Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo marepublican washaona biashara kubwa so wanataka shea tu hamna lingine zaidi, fitna za maslahi binafsiHapa ndipo mzizi wa fitina ya Marekani ulipo. Hakuna lingine lolote
China ikishai-outcompete Marekani basi Mmarekani anakimbilia kusema kamapuni ya China ni tishio kwa usalama
Nchi za kikominist almost zote duniani, wafanyabiashara wa nchi zao sharti wajifungamanishe na utawala or watawala, bongo kuna kampuni kubwa ya mzawa ambaye huyo mzawa sio mwana ccm?Acha upotoshaji Tiktok imepigwa ban kwa sababu Bytedance ina mahusiano ya karibu sana na chama cha Kikomunisti cha China(CCP).
Serikali ya China wana ushirika wa wazi na Bytedance. Serikali ya Chinese Communist Party (CCP) wana "golden share" 1% ambayo inawapa nguvu ya kuteua hadi mjumbe kwenye bodi ya ByteDance na kuhusika kwenye maamuzi muhimu ya hiyo kampuni. Hapo bado hatujaongelea sheria za ujumla za China zinazoyalazimisha makampuni binafsi kuipa serikali taarifa zozote inazozihitaji.Hizo ni propaganda tu, ByteDance hawana ushirika wowote na CPC
Mpaka leo kwa nini serikali ya Marekani wameshindwa kuthibitisha uhusiano uliopo kati ya ByteDance na CPC?
Marekani ikishaona imezidiwa na China wanakimbilia kusema sababu za kiusalama na CPC
Mbona Boeing ina uhusiano mkubwa na Pentagon kama defense contractor je, watu waache kununua ndege zao kwa sababu za kiusalama?
Kila nchi na sheria zake na sio lazima zifanane usitake kulazimisha eti kwa kuwa tiktok walikuwa na data centre US basi hiyo ilitoshaBaada ya hili sakata la TikTok nimekutana na wadau majukwaani wakidai China ndio wa kwanza kufungia mitandao ya kijamii ya Marekani. Kwa hiyo ni kama Marekani nao wameijibu China.
Wengi hawajui kuhusu sheria za China inapohusu huduma zozote ambazo zitahitaji taarifa za watumiaji.
Ikiwa unataka kutoa huduma za mitandao ya kijamii au zozote ambazo zinahitaji taarifa za watumiaji ni lazima ufungue Chinese users data au data center ndani ya China (taarifa za watumiaji wa China lazima zitunzwe ndani ya China na si vinginevyo)
Soma Pia: Bunge la Marekani lapitisha Muswada wa Sheria ya kuifungia TikTok
Twitter (X), facebook, YouTube, Instagram n.k walishindwa kufuata hiyo sheria kwa hiyo walijifukuza wenyewe kutoka soko la China
Kampuni kama vile Apple, Microsoft, Tesla wamekubaliana na sheria ya China wamefungua data centers hivyo wanaweza kutoa huduma zao ndani ya China
View attachment 3204690
Apple walikubali kuanzisha data center nchini China kama sheria inavyotaka.
Twitter (X), instagram, facebook, YouTube, Linkedin etc banned China not China banned them.
TikTok ilifungua primary data center Northern Virginia na Hillsboro, Oregon, Marekani, kwa ajili ya usalama wa taarifa za watumiaji.
Ila bado Marekani inataka ipewe umiliki kabisa. ByteDance wamiliki wa TikTok wakaona huu ujinga ni bora wajitoe soko la Marekani
Tiktok haiwezi kirahisi rahis kukubali kupoteza soko la US na ndo maana hata kwenye recent call ya Trump na xi issue ya tiktok imeongelewaSoko kubwa zaidi la TikTok ni Indonesia, pamoja na nchi zingine za Asia na Latin America n.k na kwa ujumla huko kuna watumiaji wengi kuliko watumiaji wa Marekani.
Na kama haitoshi Wamarekani wengi watumiajia wa TikTok wameanza kujiunga mtandao mwingine wa China Xiaohongshu (RedNote)
View attachment 3204733
Taarifa/data ni bidhaa, silaha kwa dunia ya sasa. Usifikiri unapocreate account kwenye mitandao huwa imeishia hapo, taarifa unazojaza zinachakatwa kwa matumizi mazuri na mabaya kwa kipindi cha sasa na baadae hivyo nchi makini haiwezi kizembezembe kukubali data za raia wake zikawa abused kirahisi rahisi tu.Kinachofurahisha ni kwamba Chinese waliweka sheria kuwa mitandao yote yanje lazima wafungue data center ikiwa wanataka kutoa huduma China iyo ni nzuri sana. Cha kushangaza USA nao wamekuja na sheria yao kwamba mtandao wowote ambao wao wanautilia shaka lazima imilikishwe kwa wamarekani ndio uweze kuoperet nchini mwao. Sijui shida iko wapi hapo. China anaweka sheria kwake na USA nae anaweka sheria kwake
Nchi yoyote yenye ukomunisti yaani ushetani kwa namna moja au nyingine biashara kubwakubwa lazima ziwe na mkono wa chuma wa serikali.Serikali ya China wana ushirika wa wazi na Bytedance. Serikali ya Chinese Communist Party (CCP) wana "golden share" 1% ambayo inawapa nguvu ya kuteua hadi mjumbe kwenye bodi ya ByteDance na kuhusika kwenye maamuzi muhimu ya hiyo kampuni. Hapo bado hatujaongelea sheria za ujumla za China zinazoyalazimisha makampuni binafsi kuipa serikali taarifa zozote inazozihitaji.
Pentagon wana program zao maalumu na Boeing kama wateja, na pia tatizo sio tu ByteDance kuwa na mahusiano na CCP, tatizo kubwa ni jinsi serikali hizo mbili zinavyoendesha nchi zao. Elon Musk ni mmojawapo wa defense contractor wa serikali ya Marekani na alikuwa anawapinga na kuwatukana Rais Biden na Democrats bila kufanywa chochote na serikali, huko China matajiri wengi walioikosoa serikali hata kistaarabu sana wameishia jela, kupotea, kufa, kukimbia nchi au biashara zao kupata kibano haswa.
Hayo yote ni sawa kabisa lakini pia nchi makini zaidi kama USA hulinda raia wake pamoja na products zao.kwa mfano Samia hawezi kuruhusu mchele toka Thailand Vietnam na kwingineko wakati mchele wa Mbeya Shinyanga na kwingineko umejaa kwenye magodauniTaarifa/data ni bidhaa, silaha kwa dunia ya sasa. Usifikiri unapocreate account kwenye mitandao huwa imeishia hapo, taarifa unazojaza zinachakatwa kwa matumizi mazuri na mabaya kwa kipindi cha sasa na baadae hivyo nchi makini haiwezi kizembezembe kukubali data za raia wake zikawa abused kirahisi rahisi tu.
Serikali ya China wana ushirika wa wazi na Bytedance. Serikali ya Chinese Communist Party (CCP) wana "golden share" 1% ambayo inawapa nguvu ya kuteua hadi mjumbe kwenye bodi ya ByteDance na kuhusika kwenye maamuzi muhimu ya hiyo kampuni. Hapo bado hatujaongelea sheria za ujumla za China zinazoyalazimisha makampuni binafsi kuipa serikali taarifa zozote inazozihitaji.
Pentagon wana program zao maalumu na Boeing kama wateja
ByteDance kuwa na mahusiano na CCP, tatizo kubwa ni jinsi serikali hizo mbili zinavyoendesha nchi zao. Elon Musk ni mmojawapo wa defense contractor wa serikali ya Marekani na alikuwa anawapinga na kuwatukana Rais Biden na Democrats bila kufanywa chochote na serikali, huko China matajiri wengi walioikosoa serikali hata kistaarabu sana wameishia jela, kupotea, kufa, kukimbia nchi au biashara zao kupata kibano haswa.
Wewe umeelewa mbele nyuma na nyuma mbele, Tatizo la TikTok ni serikali ya CCP ya China kuwa na unlimited access kwenye data za hiyo kampuni. Makampuni ya Marekani serikali ikitaka data au taarifa zake lazima ipate kibali cha mahakama na mahakama mara nyingi huwa inakataa kutoa hicho kibali. Kuna wakati gaidi mmoja aliuwawa Marekani alikuwa anatumia simu ya Apple FBI waka wanataka apple i unlock simu Apple wakagoma na serikali ikanyimwa kibali na mahakama cha kuwalazimisha apple ku hiyo unlock simu. Tatizo la China ni kwamba police au afisa wa chama tu anaweza kupiga simu na akapewa taarifa binafsi za watu.Ishu kubwa sio kuwa na uhusiano na serikali ya china au lah,
Kwa wenzetu, hakuna kampuni kubwa yoyoye isiyokuwa na mkono wa serikali kuanzia kwa U.S, China Russia na kadharika
ishu ya Tiktok, inawezekana ni sababu U.S Intelligence agencies zikawa zinataka ziwe na access ya user data, ndio maana wanataka source code. Kwa wenzentu taarifa za watumiaji ni mtaji hasa kwenye R.D na n.k
Ishu za facebook na whatsapp china ni the same, hawakufukuzwa, ila waliambiwa waweke server china na serikali iwe na access ya hizo data, Meta (obvious nyuma yake kuna maelekezo ya serikali ya US) walikataa hayo masharti,
Kama ishu ni Tiktok kuwa na ushirika, kwanini wanataka share ziuzwe kwa raia, wa U.S, simple sababu share holder anakuwa sehemu ya umiliki na atapewa access ya data na vitu nyingine,
ishu ya Tiktok, inawezekana ni sababu U.S Intelligence agencies zikawa zinataka ziwe na access ya user data,
Na hizi sheria za kuwa na data center nchi husika naona zimeanza kutumika karibu dunia nzima. EU nao wameanza, Australia walishaanza, India nao wanataka sasa iwe hivyo. Ila hizi sheria naona kama zitaongeza cost ya makampuni kuoperate. Kwa nchi kama za kwetu sidhani kama sitaapply.
Mfano kuitaka starlink, sijui facebook iwe na ofisi hapa sijui kama itacomply. Running cost zitakuwa too much.
Sheria lazima ifuatweSi ndo ban sasa ikafanywa au mi ndo sielewi?
Hakuna big tech hata ya U.S ambayo agencies hazina mkono au hazina Ultimate decision.Wewe umeelewa mbele nyuma na nyuma mbele, Tatizo la TikTok ni serikali ya CCP ya China kuwa na unlimited access kwenye data za hiyo kampuni. Makampuni ya Marekani serikali ikitaka data au taarifa zake lazima ipate kibali cha mahakama na mahakama mara nyingi huwa inakataa kutoa hicho kibali. Kuna wakati gaidi mmoja aliuwawa Marekani alikuwa anatumia simu ya Apple FBI waka wanataka apple i unlock simu Apple wakagoma na serikali ikanyimwa kibali na mahakama cha kuwalazimisha apple ku hiyo unlock simu. Tatizo la China ni kwamba police au afisa wa chama tu anaweza kupiga simu na akapewa taarifa binafsi za watu.