Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Nikwamba hivi biblia iliingizwa mikono ya watu kwa utashi wao hasa uhuni huo umefanyika sana kwenye hiki kinachoitwa agano jipyaNa hapo ndio ninapoona biblia imetungwa na mwanaume mwenye libido coz wamejipakulia minyama tu..!!
Maagano yote, inshort vitabu vyote kuanzia bible mpk msaafu ni uhuni tu..!!Nikwamba hivi biblia iliingizwa mikono ya watu kwa utashi wao hasa uhuni huo umefanyika sana kwenye hiki kinachoitwa agano jipya
wewe unaendaga kanisani kufanya nini sasaMaagano yote, inshort vitabu vyote kuanzia bible mpk msaafu ni uhuni tu..!!
Hili andiko linatoka kutoka na hizo ni Sheria za Musa, ukisoma torati utagundua mambo mengi yalikuja kuwekwa sawa na Yesu hapo baadae, kwahiyo torati ni kama haitoshi hivi kukupa jibu la mwisho hadi urudi uone Yesu alisemaje juu ya jambo hilo.Ukisoma biblia, kutoka 21, 10. Inasema
"kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa."
Ukisoma toka mwanzo utagundua kuwa utagundua hapa yamezungumziwa mambo ya kuachia watumwa.. Sipingi hilo, lakini kitendo tu cha kusema kama AKIOA MKE MWINGINE, yule wa awali AENDELEE KUMPA HAKI ZAKE ZA NDOA,
huu ni uthibitisho tosha ndugu zetu mnaruhusa ya kuoa mke wa pili.
Au mimi ndio nimetafsiri hovyo.
Hii ni kwa wale wanangu wa kikristo waliokuwa wanalalamika mambo ya mke mmoja.
Una ushahidi gani😂🤣😹😹😹 Hauna nguvu bhana labda km mnatumia vumbi la Kongo
Tuko hapa, KATAA NDOA iwe ya mke moja au zaidi ya mmojaNgoja kataa ndoa waje
hahahahaha 😂😂😂Na hapo ndio ninapoona biblia imetungwa na mwanaume mwenye libido coz wamejipakulia minyama tu..!!
Ukristo unaanzia kwa kristo mwenyewe, agano jipya, huku kutoka haUkisoma biblia, kutoka 21, 10. Inasema
"kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa."
Ukisoma toka mwanzo utagundua kuwa utagundua hapa yamezungumziwa mambo ya kuachia watumwa.. Sipingi hilo, lakini kitendo tu cha kusema kama AKIOA MKE MWINGINE, yule wa awali AENDELEE KUMPA HAKI ZAKE ZA NDOA,
huu ni uthibitisho tosha ndugu zetu mnaruhusa ya kuoa mke wa pili.
Au mimi ndio nimetafsiri hovyo.
Hii ni kwa wale wanangu wa kikristo waliokuwa wanalalamika mambo ya mke mmoja.
Je yesu kristo alisema anakuja amekuja kutengua torati ama?Ukristo unaanzia kwa kristo mwenyewe, agano jipya, huku kutoka ha
Ukiwa ukristo
Ni sahihi kabisa Mkuu. Hata Daudi na Suleiman (Mfalme wa Hekima) walioa zaidi ya hao wawiliUkisoma biblia, kutoka 21, 10. Inasema
"kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa."
Ukisoma toka mwanzo utagundua kuwa utagundua hapa yamezungumziwa mambo ya kuachia watumwa.. Sipingi hilo, lakini kitendo tu cha kusema kama AKIOA MKE MWINGINE, yule wa awali AENDELEE KUMPA HAKI ZAKE ZA NDOA,
huu ni uthibitisho tosha ndugu zetu mnaruhusa ya kuoa mke wa pili.
Au mimi ndio nimetafsiri hovyo.
Hii ni kwa wale wanangu wa kikristo waliokuwa wanalalamika mambo ya mke mmoja.
Yesu alisemaje kuhusu tourati?Hili andiko linatoka kutoka na hizo ni Sheria za Musa, ukisoma torati utagundua mambo mengi yalikuja kuwekwa sawa na Yesu hapo baadae, kwahiyo torati ni kama haitoshi hivi kukupa jibu la mwisho hadi urudi uone Yesu alisemaje juu ya jambo hilo.
Na kwenye hiko kipengele kilikuja kuwekwa sawa na Yesu.
"Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja" (Mathayo 19:5-6). (Hii ni kama Sheria kwa maana imesemwa na Yesu)
Ila pia kuna bwana mmoja wa kuitwa Paulo ambae alikua mtume nae aliwahi kutoa mapendekezo na kuweka msisitizo wa mtu kuwa na mke mmoja, ingawa yeye alijikita zaidi kwa viongozi wa makanisa (hii sio Sheria ya kimungu ila ni mapendekezo kama hayo ya Musa uliyoyaona kwenye kutoka).
Kwahiyo kabla ya Yesu watu walikua wanaoa watu wengi, kuna mwamba alio wake mia saba na michepuko mia tatu 🤣🤣🤣🤣, na ikumbukwe mimba ya huyu mwamba alitungwa baada ya Daud kumkula mke wa askari wake, kwahiyo ni uzinzi juu ya uzinzi.
KuitimilizaJ
Je yesu kristo alisema anakuja amekuja kutengua torati ama?
Maana yake?Kuitimiliza
Kwanini unatumia agano jipya tu na sio la kale?Tunatumia agano jipya na sio agano la kale
Marko 10:6-9
KuikamilishaMaana yake?
Basi, kama hakuja kuitengua bali kuikamilisha basi ni ruhusa kuoa mke wa pili.Kuikamilisha
Maandishi yako yanaonyesha 😹😹Una ushahidi gani😂🤣
Muulize mama watoto yeye ndio anajua habari zangu.
Toka niwe na akili zangu timamu, sijawahi tumia hilo vumbi la kongo wala kidonge chochote kuongeza nguvu, naapia kwa mola wangu