Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ni nawashangaa sana watu mnaoponda dini za wengine....kila mtu ana imani yake kubali hilo
Mkuu punguza udini.Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.
Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.
Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao wanaishia kukimbilia kutafuta msaada katika jamii zile zenye kundi la watu ambalo ndilo wanalolipiga vita kila siku.
Alafu wakisha karibishwa huko wanaishia tena ku-force watu waliowakuta wa kundi lingine kufata misimamo yao bila ya hivyo wanaanza kuwafanyia vurugu.
DINI YA UKWELI NI UPENDO, BORA DINI NYINGINE ANGALAU WANAZINGATIA HILO ILA WENGINE WAPO KATIKA CULTS ILA HAWAJUI.
Irani kuwe na Kanisa.Mkuu punguza udini.
Najua umelenga dini gani.
Najua unauzungumzia uislam.
Uislam haujawahi kumfukuza mtu kwake hata mara moja.
*Qatar kuna wakristo na makanisa.
*Dubai kuna wakristo na makanisa.
*Brunei kuna wakristo na makanisa.
*Kuwait kuna wakristo na makanisa.
*Iran kuna wakristo na wayahudi na kuna makanisa na masinagogi.
Zote hizo ni Islamic states.
Bro PUNGUZA UDINI, HALAFU PUNGUZA UONGO HAUKUSIADII KITU.
Siku hizi mada zako zimekua za UONGO UONGO sana.
We jamaa huwa sipendagi kujadiliana na wewe kwasababu najuaga huwa hauna mantiki ila unanifosi nikujibu.Irani kuwe na Kanisa.
Au Somalia
Au Afghanistani
Sio kweli
Hapo Pemba tu wanaandamana kupinga ujenzi wa Kanisa.
Kwenye nchi za Kiislamu ni bora uwe mchawi utaishia salama lakini sio kuwa Mkristo.
Kwao adui wa Uislamu ni Ukristo tu.
Huwa UNAROPOKA SANA WE JAMAA.Irani kuwe na Kanisa.
Au Somalia
Au Afghanistani
Sio kweli
Hapo Pemba tu wanaandamana kupinga ujenzi wa Kanisa.
Kwenye nchi za Kiislamu ni bora uwe mchawi utaishia salama lakini sio kuwa Mkristo.
Kwao adui wa Uislamu ni Ukristo tu.
Kwahiyo nchi kuwa na asilimia moja yaani 1% wewe haikushangazi ni kwanini iwe hivyo.We jamaa huwa sipendagi kujadiliana na wewe kwasababu najuaga huwa hauna mantiki ila unanifosi nikujibu.
Iran ni miongoni mwa mataifa ambayo Ukristo unapanda kwa kasi.
Embu soma ripoti hapo chini.
Na aliyeandika hiyo ripoti ni Muiran mkristo.
Pia kuhusu Pemba hawakupinga ujenzi wa kanisa bali walipinga kanisa kujengwa eneo husika wakataka lijengwe sehemu nyingine kwasababu na sababu walizitoa.
Usitake kuleta habari za uchonganishi.View attachment 3108549
Kwanini nchi nzima iwe na Wakristo 15,000 - 20,000 tu ?Huwa UNAROPOKA SANA WE JAMAA.View attachment 3108574
Umesoma ripoti vizuri!??Kwahiyo nchi kuwa na asilimia moja yaani 1% wewe haikushangazi ni kwanini iwe hivyo.
Hao Wairani wanakuwa Wakristo wakitoka nje ya hiyo nchi, kikazi au wakimbizi.
Mbona unahama hama!?Kwanini nchi nzima iwe na Wakristo 15,000 - 20,000 tu ?
Tupe sababu.
Umeandika kwa mafumbo sana kwanini usingefunguka vizuri na ukaweka na mifano tungepata pa kuchangia. Huu uzi utachangiwa na wale wasio na uelewa wa mambo na wenye chuki na imani isiyokuwa ya kwao.Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.
Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.
Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao wanaishia kukimbilia kutafuta msaada katika jamii zile zenye kundi la watu ambalo ndilo wanalolipiga vita kila siku.
Alafu wakisha karibishwa huko wanaishia tena ku-force watu waliowakuta wa kundi lingine kufata misimamo yao bila ya hivyo wanaanza kuwafanyia vurugu.
DINI YA UKWELI NI UPENDO, BORA DINI NYINGINE ANGALAU WANAZINGATIA HILO ILA WENGINE WAPO KATIKA CULTS ILA HAWAJUI.
Amri kuu Upendo.Wapo kama vifaranga vya cuckoo kwenye viota vya ndege wengine
Kama nilivyosema awali.Mbona unahama hama!?
Mbona Korea Kaskazini wakristo hata elfu mbili hawafik??
Mbona North Korea ni marufuku kusoma biblia unanyongwa!??
Je uliuliza kwanini!??
Mpuuzi.
Hivi wale wanaolazimisha wengine kwenda kusali na wao hawataki nini hasa msukumu ulio nyuma yake.Mtu anasema sitaki kwenda mbinguni au kama kwenda mbinguni nenda peke yako na ufaidike peke yako lkn utaona mchungaji ananuna na mistari kibao ya YakoboPilipili usiyoila yakuwashia nini?
Wanaongezeka kwakuwa wakimbizi na watafuta maarifa wanaongezeka pia.Umesoma ripoti vizuri!??
Au kiingereza hujui!?
Hiyo ripoti inasema kuwa "Iran ukristo unaongezeka kwa kasi".
Aisee we vipi wewe namna gani wewe!?