Hivi bro ukiambiwa katafute kitabu fulani hilo ni kosa!?Mimi nmejitahidi hata ku copy kuleta wewe haujafanya hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi bro ukiambiwa katafute kitabu fulani hilo ni kosa!?Mimi nmejitahidi hata ku copy kuleta wewe haujafanya hivyo
Uislam bila uongo unakufa ndugu yanguThe Prophet Muhammad (Peace and Blessings be upon him) married his adopted son’s ex-wife because in Islam, an adopted child is not seen as your actual child. When the Prophet (Peace and Blessings be upon him) adopted Zaid, he named him Zaid Ibn Muhammad, but Allah did not condone this, because in Islam, the lineage of a person is protected. Later on, Zaid and Zainab chose to get divorced, and Allah enforced this idea even more (that your adopted son is not your actual son) by ordering the Prophet (Peace and Blessings be upon him) to marry her.
![]()
Why Did Prophet Muhammad (Peace and Blessings be upon him) Marry His Adopted Son’s Ex-Wife?
The Prophet Muhammad (Peace and Blessings be upon him) married his adopted son’s ex-wife because in Islam, an adopted child is not seen as your actual child. When the Prophet (Peace and Bless…www.ask-a-muslim.com
Unajenga hoja kitoto sanaKwa nini waweke maneno yao!?
Hakuna mahala ambapo Qur'an inaeleza maslahi ya mtu yeyote.
Ingekua Kuna pahala panaonesha Omar zimepenyezwa interest zake basi ningesema ni sahihi pamepenyezwa vitu.
We unatetea kwanini usikilete hapa ?Hivi bro ukiambiwa katafute kitabu fulani hilo ni kosa!?
Shida Aya zilikua zinashuka kumpendelea Mohammad ndomana Kuna mda utaambiwa Aya ilifutwa.Tangu Dunia inaumbwa sijawahi kukutana nanuongo kuzidi uislamu yaani uislamu unazidi hata definition ya uongo
Ptuuuu🤮
Mimi na wewe nani anajenga hoja kitoto!?Unajenga hoja kitoto sana
Swali mna uhakika gani Omar na wenzake hawajaweka mawazo yao baada ya kukusanya hayo magomr na karatasi?
Kama alaa aliweza kumshushia mwamedi kuluwani (ingawa ni uongooo) alishindwaje kukusanya hizo Aya awape wafuasi wa mudi wazihifadhi bila kukusanya vipande vipande
Hoja hamuna mtahangaika kutanga tanga ila ufedhuli wenu hauwezi kuichafua uislam.Tangu Dunia inaumbwa sijawahi kukutana nanuongo kuzidi uislamu yaani uislamu unazidi hata definition ya uongo
Ptuuuu🤮
Ukishindwa kutimiza majukumu yako tafsiri yake hujui unachokifanyaUnajielewa wewe!?
Mfano mtu akakwambia nenda katafute kitabu fulani hiyo ni kazi!??
Are you fucking out of your mind!?
Ila ungeambiwa ukatafute kitu kwenye biblia ungeshindwa!??
Umetajiwa kitabu nenda katafute unaanza kuleta excuses!?
Unajua Sasa hivi niko wapi na katika mazingira gani?We unatetea kwanini usikilete hapa ?
Sawa sheikh wangu ukitulia utaletaUnajua Sasa hivi niko wapi na katika mazingira gani?
Majukumu gani unayoyasemea wewe!?Ukishindwa kutimiza majukumu yako tafsiri yake hujui unachokifanya
Wewe ambaye unakijua umeshindwa kuniletea Mimi nisiyekijua nitakitoa wapi?
Unajisoma kweli kichwani?
Hivi unajisikia kabisa unachotetea?
Una uhakika gani kama hiyo nukuu ni sahihi!?Nimekukuletea nukuu toka kwenye tovuti ya kiislamu umeikataa na kuipinga, sawa nimekuambia niletee chanzo chako unaanza kunitumia Mimi tena?
.achana na janja janja wewee
Amekua mkali sana hoja imempalia.Ukishindwa kutimiza majukumu yako tafsiri yake hujui unachokifanya
Wewe ambaye unakijua umeshindwa kuniletea Mimi nisiyekijua nitakitoa wapi?
Unajisoma kweli kichwani?
Hivi unajisikia kabisa unachotetea?
Nimekukuletea nukuu toka kwenye tovuti ya kiislamu umeikataa na kuipinga, sawa nimekuambia niletee chanzo chako unaanza kunitumia Mimi tena?
.achana na janja janja wewee
Qurani gani hii uliyoisoma wewe?Ukiisikiliza Quran inavyoimbwa unaweza ukaona ni kitu cha maana,ila soma na kuielewa ndio utaona utani wake maana humo utakutana na Mzee wa miaka 53 anaoa mtoto wa miaka 6,utaona mzee anachukua mke wa mwanae na kumuoa yani ni tofauti na kile unachokiona juu juu ukihadithiwa, na wengi wao kutokana na Ile lugha iliyoandika Quran hawaelewi kilichopo mle wao wanawasikiliza hawa Wafanya tafsiri.
Yakobo alipigana na mungu?? Au ni translation ya Jina alilopewa baada ya hilo tukio?Mbona pia biblia inavituko zaidi ya hivyo mara yakobo akapigana na Mungu akamshinda , mara lotu Ali lala na binti zake wakuwazaa sioni mkichekana.
Interest za waarabuMimi na wewe nani anajenga hoja kitoto!?
Pia ukome kusome Qur'an ni uongo haikushushwa.
Qur'an imeshushwa Kwa mafungu,kwahiyo ulitaka kusema Allah ndio afanye kazi Tena ya kuikusanya Qur'an baada ya kuwashushia waja wake!??
Pia ukizingatia mtume alifariki,ulitaka atume wayhi Kwa nani kuhusu kuikusanya Qur'an!?
Wagalatia mnawaza kama bata ama kondoo.
Nimekuuliza je Kuna pahala katika Qur'an kunaeleza interests za waarabu au za Omar!??
Hujatoa jibu.
Ficha ujinga wako dada.Nipe Aya ya Quran ukiacha walioongez maneno ya tafsiri maana Quran inatiwa mikono na watia tafsiri
oYAAAAAAAA Takbiiiir mudy apigweUkiisikiliza Quran inavyoimbwa unaweza ukaona ni kitu cha maana,ila soma na kuielewa ndio utaona utani wake maana humo utakutana na Mzee wa miaka 53 anaoa mtoto wa miaka 6,utaona mzee anachukua mke wa mwanae na kumuoa yani ni tofauti na kile unachokiona juu juu ukihadithiwa, na wengi wao kutokana na Ile lugha iliyoandika Quran hawaelewi kilichopo mle wao wanawasikiliza hawa Wafanya tafsiri.
Quran inasomwa kama mashairi unavyosoma sasa shairi limasomwa au linaimbwa?Qurani gani hii uliyoisoma wewe?
Wacha uzwazwa, Qurani haiimbwi. Inasomwa, pumbafffff
Toa Aya kama unayoFicha ujinga wako dada.