Ukristo umejengwa juu ya msingi wa Roman Catholic. Ipo Dominant kwa zaidi ya miaka 2000

Msingi ni kusoma biblia na kuitafakari, siyo kukariri kilichoandikwa humo. Maelezo ya katika biblia yanatoa majibu humo humo katika biblia hivyo isisomwe aya moja na kujenga hoja. Hoja karibu zote zina majibu humo humo, zisizokuwa na majibu ya moja kwa moja basi majibu yanapatikana kwa kutafakari (reasoning)!
 
Roma ni sawa na tajiri aliyekua na mtaji kuwazidi wenzie enzi hizo ila Kila mmoja alipokea neno wakati huo huo.
 
Roma ni sawa na tajiri aliyekua na mtaji kuwazidi wenzie enzi hizo ila Kila mmoja alipokea neno wakati huo huo.
Kumbuka Roma au Rumi lilikuwa dola lililotawala dunia au mataifa yaliyojitambua wakati huo, kama baadaye ilivyokuwa kwa Babylon, Persia, Mwarabu na baadaye Ottoman Empire. Kwa maana hiyo matukio yanayohusiana na Yesu yametokea nyakati za utawala wa Warumi, na Mitume au Wafuasi wake walipelekwa makao makuu ya dola hiyo yaani Roma kushitakiwa na kuhukumiwa huko. Maelezo na utetezi wao ndiyo ulikuwa chachu ya kuwafanya warumi kuukubali ukristo na makao makuu kuwa huko. Sababu nyingine ni kuwa Wayahudi tayari walishaonyesha upingamizi kwa Yesu hivyo wafuasi wake waliona ni bora kwenda kwa mataifa kwa kuwa huo ndiyo ulikuwa Ukatoloki, kwa watu wote!
 
Roma ni sawa na tajiri aliyekua na mtaji kuwazidi wenzie enzi hizo ila Kila mmoja alipokea neno wakati huo huo.
je ni dini gani iliyoanza sawa na Catholic, zote zimekuja miaka mingi sana baadae mingi sana alafu zikachomoza kutokea huko huko, iliyo anza kivyake ni uislamu na yenyewe pia ilikua baadae sana almost miaka 60 baadae
 
Kutawala siyo tatizo ni kama Assad wa Syria au Putin wa Russia anavyotawala hivi sasa wapo wanaokubaliana na utawala wako pia wapo wanaopinga. Tusizuie mawazo ya watu hata kama ni wachache .
 
Babu Yako mzaa Babu Yako alikua anaabudu miti,milima na mizimu kabla hata ya huo ukatoliki haukazaliwa ila kwaa kuwa umeumbwa kutegemea akili za mzungu nakuacha uendelee na hiyo akili yako ya kijinga
 
Dini ya awali kabisa ni ya Kiyahudi (muasisi Ibrahim) halafu ikafuata ya Kikristo (muasisi Yesu) na baadaye Uislamu (muasisi Muhammad), ni zaidi ya karne 7 siyo miaka 60 baadaye.
 
Huu ndio uhalisia.
 
Attachments

  • 20230408_114652.jpg
    85.4 KB · Views: 3
Kutawala siyo tatizo ni kama Assad wa Syria au Putin wa Russia anavyotawala hivi sasa wapo wanaokubaliana na utawala wako pia wapo wanaopinga. Tusizuie mawazo ya watu hata kama ni wachache .
Tunazungumza dini au siasa? Maana hata Muhammad alikuwa na mambo mawili, kutawala dola ya kiislam na kueneza Qur'an. Yesu alikataa utawala wa kidunia na alikubali ufalme wa mbinguni!
 
Babu Yako mzaa Babu Yako alikua anaabudu miti,milima na mizimu kabla hata ya huo ukatoliki haukazaliwa ila kwaa kuwa umeumbwa kutegemea akili za mzungu nakuacha uendelee na hiyo akili yako ya kijinga
Kwani wewe shida yako ni nini? UKATOLIKI TU? Kwa hiyo wewe unaabudu miti na milima ambayo iliumbwa kabla yako, maana mwanadamu aliymbwa siku ya 6, kwa maelezo" Na tumfanye mtu kwa mfano wetu." "AKATAWALE VITU VYOTE." Umelala, amka!
 
Babu Yako mzaa Babu Yako alikua anaabudu miti,milima na mizimu kabla hata ya huo ukatoliki haukazaliwa ila kwaa kuwa umeumbwa kutegemea akili za mzungu nakuacha uendelee na hiyo akili yako ya kijinga
ukristo umeanza 30 AD

imani strong ina dominate na ndo maana watu wamejikuta wameacha na wamehamia kwenye ukristo kwanini ya mababu haikuenda kusambaa ulaya ?
 
Kutawala siyo tatizo ni kama Assad wa Syria au Putin wa Russia anavyotawala hivi sasa wapo wanaokubaliana na utawala wako pia wapo wanaopinga. Tusizuie mawazo ya watu hata kama ni wachache .
ndio mawazo hayawezi kufanana lakini hata kama kuna wanao pinga ndo itabadilisha uhalisia ?
 
nkwel wao wamehusika kutuletea h bible na ktufany vichwa vkafunguka ila napat ukakas kidg vle wanamtukuza malia na hata kumuabudu huku wakimuita mama wa mungu! inawezekana hawakuelew mahal kwny hy bible kuwa ikiwa yesu wanamuona mungu wamnakosea mana hta yesu aliwaambia wanafunz wake kuwa yeye c chochote isipokuwa yule aliyemtuma. na ndman hta kipnd anakalbia kufa kwa ajili yet alisali kwa baba yake ampe nguvu ya kuweza kuvumilia mambo yaliyombele ake.. yesu si mungu wala malia si mama wa mungu.
 
Maria ni mama wa Yesu kwanini apuuzwe ? una uhakika gani Yesu alisema Maria si kitu ? au ni ulivyo tafsiri wewe,

Maria aliambiwa amebarikiwa kuliko wanawake wote na atamzaa mkombozi,

katika kanisa lenye ditails zote original za historia ya yale yaliyotokea kipindi hicho ni kanisa Catholic,

lina historia nzima ya Ukristo makumbusho ya maeneo muhimu kwa ukristo na vitabu na historia zilizoandikwa kipindi hicho

labda waliokuja na hayo mawazo na kuanzisha madhehebu mengine ndo hawakuelewa

hata yesu anavyokufa msalabani alimwambia yule mwanafunzi anaempenda mtazame mama
 
Katolikos ndio maana yake hiyo sasa.
 
Malia Obama au? 😂
 
hata kama ni kweli basi ndo msingi wa ukristo, unaposoma biblia imepangwa hilivyo na Roman Catholic,

Calendar tunayotumia duniani imepangwa na Roman Catholic
Kuna kitu huwa najiuliza kwanini Pasaka ikipangwa na Roman Catholic, na makanisa mengine yanatumia siku hiyo hiyo. Kwanini Lutheran wasiwe na siku yao na wengine
 
Inawezekana hujui historia au Biblia unaisoma kama kitabu cha hadithi au umekaririshwa.
Tuanze taratibu.

Kanisa la kwanza lilianzia wapi na nini zilikuwa sifa zake?
Kanisa la kwanza lilianza waliambiwa wasubiri na siku Roho Mtakatifu alipowashukia (Siku ya Pentecost) na walinena kwa lugha wote watu 120 na walipotoka hapo Petro ndo alihubiri sermon ya kwanza na watu 3000 wakaokoka.

Je Kanisa Kanisa Katoliki wananena kwa lugha?
Wakihubiri watu wanaokolewa?

Historia ya Kanisa Katoliki iko hivi (Hapa najua utakasirika)
Warumi walikuwa na dini yao ya kipagani na kwa sababu dola ya Kirumi ndo ilikuwa inatawala wakati ule watu wengi walilazimika kuifuata ile imani ya kipagani na ndo maana walikuwa hawakubaliania na mafundisho ya Yesu.

Walimkataa Yesu mpaka ikafika wakamtafutia kesi ya uongo ili wamuue na wakafanikiwa lakini mbegu aliyokuwa ameipanda Yesu ilizidi kustawi.

Wakaona njia pekee ni kuwaua wale wanafunzi wa Yesu waliwaua sana Kasoro Yohana tu ndo alikufa kwa uzee lakini haikusaidia kuizima ile mbegu ya Yesu.

Walipoona ni haizuiliki wakaamua kuingiza upagani wao katika uKristo na kubadili kutoka Roman kuwa ROMAN CATHOLIC.
Catholic maana yake ni Universal (Kwa kila mtu) yaani Roman kwa kila mtu.

Lakini ule upagani hawakuuacha waliendelea nao na ndo wakaziingiza doctrine kinyemela kama za
Sala ya Bikira Maria, ibada za wafu mwezi Nov na nyingine nyingi.

Wajanja walipostuka wakajua tumepigwa na walipohoji ndo wakafukuzwa na wengine kuasi ndo ukaanza uprotestanti.

Lakini kanisa la kwanza la Yesu si Roman Catholic, hili ni la kipagani na liliingiza upagani wao ndani ya Kanisa la Yesu baada ya kushindwa kulizuia au kulifuta Kanisa aliloliacha Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…