Ukristo unaruhusu ndoa ya mke wapili kwa mujibu wa andiko hili

Ukristo unaruhusu ndoa ya mke wapili kwa mujibu wa andiko hili

Ma mkwe ushawahi kusoma hilo andiko?
Nimelisoma baba.linahusu mtumwa
Ila naomba ujue torati ipo updated(kuendelezwa ) baadhi ya vipengele kwenye agano jipya.
Anakwambia Msidhani nimekuja kuitangua torati Bali kuiendeleza.
So katika muendelezo wa hizo Sheria ndo tukaambiwa Kila mume awe na mke wake ,Kila mke awe na mme wake..haijsemwa Kila mume awe na wake zake.sie kama wakristo it means ni wafuasi/waamini wake,tunafata kile anachosema
Ma mkwe ushawahi kusoma hilo andiko?
 
Yesu alisemaje kuhusu tourati?
Haitengui ila anaitimiza.... Yesu na Musa huwezi kuwaweka kwenye chungu kimoja so neno lolote ambalo aliwahi kulisema Musa likija kurudiwa na Yesu kwa namna tofauti basi neno la Yesu linaoverride lile la Musa(kwahiyo ilitimizwa ila ilijaziwa nyama na kurekebishwa pale kwenye mapungufu kidogo na hii ndio ambayo ilimpa wakati mgumu kwa maana alionekana anakufuru kwa kufanya hayo mbele ya watu walioishika torati vizuri kwa nyakati zile)
 
Siku ile kabla ya kuoa nilikua najisemea nikisha oa kila kitu kwangu kitakiwa perfect na dini nitaishika vilivyo .

Baada ya kuoa na kukutana na matokeo yasio tarajiwa niliafiki pasina shaka mke mmoja hatoshi na hajawahi kutosha na hata tosha.
Umanyaya tu kwann asitoshe una ya punda? 😹😹
 
K
Haitengui ila anaitimiza.... Yesu na Musa huwezi kuwaweka kwenye chungu kimoja so neno lolote ambalo aliwahi kulisema Musa likija kurudiwa na Yesu kwa namna tofauti basi neno la Yesu linaoverride lile la Musa(kwahiyo ilitimizwa ila ilijaziwa nyama na kurekebishwa pale kwenye mapungufu kidogo na hii ndio ambayo ilimpa wakati mgumu kwa maana alionekana anakufuru kwa kufanya hayo mbele ya watu walioishika torati vizuri kwa nyakati zile)
Kwanini wasikae chungu kimoja?

Sasa hapo hatimizi, hapo anakuwa katengua, yaani ruhusa ya mke wa pili ye aseme mke mmoja sasa hapo anaikamilisha ama anaitengua sheria, angesema mfano mke wa pili awe hivi na hivi na vile, hapo sasa ndio anaikamilisha torati, anakamilisha pale ambapo hapajaelezea vizuri
 
Umanyaya tu kwann asitoshe una ya punda? 😹😹
Hii ni ngumu kueleka kwa asie mwanaume , hata kama kibamia mke mmoja hatoshi, ukweli mchungu msio penda kuusikia ..

Kwema lakini? , adimu kidogo!
 
we ni wa kwetu

na ubishi unao

unakifaa chama

kama maandiko ni uhuni basi Mungu hayupo, na dini ni utapeli.
Dini imetukandamiza sana wanawake hapo ndipo inaponipa mashaka na kuona uhuni tu..!!
Km kwa waislamu ndo balaa mwanamke anafahamika km chombo cha starehe 😹😹😹

Hata issue ya Hawa imetungwa ili kutufanya wanawake tuonekane dhaifu mxiewwww 🤣🤣
 
Si kweli soma kwa making kuanzia mstari wa 7 Hadi 10

7 Mtu akimwuza binti yake awe kijakazi, hatatoka yeye kama watumwa wa kiume watokavyo.
8 Kwamba bwana wake hakupendezewa naye, akiwa amemposa, ndipo atakubali akombolewe; hana amri yeye kumwuza aende kwa watu wageni maana amemtenda kwa udanganyifu.
9 Kwamba amposa mwanawe, atamtendea kama desturi zipasazo binti zake.
10 Kwamba ajitwalia mke mwingine, chakula chake huyo, na nguo zake, na ngono yake, hatampunguzia.

UFAFANUZI
zilikuwa zinatolewa sheria juu ya watumwa na namna wanavyoweza kuwekwa huru, ikumbukwe kulikuwa na muda wa mtumwa kutumikia utumwa wake na kuwekwa huru nadhani ni miaka 7 baada ya hapo anakuwa huru. Au lah anaweza kukombolewa na ndugu mwenye pesa.
Sasa kama mtu amempenda mtumwa anataka amfanye mke inaruhusiwa halipi mahari Bali ile gharama ya kumnunua au sababu ya kumfanya awe myumwa ndiyo inayotumika Kama mahari lakini binti huyo atakuwa mke kwa masharti atimiziwe vitu vitatu
MAVAZI, NGONO NA CHAKULA
Kama huyo mtu atakaye muoa atadhindwa kutimiza hayo basi binti atakuwa huru na arudi Tena utumwani
Biblia haijaruhusu ndoa za wake wengi, ule ulikuwa ni wakati wa ujinga na MUNGU alideal na kujiintroduce Kwanza kwa binadamu hizo Mila na dwsturi zao alizipotezea baada ya watu kuchamgua Mungu ndio akaanza taratibu kuleta miongozo ya namna ya kuishi kgk jamii ndio maana katika agano jipya hakuna sana mambo ya wake wengi.
Nawasilisha.
 
Hii ni ngumu kueleka kwa asie mwanaume , hata kama kibamia mke mmoja hatoshi, ukweli mchungu msio penda kuusikia ..

Kwema lakini? , adimu kidogo!
Hakuna lolote ni vile tu tamaa zinawasumbua, nguvu zenyewe za kuboost na vumbi 😹😹

Nipo rafiki ni vile tunapishana..!!
 
Umanyaya tu kwann asitoshe una ya punda? 😹😹
Kwani ya punda ndio nini, inaweza kuwa ya punda na tako 3 chali, mwanaume inch 6 inatosha mnoo... Hata 5 inafaa sio kibamia.
Kinachomata ni ile pumzi, unaweza kupiga goli 1-2 wakati mwenzio yupo hoi na wewe bado unataka game.
 
Dini imetukandamiza sana wanawake hapo ndipo inaponipa mashaka na kuona uhuni tu..!!
Km kwa waislamu ndo balaa mwanamke anafahamika km chombo cha starehe 😹😹😹

Hata issue ya Hawa imetungwa ili kutufanya wanawake tuonekane dhaifu mxiewwww 🤣🤣
Hakuna watu wanaotakiwa wasimuamini Mungu kama wanawake.
 
Kwani ya punda ndio nini, inaweza kuwa ya punda na tako 3 chali, mwanaume inch 6 inatosha mnoo... Hata 5 inafaa sio kibamia.
Kinachomata ni ile pumzi, unaweza kupiga goli 1-2 wakati mwenzio yupo hoi na wewe bado unataka game.
Sasa wewe unashindana na ulikotokea?? 😹😹
Ukiona mkeo kachoka ujue huna unachokifanya, wewe beat liwe kali km la majani huo muda mkeo wa kukwambia amechoka anautoa wapi aache kuinua mashabiki?? 🤣

Wewe piga ombo kuanzia jikoni mpk kwenye gari, hakuna kiwanja maalum ni humu tu 😹🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Hakuna lolote ni vile tu tamaa zinawasumbua, nguvu zenyewe za kuboost na vumbi 😹😹

Nipo rafiki ni vile tunapishana..!!
Shukurani kwa Mungu vile upo na heri I'm glad.

Natamani ungefahamu hili hizi unazo sema nguvu hazipo kwenu!

Changamoto kubwa kwa sasa ni ukosefu wa nguvu za kike, kibao kimegeuzwa kwa mwanaume ndie mwenye shida, kumbe shida ipo upande wa pili.
 
Ukisoma biblia, kutoka 21, 10. Inasema
"kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa."

Ukisoma toka mwanzo utagundua kuwa utagundua hapa yamezungumziwa mambo ya kuachia watumwa.. Sipingi hilo, lakini kitendo tu cha kusema kama AKIOA MKE MWINGINE, yule wa awali AENDELEE KUMPA HAKI ZAKE ZA NDOA,
huu ni uthibitisho tosha ndugu zetu mnaruhusa ya kuoa mke wa pili.
Au mimi ndio nimetafsiri hovyo.

Hii ni kwa wale wanangu wa kikristo waliokuwa wanalalamika mambo ya mke mmoja.
Hapa ndiyo mkanganyiko wa wakristo ulipo.

Wengi hawaelewi kuwa, ukristo ni agano jipya tu. Agano la kale siyo ukristo. Agano la kale ni Judaism, (Uyahudi).

Hivyo basi, unapozungumzia Ukristo, siyo sahihi sana kurejea agano la kale.
 
Back
Top Bottom