Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Wachina tunachat nao kila siku wote whatsapp wanatumia VPN! Sasa mbna unapingana na kauli yako kwamba hawajaban? Sheria ndio hizohizo wote wanatumia for banning kiongozi!Sheria lazima ifuatwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachina tunachat nao kila siku wote whatsapp wanatumia VPN! Sasa mbna unapingana na kauli yako kwamba hawajaban? Sheria ndio hizohizo wote wanatumia for banning kiongozi!Sheria lazima ifuatwe
Wachina tunachat nao kila siku wote whatsapp wanatumia VPN! Sasa mbna unapingana na kauli yako kwamba hawajaban? Sheria ndio hizohizo wote wanatumia for banning kiongozi!
Hakuna big tech hata ya U.S ambayo agencies hazina mkono au hazina Ultimate decision.
Hilo la kutaka na wewe unaliamini!?
Mfano mzuri ndio maana serikali inasema kampuni fulani fungeni au tokeni nchi fulani.
Hilo la kuomba kibali kutoka mahakamani huwa ni njia ya kujenga confidence image ya customer kwamba wako safe
Juzi meta wamesema hakuna chochote CIA wanaweza kukitaka wakikosa, unahisi ni kwa sababu ni tech guru kwenye illegal access au wana backdoors!?
Kwa michango huwa unayotoa kwenye jukwaa na uelewa wako sidhani kama hili haulijui
kwani ni kesi ngapi kuanzia kwenye scandel za wikileaks, snowden ambavyo agencies zimekuwa ziki spy washirika wao wa western kwa kutumia American tech devices na software!?
Au hukumbiki ishu za pager za hamas
Marekani hawakurupuki
Kwa hiyo hii sio sahihi sio?
"Ukweli ambao wengi hawaujui ni kuwa China haijawahi kuifungia mitandao ya kijamii ya Marekani, ila mitandao ya Marekani ilikimbia kutoa huduma China"
TikTok kupigwa ban USA ni sahihi, tena wamecheleweshwa...mbona China mitandao ya marekani imepigwa ban. ..mpaka kutumia VPN ndio kupata access. ...
Wewe unaongolea nadharia na pia unaunganisha mambo yasiyohusiana, pia sidhani kama unaelewa maana ya ultimate decision.Hakuna big tech hata ya U.S ambayo agencies hazina mkono au hazina Ultimate decision.
Hilo la kutaka na wewe unaliamini!?
Mfano mzuri ndio maana serikali inasema kampuni fulani fungeni au tokeni nchi fulani.
Hilo la kuomba kibali kutoka mahakamani huwa ni njia ya kujenga confidence image ya customer kwamba wako safe
Juzi meta wamesema hakuna chochote CIA wanaweza kukitaka wakikosa, unahisi ni kwa sababu ni tech guru kwenye illegal access au wana backdoors!?
Kwa michango huwa unayotoa kwenye jukwaa na uelewa wako sidhani kama hili haulijui
kwani ni kesi ngapi kuanzia kwenye scandel za wikileaks, snowden ambavyo agencies zimekuwa ziki spy washirika wao wa western kwa kutumia American tech devices na software!?
Au hukumbiki ishu za pager za hamas
Hata kama kweli CIA na FBI wangekuwa na access kama hiyo waliyo nayo serikali ya China katika makampuni, CIA na FBI hawajawa na tuhuma za kutumia hiyo access kukandamiza wapinzani na wakosoaji wa kisiasa wa serikali iliyo madarakani Marekani.Hiyo golden share ya 1% ni ya Beijing ByteDance Technology, ambayo inahusiana na version ya TikTok ya China tu inayoitwa Douyin haihusiani na TikTok global version
Kuna ubaya taasisi ya kiserikali ikiwa na share kwenye kampuni?
Hata serikali za Ulaya zinatumia pia mfumo wa golden share fanya homework yako vizuri ujionee
Unafikiri mashirika kama CIA na FBI hawana access ya taarifa za watumiaji wa mitandao ya kijamii inayomilikiwa na kampuni za Marekani?
Ni mara ngapi Marekani imekuwa ikidukua mawasiliano tena ya viongozi wa mataifa makubwa duniani?
Umenikumbusha wakati mwendazake John f Kennedy anapiga marufuku SIGARA za kutoka cuba, ye alijiwahi akaagiza pakti kama buku hivi kisha ndio akapiga marufuku 😂🤣Kofia, T-shirt, banners na vikokoro vingine vya Trump vya kupigia kampeni karibu vyote ni Made in China
Na Trump akiwa amevaa hiyo kofia anawadanganya Wamarekani lets Make America Great Again
View attachment 3204908
View attachment 3204909
Trump akitumia power bank iliyotengenezwa na kampuni ya China inayoitwa AnkerView attachment 3204910 View attachment 3204911
What a bunch of jackaloons!
Tufanye umeshinda mkuu, ila hizo taarifa zipo na wanazipata muda wowote wanaotoka, ila ni uhuru wako kukataaWewe unaongolea nadharia na pia unaunganisha mambo yasiyohusiana, pia sidhani kama unaelewa maana ya ultimate decision.
Mambo ya Snowden, WikiLeaks na Pagers za Hamas wala hayahusiani na mada ya mleta uzi. Udukuzi uliozungumziwa na Snowden sio jambo lililoidhinishwa kwa mujibu wa sheria za Marekani ndio maana ikawa scandal. Mjadala kuhusu China sio udukuzi wa serikali kwa kificho kwamba ikigundilika serikali inaweza kupelekwa mahakamani au kuzua mjadala, Kinachozungumzwa kuhusu serikali ya China ni kuwa na mamlaka ya kisheria kupewa taarifa zozote binafsi bila kizuizi chochote au check and balance yoyote.
Hata kama kweli CIA na FBI wangekuwa na access kama hiyo waliyo nayo serikali ya China katika makampuni, CIA na FBI hawajawa na tuhuma za kutumia hiyo access kukandamiza wapinzani na wakosoaji wa kisiasa wa serikali iliyo madarakani Marekani.
Wewe unaongolea nadharia na pia unaunganisha mambo yasiyohusiana, pia sidhani kama unaelewa maana ya ultimate decision.
Mambo ya Snowden, WikiLeaks na Pagers za Hamas wala hayahusiani na mada ya mleta uzi. Udukuzi uliozungumziwa na Snowden sio jambo lililoidhinishwa kwa mujibu wa sheria za Marekani ndio maana ikawa scandal. Mjadala kuhusu China sio udukuzi wa serikali kwa kificho kwamba ikigundilika serikali inaweza kupelekwa mahakamani au kuzua mjadala, Kinachozungumzwa kuhusu serikali ya China ni kuwa na mamlaka ya kisheria kupewa taarifa zozote binafsi bila kizuizi chochote au check and balance yoyote.
Kwann?WhatsApp hawatoi huduma China
Kwann?
Hata TikTok wasipofata sheria za USA Lazima watafungasha viragoHawataki kutii sheria za China kufungua data center
Hata TikTok wasipofata sheria za USA Lazima watafungasha virago
Yoda![]()
US bugged Merkel's phone from 2002 until 2013, report claims
The US has been spying on German Chancellor Angela Merkel's mobile phone since 2002, according to a report in Der Spiegel magazine.www.bbc.com
balance of power huipat kwa kuvamia Taiwan au Ukraine bali ni kuwakusanya wanyonge kwa ushawishiSikupingi tangu kuanguka kwa Soviet Union dunia imekuwa ikihitaji balance of power na China na Russia ziko kazini kwa hilo