Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba ni neno la watu wasio oa?Neno la kihuni tu,
Live & Direct = Mubashara
Hiyo haipo mkuu...siwezi kumind vitu viso na tijaHapa Joseverest lazima amaind maana umemuwahi.
hapana,Kwamba ni neno la watu wasio oa?
Duuh hii sikuijua kabisa kama jina limekaa kama TUSI[emoji3]Kishkwambi==tablet
Angesema "naangalia mpira wa miguu mubashara huku nikinywa sharubati ya tufani".Hii yako ulitakiwa useme naangalia mpira wa miguu matangazo " mubashara" huku nikiwa tufaa na sharubati mkononi.
Sikuwahi kufahamu kuwa katika kiswahili kuna neno linaitwa mubashara, likimaanisha "matangazo ya moja kwa moja yaani live".
Jana kwa mara ya kwanza nilivyoona hilo neno chini ya nembo ya ITV nilidhani ni kifupisho cha maneno fulani.
Hivyo tuendelee kujifunza lugha yetu adhimu:
Mbashara (si mubashara) = Live
Sharubati = Juice
Tufaa = Apple
Nywila = Password
View attachment 467982
Angesema "naangalia mpira wa miguu mubashara huku nikinywa sharubati ya tufani".
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Asilimia kubwa sana ya maneno ya Kiswahili yanatokana na Kiarabu.Mubashara ni neno la kiarabu lenye maana moja kwa moja au Live
Wewe ndio miongoni mwa watu mliotafsiri Central Police kama Kituo cha kati cha polisi badala ya Kituo Kikuu cha PolisiNeno "mubashara" ni jina la kiarabu la msichana likimaanisha "mleta habari njema". Matangazo ya moja kwa moja kwa kiingereza ni "live broadcast" ambapo ukifasiri kwa kiswahili ingefaa kuwa "matangazo hai".
Msimbo=codeSikuwahi kufahamu kuwa katika kiswahili kuna neno linaitwa mubashara, likimaanisha "matangazo ya moja kwa moja yaani live".
Jana kwa mara ya kwanza nilivyoona hilo neno chini ya nembo ya ITV nilidhani ni kifupisho cha maneno fulani.
Hivyo tuendelee kujifunza lugha yetu adhimu:
Mbashara (si mubashara) = Live
Sharubati = Juice
Tufaa = Apple
Nywila = Password
View attachment 467982
Tatizo lako ni kwamba unajizuia kufikiri ndio maana umekimbilia kutia maneno kinywani mwangu.Wewe ndio miongoni mwa watu mliotafsiri Central Police kama Kituo cha kati cha polisi badala ya Kituo Kikuu cha Polisi
Sorry mkuu kama nimekukwaza au nimeandika kwa lugha ambayo imekuumiza lakini kusudio langu lilikuwa ni kwamba sio lazima neno litafsiriwe kwa neno kama yaani "live broadcast" iwe matangazo hai ndo nikatoa mfano wa wale waliotafsiri Central police kuwa kituo cha kati badala ya kituo kikuu...otherwise ni majadiliano tu mkuu na sifa yetu wanadamu ni kutofautiana mawazo lakini mwisho wa siku kinapatikana kilicho bora..samahani kwa mara nyingine tenaTatizo lako ni kwamba unajizuia kufikiri ndio maana umekimbilia kutia maneno kinywani mwangu.
Kiswahili kingesafishwa iwe ya Africa zaidi badala ya kuongeza maneno ya kigeni kila sikuMubashara ni neno la kiarabu lenye maana moja kwa moja au Live