Ukristo unaruhusu ndoa ya mke wapili kwa mujibu wa andiko hili

Kwahiyo unataka kusema mengine ni utashi wa musa na sio maelekezo toka kwa aliyemtuma, sasa anakuwa nabii(mjumbe) gani anajifanyia inavyompendeza yeye?
 
Sawa linahusu watumwa, je hiyo kauli ya ajitwalie MKE WA PILI, huoni hiyo inatosha kuruhusu mke wa pili?
 
Iko wazi hiyo mkuu
 
Hujasuuzwa na kusuuzika vizuri, sijui huwa mnakojoa vitu gani, ile inapigwa kiasi akifanikiwa kwenda kukojoa ni anapepesuka full kulalama miguu haina nguvu, au lah utakapochomoa tu NDONGA usingizi mkali utampitia, ama alalamike njaa ama kiu ya maji.
 
Kwahiyo unataka kusema mengine ni utashi wa musa na sio maelekezo toka kwa aliyemtuma, sasa anakuwa nabii(mjumbe) gani anajifanyia inavyompendeza yeye?
Kama Suna Qawliyya tu, sio faradhi hiyo.
 
Tahadhari msije mke wa pili mkawaoa mashoga kama ambavyo kanisa lilivyoruhusu
 
Lakini hii ipo kwenye andiko rasmi
Kwakua biblia haijatenga maandiko ili kuyapa mkazo na udhaifu kwa namna ya Quran isipokua huwa mtoa neno mwenyewe anasema kama hili ni pendekezo au ni neno kutoka kwa mamlaka yenye nguvu kuliko.
 
We jamaa nifala kweli. Kwahiyo ukikuta kitu kimeandikwa kwenye biblia kumeruhusiwa kufanywa? Mfano ukikuta mauwaji yamezungumziwa kain alimuua Abel , basi mauwaji yamezungumziwa? Kwenye biblia kuna mambo mengi mazuri na mabaya yalitokuwa yanafanywa na watu mbalimbali haina maana uchukulie matendo mabaya yaliyoandikwa ukasema yameruhusiwa. Suala.la kuoa wake wengi sio Amri ya Mungu ni Tamaa za kibinadamu. Maana kama lingekuwa agizo la Mungu basi Mungu angeumba wanawake wengI zaidi duniani kuliko wanaume tena mara nne yetu lakini utakuta tunawazidi wanawake kwa idadi duniani sasa kila mtu akichukua wanne itatosha🤣 au basi tutakuwa tunaibiana
 
Haikuwa hivyo tangu mwanzo, wana wa Israel walikopi utamaduni wa kiafrica huko misri na Mungu aliwaruhusu kwa sababu ya Musa

Huu utamaduni wa kuoa wake zaidi ya wawili nauona kwa waafrika na waarabu
 
Haikuwa hivyo tangu mwanzo, wana wa Israel walikopi utamaduni wa kiafrica huko misri na Mungu aliwaruhusu kwa sababu ya Musa

Huu utamaduni wa kuoa wake zaidi ya wawili nauona kwa waafrika na waarabu
 
Kwakua biblia haijatenga maandiko ili kuyapa mkazo na udhaifu kwa namna ya Quran isipokua huwa mtoa neno mwenyewe anasema kama hili ni pendekezo au ni neno kutoka kwa mamlaka yenye nguvu kuliko.
Nimekuelewa
 
Haikuwa hivyo tangu mwanzo, wana wa Israel walikopi utamaduni wa kiafrica huko misri na Mungu aliwaruhusu kwa sababu ya Musa

Huu utamaduni wa kuoa wake zaidi ya wawili nauona kwa waafrika na waarabu
Kuna ushahid wa kimaandiko wa hili?
 
We nae umeandika kama huna KENDE vile, 😂🤣

Jadili hoja, ufala unatokea wapi, haya we mjuani nikuswalike kaswali.
Kain alipomuua abel kipi kilitokea, aliishi poa tu, hakuna lolote lilimfike, hakujilaumj wala kulaumiwa..?

Soma tena vizuri ulichoandika, unataka kusema WANAUME ni wengi kuliko wanawake.. We ukapimwe mkojo😂 takwimu hizo ni za wapi.
Hapa kijinsia wanawake ni wengi zaidi, na bado katika sisi wanaume kuna wale machoko, bafo kuna wale mahanithi, bado kuna wale wasio na nguvu za kuburudisha wanawake, hapo idadi inazidi kupukutika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…