Ukristo unaruhusu ndoa ya mke wapili kwa mujibu wa andiko hili

Ukristo unaruhusu ndoa ya mke wapili kwa mujibu wa andiko hili

Torati ni Sheria na si Sheria zote zilitoka kwa the most high bali zingine zilikua ni mapendekezo binafsi ya Musa na kwenye hizi za mapendekezo binafsi zingine zilikua poa na zingine zilikua na utata na moja kati ya hizo zenye utata ni hiyo ya kuoa. Lakini pia ukifuatia utagundua zipo nyingi ambazo alizitengua kwa matendo kama ile ya kuponya siku ya sabato na kadhalika.

Ndio maana watu mmekua mkidai katiba mara kwa mara kwasababu iliyopo haiendani na zama tulizopo, kwahiyo torati ilikua kama katiba ya waamini ila kuna mambo yalikua hayaendani na nyakati basi yakabadilishwa na sasa hivi tuko na katiba mpya ambayo ni mjumuiko wa mambo mapya na yale ya zamani ambayo bado yanafaa kuendelea kutumika.
Kwahiyo unataka kusema mengine ni utashi wa musa na sio maelekezo toka kwa aliyemtuma, sasa anakuwa nabii(mjumbe) gani anajifanyia inavyompendeza yeye?
 
Nimelisoma baba.linahusu mtumwa
Ila naomba ujue torati ipo updated(kuendelezwa ) baadhi ya vipengele kwenye agano jipya.
Anakwambia Msidhani nimekuja kuitangua torati Bali kuiendeleza.
So katika muendelezo wa hizo Sheria ndo tukaambiwa Kila mume awe na mke wake ,Kila mke awe na mme wake..haijsemwa Kila mume awe na wake zake.sie kama wakristo it means ni wafuasi/waamini wake,tunafata kile anachosema
Sawa linahusu watumwa, je hiyo kauli ya ajitwalie MKE WA PILI, huoni hiyo inatosha kuruhusu mke wa pili?
 
Ukisoma Biblia, kutoka 21, 10. Inasema

"Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa."

Ukisoma toka mwanzo utagundua kuwa utagundua hapa yamezungumziwa mambo ya kuachia watumwa.. Sipingi hilo, lakini kitendo tu cha kusema kama AKIOA MKE MWINGINE, yule wa awali AENDELEE KUMPA HAKI ZAKE ZA NDOA,

Huu ni uthibitisho tosha ndugu zetu mnaruhusa ya kuoa mke wa pili.
Au mimi ndio nimetafsiri hovyo.

Hii ni kwa wale wanangu wa kikristo waliokuwa wanalalamika mambo ya mke mmoja.
Iko wazi hiyo mkuu
 
Sasa wewe unashindana na ulikotokea?? 😹😹
Ukiona mkeo kachoka ujue huna unachokifanya, wewe beat liwe kali km la majani huo muda mkeo wa kukwambia amechoka anautoa wapi aache kuinua mashabiki?? 🤣

Wewe piga ombo kuanzia jikoni mpk kwenye gari, hakuna kiwanja maalum ni humu tu 😹🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Hujasuuzwa na kusuuzika vizuri, sijui huwa mnakojoa vitu gani, ile inapigwa kiasi akifanikiwa kwenda kukojoa ni anapepesuka full kulalama miguu haina nguvu, au lah utakapochomoa tu NDONGA usingizi mkali utampitia, ama alalamike njaa ama kiu ya maji.
 
Kwahiyo unataka kusema mengine ni utashi wa musa na sio maelekezo toka kwa aliyemtuma, sasa anakuwa nabii(mjumbe) gani anajifanyia inavyompendeza yeye?
Kama Suna Qawliyya tu, sio faradhi hiyo.
 
Tahadhari msije mke wa pili mkawaoa mashoga kama ambavyo kanisa lilivyoruhusu
 
Lakini hii ipo kwenye andiko rasmi
Kwakua biblia haijatenga maandiko ili kuyapa mkazo na udhaifu kwa namna ya Quran isipokua huwa mtoa neno mwenyewe anasema kama hili ni pendekezo au ni neno kutoka kwa mamlaka yenye nguvu kuliko.
 
We jamaa nifala kweli. Kwahiyo ukikuta kitu kimeandikwa kwenye biblia kumeruhusiwa kufanywa? Mfano ukikuta mauwaji yamezungumziwa kain alimuua Abel , basi mauwaji yamezungumziwa? Kwenye biblia kuna mambo mengi mazuri na mabaya yalitokuwa yanafanywa na watu mbalimbali haina maana uchukulie matendo mabaya yaliyoandikwa ukasema yameruhusiwa. Suala.la kuoa wake wengi sio Amri ya Mungu ni Tamaa za kibinadamu. Maana kama lingekuwa agizo la Mungu basi Mungu angeumba wanawake wengI zaidi duniani kuliko wanaume tena mara nne yetu lakini utakuta tunawazidi wanawake kwa idadi duniani sasa kila mtu akichukua wanne itatosha🤣 au basi tutakuwa tunaibiana
 
Haikuwa hivyo tangu mwanzo, wana wa Israel walikopi utamaduni wa kiafrica huko misri na Mungu aliwaruhusu kwa sababu ya Musa

Huu utamaduni wa kuoa wake zaidi ya wawili nauona kwa waafrika na waarabu
 
Nimekuelewa
 
Haikuwa hivyo tangu mwanzo, wana wa Israel walikopi utamaduni wa kiafrica huko misri na Mungu aliwaruhusu kwa sababu ya Musa

Huu utamaduni wa kuoa wake zaidi ya wawili nauona kwa waafrika na waarabu
Kuna ushahid wa kimaandiko wa hili?
 
We jamaa nifala kweli. Kwahiyo ukikuta kitu kimeandikwa kwenye biblia kumeruhusiwa kufanywa? Mfano ukikuta mauwaji yamezungumziwa kain alimuua Abel , basi mauwaji yamezungumziwa? Kwenye biblia kuna mambo mengi mazuri na mabaya yalitokuwa yanafanywa na watu mbalimbali haina maana uchukulie matendo mabaya yaliyoandikwa ukasema yameruhusiwa. Suala.la kuoa wake wengi sio Amri ya Mungu ni Tamaa za kibinadamu. Maana kama lingekuwa agizo la Mungu basi Mungu angeumba wanawake wengI zaidi duniani kuliko wanaume tena mara nne yetu lakini utakuta tunawazidi wanawake kwa idadi duniani sasa kila mtu akichukua wanne itatosha🤣 au basi tutakuwa tunaibiana
We nae umeandika kama huna KENDE vile, 😂🤣

Jadili hoja, ufala unatokea wapi, haya we mjuani nikuswalike kaswali.
Kain alipomuua abel kipi kilitokea, aliishi poa tu, hakuna lolote lilimfike, hakujilaumj wala kulaumiwa..?

Soma tena vizuri ulichoandika, unataka kusema WANAUME ni wengi kuliko wanawake.. We ukapimwe mkojo😂 takwimu hizo ni za wapi.
Hapa kijinsia wanawake ni wengi zaidi, na bado katika sisi wanaume kuna wale machoko, bafo kuna wale mahanithi, bado kuna wale wasio na nguvu za kuburudisha wanawake, hapo idadi inazidi kupukutika
 
Back
Top Bottom