makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ukisoma Biblia, kutoka 21, 10. Inasema
"Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa."
Ukisoma toka mwanzo utagundua kuwa utagundua hapa yamezungumziwa mambo ya kuachia watumwa.. Sipingi hilo, lakini kitendo tu cha kusema kama AKIOA MKE MWINGINE, yule wa awali AENDELEE KUMPA HAKI ZAKE ZA NDOA,
Huu ni uthibitisho tosha ndugu zetu mnaruhusa ya kuoa mke wa pili.
Au mimi ndio nimetafsiri hovyo.
Hii ni kwa wale wanangu wa kikristo waliokuwa wanalalamika mambo ya mke mmoja.