Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Baada ya hili sakata la TikTok nimekutana na wadau majukwaani wakidai China ndio wa kwanza kufungia mitandao ya kijamii ya Marekani. Kwa hiyo ni kama Marekani nao wameijibu China.
Wengi hawajui kuhusu sheria za China inapohusu huduma zozote ambazo zitahitaji taarifa za watumiaji.
Ikiwa unataka kutoa huduma za mitandao ya kijamii au zozote ambazo zinahitaji taarifa za watumiaji ni lazima ufungue Chinese users data au data center ndani ya China (taarifa za watumiaji wa China lazima zitunzwe ndani ya China na si vinginevyo)
Soma Pia: Bunge la Marekani lapitisha Muswada wa Sheria ya kuifungia TikTok
Twitter (X), facebook, YouTube, Instagram n.k walishindwa kufuata hiyo sheria kwa hiyo walijifukuza wenyewe kutoka soko la China
Kampuni kama vile Apple, Microsoft, Tesla wamekubaliana na sheria ya China wamefungua data centers hivyo wanaweza kutoa huduma zao ndani ya China
Apple walikubali kuanzisha data center nchini China kama sheria inavyotaka.
Twitter (X), instagram, facebook, YouTube, Linkedin etc banned China not China banned them.
TikTok ilifungua primary data center Northern Virginia na Hillsboro, Oregon, Marekani, kwa ajili ya usalama wa taarifa za watumiaji.
Ila bado Marekani inataka ipewe umiliki kabisa. ByteDance wamiliki wa TikTok wakaona huu ujinga ni bora wajitoe soko la Marekani