Uchaguzi 2020 Ukweli ambao wana CCM hawataki kuusikia: Magufuli hatashinda Urais Uchaguzi Octoba 2020

Kwa hiyo hili genge la watawala Ni adui wa umma mzima wa waTanzania?
 
True na upinzani utapata wabunge wengi Sana kuliko awamu zingine.
Bunge lijalo litakuwa strong lenye wabunge vichwa toka ccm na upinzani, upinzani utakuwa na wabunge wengi Sana upcoming.
hahahaha, yetu macho.Upepo wa Lowassa bado unawasumbua akili, na kujiona nanyi mnaweza mnasikitisha
 
Uchaguzi huu wa 2020 ni mgumu mno tangu kuasisiwa kwa vyama vingi !!
Kwenye uchaguzi wa
Mwaka 2015 Rais wa CCM alipata kura 8million+ na Mgombea wa CHADEMA alipata kura 6million+.
Kwa graph hii sioni ikishuka bali naona ikipanda tena kwa kasi ya ajabu!!

Ukiangalia existting live factors zilizopo na vibe ya Mhs Tundu Lissu, tuombe Mungu atupe uchaguzi wa uhuru na haki!
Tanzania sio nchi ya umwagaji damu.
Vyombo vya ulinzi na usalama visitumike kama maroboti, watumie akili zao na busara, hao wapinzani wanao wafurumusha ni ndg kaka na dada zao!!
Wasitumike kwa matakwa ya mtu mmoja waangalie maslahi mapana ya nchi yetu!!
Muhimu zaidi usalama na Amani!!
 
Baa
Baada ya Magufuli kutangazwa mshindi wa Urais, tafadhali nitakuomba urudi tena uje uandike utumbo wako na Ramli ya kijinga kama hi. Karibu sana!
 
Kwa hiyo hili genge la watawala Ni adui wa umma mzima wa waTanzania?

Hizi ni sheria za kawaida tuu katika kukabiliana na chama pinzani baada ya ushindi kufuatia upinzani mkali. Nikawaida tuu.

Sheria hizi hazifanyi kazi kama umma hauko nyuma yako. Unatakiwa uwe na hakika wengi ya raia wapo nyuma ya chama chako.

USIPANIK, MAPIGO MATATU MATAKATIFU YANAKUJA MUDA SIO MREFU KABLA YA UCHAGUZI. siasa ni sayansi
 
we jamaa nilikua naona mtu wa maana sana kumbe takataka tu
 
cdm bana 😂 😂 😂 😂 , mtu mwenyewe hata kura za maoni hajatoka wa kwanza sasa sjui mnategemea miujiza gan ya kura! kampeni zinaanza tutaona mengi
 
Uvundo wa hatari
 


hongera kwa kuandika novel ndefu sana, ila amna cha maana umeandika apa, katika kipindi cha huu mwaka wote tsh ya tanzania ndo pesa pekee iliobaki stable kwa mwaka uzima ukijumlisha na corona ndo nchi pekee ambayo haijafukuza watu kwenye ajira kisa corona! kuhusu uchumi just shut up maaana ndo kwanza tumeingia uchumi wa kati, uhuru wa mitandao kwan hujaandika taarifa apa jamii forum na tumeisoma unataka uhuru gan mwingine? biashara kufungwa ni kitu cha kawaida sana hata kwenye uchumi imara biashara bado znafungwa na hata kwenye uchumi mbovu bado biashara nyingi zinafunguliwa! swala la lissu ni very open na hauna any evidence kwamba ni ccm inahusika kama una evidence jitokeze kafungue mashtaka utaskilizwa mahakama zpo nyingi sio lazima ufungue kesi tz.. kwa kua huna ushahidi then just shut the hell up or else mpaka apo unamashataka ya kujibu, mara wafanya biashara yaani unaongea vitu ambavyo hauna evidence navyo! of which ndo kiwakilishi kizuri cha cdm kazi yao kuongea vitu visivo na evidence! tunawaacha tu kwa kua hua hamnaga pointi za maana
 

Kama sio kigezo cha kuchaguliwa kwenda ikulu hebu twambie mnakwenda ikulu kufanya nini? Mtawambia watanzania mtawafanyia nini? Bawacha hebu twambie
 
Kama sio kigezo cha kuchaguliwa kwenda ikulu hebu twambie mnakwenda ikulu kufanya nini? Mtawambia watanzania mtawafanyia nini? Bawacha hebu twambie

hawajawahi kuwaga na cha maaana , juzi juzi mbowe alienda kufanya kampeni jimboni kwake wakamtimua! wanalalamika jamaa kila akienda haongei atafanya nn ila anapiga story za lissu kila sku
 
Hivi kuna watu wazima wenye akili zao timamu bado wako wanawaza kua Tundu Lissu atashinda uchaguzi wa mwaka huu? Yani pamoja na umaarufu wa Dr. Slaa na wimbi la kuungwa mkono hadi kupeleka kura za maruhani, hakushinda, Tundu Lissu atashindaje yani. Nadhani tuwe realistic, Lissu mwaka huu hawezi kupenya, kimsingi sio Lissu, mpinzani yeyote hawezi penya.

Tuache ushabiki na tuwe wakweli.
 
Not this timeView attachment 1517562

Ujinga kama huu hautarudiwa tena

Mimi nitaendelea kukusifu kwa wewe kuwa na imani ya dini: Yesu anarudi miaka 2000 imepita na bado unaendelea kusubiri bila kukata tamaa, ra kwa mambo ya kidunia na yatendwayo na mwanadamu. NILIKUWA HUKO AMBAKO UKO WEWE LEO NA NIKAWA KIONGOZI NA KUTUMIA MALI ZANGU KUJENGA CHAMA UPARENI lakini baada ya kupata nafasi na nikachungulia nyumba, nilikuta nilivyo aminishwa sivyo. LEO NIPO KATI KWA KATI NA NIKIFUATILIA KWA UFAHAMU NA SIYO KWA HISIA.
 
Hahaha...watu na ndogo zao.. Mtaashia kusema mmeibiwa kura baada ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…