Ukurupukaji wa Hayati Magufuli unavyozidi kuligharimu taifa hata baada ya kifo chake

Sasa mwekezaji gani angekuja kipindi cha utawala wa giza usiofata sheria? Wawekezaji karibu wotw walisepa ila kwa sasa Mama anajaribu kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji. Pia punguza munkali na kulia lia bila sababu. Nchi gani watu wanaokota pesa? Kuwa serious wakati mwingine
 
We have to move forward tuache Gubu.

JPM he is No longer, tuko wenyewe sasa tuonyeshe maajabu.

Njia pekee ya kupambana na marehemu JPM nikufanya vitu vikubwa na tangiable zaidi yake halafu raia tutapima wenyewe.

Kumsimanga halafu hakuna mnachofanya na wala hatuoni maajabu yeyote zaidi yake ni kuonyesha KIASI CHA UPUMBAVU WA HALI YA JUU.
 
Kwa ambao hakuwagusa mnaimba na kusifu
 

Hawa wanapenda kujificha nyuma ya kivuli cha mtu ambaye ni mfu na hajui lolote. Wanaacha kushughulikia namna bora ya kutatua changamoto zilizopo mbele ya nchi, badala yake wanakaa chini na kuanza kulia, kulaumu, kukufuru n.k. vitu ambavyo havina msaada hata kidogo kwa nchi. Aliyeenda kaenda kulia kwa ajili ya makosa yake haitatusaidia kama taifa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
CCM ako kutafuta mtu wa kumbebesha mzigo ili waonekane wanaupiga mwingi, no wonder uwezo wako wa kufikiri umeshindwa kugundua hili. JPM aliwahi kulaumu serikali kushindwa kwenye kesi zake, unajua ni kwa nini? Majizi ya CCM ndo yanatengeneza hizo kesi na kupiga pesa. Mchawi ni yule uliye naye wala siye aliyefariki
 
Hata ndege yetu imeshikiliwa Tena kwa makosa ya kukurupuka ya kufuta Mkataba wa mwekezaji wa miwa kule Morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…