Ukurupukaji wa Hayati Magufuli unavyozidi kuligharimu taifa hata baada ya kifo chake

Ukurupukaji wa Hayati Magufuli unavyozidi kuligharimu taifa hata baada ya kifo chake

Anaweza asiwe yeye pekee lakini yeye anamchango mkubwa sana kwenye kubaribu hii nchi
Nchi mbovu toka zamani, na bora hata JPM alikuwa anataka kuweka mfumo mpya kuona kama ungeleta tija.. Ila hawana wengine wanapita mle mle kubovu kwa miaka yote.
 
...mungu wako ni mjinga sana, ccm itawatesa miaka mingi sana
Kweli CCM imetutesa miaka mingi lakini Jiwe ndani ya miaka mitano kazidi mateso ya CCM ya miaka nenda rudi ndiyo maana Mungu akamwondosha haraka sana
 
Jamani kuweni wastaraabu basi mtu alishafariki lakini kila kukicha mko nae mumuache mzee wa watu apumuzike.
 
Viva JPM

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
images.jpeg
 
Hawa Wajane wa Mgufuli wanamtukana sana Raisi wangu mpendwa Bi Samia.

Kinana yuko wapi awadhibiti hawa Wahamiaji haramu wengine wanatukana hadi kwa Kilugha chao.
 
Hawa unawazungumzia akina Nani? Mimi sio sehemu ya utawala wa Sasa na huwa naukosoa pia
Viongozi wetu waliopo na waliopita lazima wajadiliwe, kwa mazuri au mabaya, mtake msitake

Inategemea level ya kufikiri ya mtu. Wenye uelewa wa juu wanaongelea issues na si watu.
 
Kusema ule ukweli kabisa na Mungu ananiona Magufuli alifaa kuwa Afisa Mifugo pengine wa Wilaya au hata Mkoa.

Hakufaa kabisa kuwa Raisi wala Waziri Mkuu wa Taifa letu teule Kisiwa cha Amani kwenye Bahari ya Vita.

Mimi nilisemaga iadaliwe "Kamba" aliposema anajua idadi ya Samaki kwenye Bahari ya Hindi huku akipigiwa makofi na Wagonjwa wenzake wa Akili akiwemo Spika wa wakati huo "mwenye file Mirembe"hapo nilishtuka sana.

Na sasa yeye kajiua katuachia madeni yasiyolipika.
 
Back
Top Bottom