makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ukisoma biblia, kutoka 21, 10. Inasema
"kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa."
Ukisoma toka mwanzo utagundua kuwa utagundua hapa yamezungumziwa mambo ya kuachia watumwa.. Sipingi hilo, lakini kitendo tu cha kusema kama AKIOA MKE MWINGINE, yule wa awali AENDELEE KUMPA HAKI ZAKE ZA NDOA,
huu ni uthibitisho tosha ndugu zetu mnaruhusa ya kuoa mke wa pili.
Au mimi ndio nimetafsiri hovyo.
Hii ni kwa wale wanangu wa kikristo waliokuwa wanalalamika mambo ya mke mmoja.
We Leo vipi?Ukisoma biblia, kutoka 21, 10. Inasema

We usietaka kuoa nenda chumba cha pili, humu sisi ni wazee wa ndoa tu, tumeadvance na sasa tunakaribia kugundua ndoa ya mke wa pili.Si tulisema hatuoi vipi tena kurejeshana nyuma..?
Nishakula vitu vyangu mama mkwe, nina umakini kuliko joh makini.We Leo vipi?
Amri kumi za Mungu tunazosoma kanisani kila jumapili zipo agano lipi?Tunatumia agano jipya na sio agano la kale
Marko 10:6-9
Wacha weeNishakula vitu vyangu mama mkwe, nina umakini kuliko joh makini.
Zimeandikwa kwenye agano la kale lakini zikapigiliwa tena msumari kwenye agano jipyaAmri kumi za Mungu tunazosoma kanisani kila jumapili zipo agano lipi?
Ma mkwe ushawahi kusoma hilo andiko?Wacha wee
Hatuwataki hapa, humu ni waliooa tu ndio tunahangaikia kusaka uhalali wa mke wa piliNgoja kataa ndoa waje
Sisi ni wale tusiozoeleka, ni wale kila uoande tumo, ni wale hatueleweki eleweki. 😂Shalom makaveli binafsi sijakuzoea hivi😁
Undefinable..safi sana..kumbe umeoa!Sisi ni wale tusiozoeleka, ni wale kila uoande tumo, ni wale hatueleweki eleweki. 😂
Ni vema ukiandika, uweke na nukuu ya hilo andiko ili iwe rahisi kujadili.Tunatumia agano jipya na sio agano la kale
Marko 10:6-9