Ukurupukaji wa Hayati Magufuli unavyozidi kuligharimu taifa hata baada ya kifo chake

Uchumi ni mzuri mno!

Kawaulize wakulika wa pamba,mahindi,mchele,kahawa na mazao mengine. Watakupa ushuhuda!
 
Nchi hii imeshadaiwa na wadeni wangapi? Kwa sababu za mikataba mibovu. Kwani IPTL ulikuwa mkataba wa nani? Mbona bado kama unaendelea?

Hakuna kitu cha hovyo kwa mwanadamu kama kujidanganya nafsi.

Hao wati wamepewa eneo ambalo hawakuliendeleza. Hiyo yenyewe ni kashfa kubwa. Walipewa kwa vigezo gani?

Watanzania tulikwama wapi sijui
 
We nae punguwani kabisa. Ndiyo umeandika maujinga gani haya?

Aliyesabasha ndege ikamatwe ni jpm wako aliyekurupuka kuvunja mkataba 2016. Huu ndiyo ukweli!
Aliuvunja kwa sababu gani? Kama walikuwa wawekezaji, nini kiliwapata wasiwekeze kwenye eneo walilopewa?

Mbona Bakheresa amejenga kiwanda muda mfupi na Sukari iko sokoni?

Nani alisema kila mtu mweupe ni mwelezaji wa kweli?
 
Hapa nikae kwa kutulia niangalie comments kati ya wazee wa legacy na wale jamaa wa mama anaupiga mwingi 😂😂😂
 
U
We nae punguwani kabisa. Ndiyo umeandika maujinga gani haya?

Aliyesabasha ndege ikamatwe ni jpm wako aliyekurupuka kuvunja mkataba 2016. Huu ndiyo ukweli!
Una uhakika uo mkataba usingevunjwa ungekua na maslahi
 
Uzalishaji gani ungefanya wakati huna umeme wa kutosha wala usafirishaji wa haraka wa bidhaa zako?
Kilimo umeme wa nini.Pili hizo zaidi ya tilioni 30 zilizowekwa kwenye miradi kwa akili yako zitarudi na hata zikirudi ni baada ya miaka mingapi.
Hizo ndege je zote zinafanya Kazi? Hio miradi muda wa kurejesha mkopo ulishafika tena kwa riba kubwa hali hata uzalishaji bado.Zipo project tu nyingi za ndani zingeweza rejesha hio pesa ndani ya mda mfupi Sana.
 
Acha mawazo ya kimaskin Yani kilimo umeme wa Nini unadhani kilimo Cha mkono kinaweza mtoa mtu
Ndege ni nchi ngapi wana makampuni Yao ni magu aliwanunulia?
Kwako umeme Hauna umuhimu hivyo kwako bwawa halikua muhimi sasa ww unatofauti Gani na wamama waliokua wanagalagala Lindi leo
 
Ngano tunategemea ya Ukraine na Russia unadhani wanalimia mikono?
Yani ungekataa vyote ila apo kwenye umeme wa Nini mkuu umefeli sana futa kauli yako kabisa Yani ata wenzako wasio mpenda magu hawato kuunga mkono
 
Kama inawasha unaruhusiwa kuichomoa alaf upakwe unga wa ngano[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekupata lakini Great thinker utamjua kwenye stara na kupangilia hoja ili mjadala uwe mzuri na wanaosoma nao wapate faida.
 
Chawa wa Samia

Kuna Mu Iran mmoja yuko uhamishoni Canada. Alikuwa ndugu wa ufalme na mwana usalama kabla hajakimbia alipokosana nao.

Anasema kwenye documentary ya NETFLIX kwamba serikalini Iran wana ofisi ya IT kazi yake ni kutuma maelfu na maelfu ya ma post ya kuupamba utawala, na kupinga wakosoaji, na wanayatuma kana kwamba kuna watu weeengi wanaunga mkono utawala. Kama hicho kitengo hakipo serikalini URT basi kipo CCM, I bet everything I have on this.
 
Kwani lazima kuwa na staha kama viongozi wenyewe hawana staha kwa wananchi wao?.
Magufuli ndio alikuwa hana staha kwenye mikutano yake labda na yule Lameck

Lakini Samia labda limteleze nayo atasema "ashakum si matusk"

Yule Mhutu ndio alikuwa na laana ya kutisha kupiga Mashangazi wa Kimakonde
 

Usingeuliza umeme wa nini kwenye kilimo ningeona ww unauelewa mpana ila umesinyaa akili kwa kuwaza unapoishia kuona hakuna mradi wowote unaorudisha hela kwa haraka usijidanganye ka kaakili kako ka ngedere
 
Wamama wanachafua vikojoleo vyao kiongozi akiondoka wanabaki na mavumbi kwenye vuzi hata maji ya kuogea hawapewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…