi wao hivyo hakuna sababu ya kuwatenga. Hilo ndiyo kanisa la kwanza kwa watu wote.Kanisa Katoliki. Period sio roman catholic wala nini.
"kanisa katoliki la roma" hata kwenye sala ya nasidiki linakua refered hivyo kanisa katoliki la roma - roman catholicKanisa Katoliki. Period sio roman catholic wala nini.
ndio ni kweli wala hakukua na ukristo wala uislamuKulikuwa hakuna makanisa wakati wa Yesu, kulikuwa na masinagogi na mahekalu tu!
Siyo kweli, ukatoliki ni umoja wa waumini wote wayahudi na wale wa mataifa mengine baada ya Paulo kufikisha hoja ya kuwa na wao wamepata kushukiwa na Roho Mtakatifu huyo huyo aliyewashikia wayahudi. Hivyo Roho Mtakatifu anawashukia watu wote bila ubaguzi ndiyo maana ya Katoliki. Mtawala wa Kirumi karne ya 4 alichofanya ni kutoa amri kuwa askari wote wa Kirumi wabatizwe na kuwa wakristu baada ya mkutano uliomfanya yeye mwenyewe kuuamini Ukristo kuwa ni dini ya kweli na kutangaza kuwa Ukristo ni dini rasmi ya Warumi wote. Ni kweli mabishano yalikuwepo kuhusu Utatu Mtakatifu lakini hayo yalianza kabla hasa tangu karne ya 2, hivyo ili kuleta maelewano na amani karne ya 4 mtawala huyo aliitisha mkutano ili wote wenye hoja zao wakutane na kuzitolea maelezo badala ya kusambaza upotoshaji na hatimaye muafaka upatikane.Ukiristo ulianza Karne ya kwanza
Ukatolik ulianzishwa Karne ya nne na mtawala wa Roma Augsto..
Sio wakristo wote waliokuwepo wakati huo walikuwa Roman Catholic..
Hauna akiliKulikuwa hakuna makanisa wakati wa Yesu, kulikuwa na masinagogi na mahekalu tu!
"Katoliki la Roma" kwa kuwa ndiyo makao makuu ya kanisa na ndipo alipo kiongozi mkuu wa kanisa. Siyo Roma kama mji mkuu wa kanisa, tayari kanisa lilikwishapewa hadhi ya nchi iitwayo Vatican. Mtaguso wa Pili ulishafuta hiyo Roma tatizo ni kuwa watu tulikwisha zoea na imekaa katika ubongo. Kwa mfano sasa hivi tunalo kanisa katoliki la Tanzania na linafanya maamuzi yake kiutawala, mfano ushoga sisi tumeukataa hata kama Roma wanaukubali."kanisa katoliki la roma" hata kwenye sala ya nasidiki linakua refered hivyo kanisa katoliki la roma - roman catholic
Asante!Hauna akili
It's like uzi uko kihistoria zaidi na si kiimani, history is based on facts.ππππππ mtafute Yesu. Kwa Mungu hakuna kitu kinachoitwa Catholic, Anglican, assembles of God, Lutheran. Hayo ni madhehebu. Hatutahukumiwa kutokana na makanisa. Mungu ataangalia matendo
Interesting.Catholic ni mwendelezo wa dini za kipagani za Waroma.
Nauliza kutaka kujua kati ya kanisa la Roma na la Ethiopia ni lipi la mwanzo?
ndio, zaidi ya nusu ya wakristo wote duniani ni WA Catholic
na lazima utumie system ya catholic kama wewe ni mKristo, hata ukitumia bible, vitabu vyote vimekusanywa na kupangwa na RCCatholic is he basis of Christians, wengine ni just wameshindwa kufuata misingi mizuri sana ya ukatoliki wakajitenga ila hata wap wanajua ukatoliki ndo baba lao.