sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Wanawake ni viumbe wa mashindano, kwenye ukristo kabla hujamuoa mapenzi huwa ni moto moto maana geti la ushindani lipo wazi, akizingua anabadilishwa.
Utapewa mapenzi moto moto huku nia yake ikiwa kukuingiza kwenye mtego wa ndoa, hapo kwenye ndoa ukishanasa ndio umefunga rasmi geti la ushindani, unaweza kuwa na michepuko ila kuongeza mke hairuhusiwi hapo.
Kwenye ndoa hapo mnakuwa levo moja tu, anaweza kukunyanyaza atakavyo maana huwezi ongeza mke, na hii ni mpaka kifo kiwatenganishe ( mkristo alibuni msemo kukosea kuoa ni ajali kwasababu hakuna kuongeza mke 😂😂)
Hofu ya ushindani kwa mke uliemuoa ni kitu muhimu sana ili asizingue, lakini pka hata ukiongeza mke ule ushindani wao ni kitu muhimu cha kukuhakishia mwanaume unapata mapenzi matam.
PIA HAKUNA SEHEMU KWENYE BIBLIA YA KIKIRISTO KUONGEZA MKE KUMEKATAZWA