Ukristo unaruhusu ndoa ya mke wapili kwa mujibu wa andiko hili

Hilo Andiko halihusu ukristo. Linawahusu Wayahudi. Wayahudi wana dini yao iitwayo Dudaism. Wao wanafuata Agano la kale. Wakristo tunaishi kwa mujibu wa Agano Jipya. Na kanuni ni hii:
Jambo lolote lililoelezewa ktk Agano la kale na Yesu akalisemea tofauti au akatoa Agizo tofauti basi lile la Yesu ndilo linasimama. Yesu ndiye alitoa Agizo kuwa ndoa ni ya mume na mke mmoja tu. Mengine ni dhambi na maovu ndio yansukuma watu. Na wanaofanya hivyo wasahau kurithi ufalme wa Mungu.
 
kumbe ukweli ccm imekubari umri sio NSSF .
 
Umemaliza kila kitu.
 
Mimi ni mkristo tena mkatoliki ila kiukweli kuna mahala kwenye biblia watu walitia yakwao kwa maslahi yao
Wewe ndio umejaa upofu. Huwezi kuielewa Biblia iwapo unabaki na Ukatoliki na usiwe Mkristo wa kweli. Wakristo wa kweli wana Roho wa Kristo anayewaongoza kuifahamu Biblia.
 
Hiyo torati ilivunjwa na Yesu alipowaambia mafarisayo “Musa aliwaruhusu kuoa wanawake wengi kutokana na ugumu wa mioyo yenu”

Kwanza mnataka wanawake wengi kwa nguvu gani mlizonazo? Km wake zenu ndani mnashindwa kuwatosheleza.??! 😹😹
Mtakuja kugongewa kuanzia bi mdogo mpk mkubwa mfe na presha..!!
 
Wewe unaamini Musa alitamka maamuzi magumu kama hayo kwa utashi wake?
 
Biblia inajichanganya au wewe ndie umechanganyikiwa ?kwasababu Yesu anakiri kwa mdomo wake kuwa hakuja kuitengeu torati bali kuitimiza
 
Musa aliwaruhusu waoe wake wengi kwa ugumu wa mioyo yao, sie tuna ulaini gani wa moyo kiasi tuoe mke mmoja.
Swali jepesi, je yesu alisema kaja kutengua torati ama? Kama hakuja kutengua torati basi ruksa kuoa mke wa pili

Hilo suala la nguvu tunatofautiana. Wengine wake zetu hawatumudu..
Tupewe ruhusa kila mtu ataoa kutokana na nguvu zake.
 
😹😹😹 Hauna nguvu bhana labda km mnatumia vumbi la Kongo
 
Mtumish
Mwanzo wa ulimwengu MUNGU MWENYEZI alimuumba mke mmoja na mume mmoja, baadae sana zikapita na zikatokea nyakati flan na katika hizo nyakati kikatokea kizazi flan hicho kizazi kikaanza kuoa wanawake 10 hata 20 hata 100 , Suleiman akaoa wanawake 700 na michepuko 300 mtume Muhammad akao wanawake 14 mpaka watoto wa miaka 6 na mishangazi inayomzid umri

Kizazi hicho kilivunja agano la MUNGU la ndoa ya mke mmoja na mwanaume mmoja, kwahiyo kizazi hiki kiletenda makosa ambayo YESU KRISTO alipokuja akarebisha na akairudishia ndoa hadhi yake yani mume na mke siyo mume na wake au siyo mume na mume

Kwahiyo basi sisi wakristo hatuwezi tena kuendelea kuishi katika dhambi ya wale wazee wakati tayari kristo YESU ashalekebisha

Biblia imeandika habari hizo ili sisi tujifunze siyo kwamba tuendelee kukosea tena

AMINA
 
Vipi yesu alikuja kutengua torati ya bwana musa au?
Mt 5 17-20, yesu anakiri hakuja itengua torat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…