Ukweli ambao wengi hawaujui ni kuwa China haijawahi kuifungia mitandao ya kijamii ya Marekani, ila mitandao ya Marekani ilikimbia kutoa huduma China

Ukweli ambao wengi hawaujui ni kuwa China haijawahi kuifungia mitandao ya kijamii ya Marekani, ila mitandao ya Marekani ilikimbia kutoa huduma China

Hawawezi ushindani hao. walianza figisu kwa Huawei, ZTE nk.

Sasa hivi na magari ya umeme kutoka China kodi ni 100%.

Keshokutwa watakuja kudai boxer au chupi kutoka china zinakusanya intelligence.😂
Nyongeza Amorukano hawataki tena bendera zao zitengezwe China. Kisa China amekuwa muuzaji mkubwa wa bendera zao. Wivu tu na choyo ndiyo umewajaa
 
Nafikiri mtoa mada hujawahi kufika China au unaguess! Kuna wakati nilikwenda na kabla hata ya kutua airport, wkt natumia internet ya ndege nilipokaribia tu nilikutana na firewall ambayo sikuweza kutumia whatsapp wala google hadi siku niliyoondoka.
 
US bado inataka kuongoza duniani kama ilivyokuwa baada ya anguko la USSR, US alikuwa kila kitu, sasa muda na nyakati vinabadilika, leo hii China ilipo hata USSR haikuwahi kufika...

US chini ya Trump ndipo wana hilo wazo kuifanya US iwe great again kama mzee Trumpet anavyosema... haitowezekana kamwe... waliifanyia figisu sana USSR hadi ikaingia vita baridi na ikafanikiwa kuanguka, kwa sasa wanaifanyia China... na the way ninavyo waona Chinese wapo next level ndio maana hata vita ya Ukraine hawajishirikishi...


Wale jamaa wamedhmiria kupambana na US kiuchumi na naliona hilo, katika kila kikwazo US anaweka, China walijua miaka miwili nyuma.... jamaa wamejiandaa... ngoja tuone mchezo..
 
Nyongeza Amorukano hawataki tena bendera zao zitengezwe China. Kisa China amekuwa muuzaji mkubwa wa bendera zao. Wivu tu na choyo ndiyo umewajaa
Kofia, T-shirt, banners na vikokoro vingine vya Trump vya kupigia kampeni karibu vyote ni Made in China

Na Trump akiwa amevaa hiyo kofia anawadanganya Wamarekani lets Make America Great Again

20250118_043504.jpg



20250118_044033.jpg


Trump akitumia power bank iliyotengenezwa na kampuni ya China inayoitwa Anker
20250118_044205.png
20250118_044218.jpg


What a bunch of jackaloons!
 
Kumbe mjomba Nape naye alikua sahihi kuwataka starlink kufungua ofisi bongo😬
 
Ubabe wa Marekani umemuimarisha Mchina.

Dunia inapaswa kuwa balanced. Nobod own the globle for his/ herself
Sikupingi tangu kuanguka kwa Soviet Union dunia imekuwa ikihitaji balance of power na China na Russia ziko kazini kwa hilo
 
Nafikiri mtoa mada hujawahi kufika China au unaguess! Kuna wakati nilikwenda na kabla hata ya kutua airport, wkt natumia internet ya ndege nilipokaribia tu nilikutana na firewall ambayo sikuweza kutumia whatsapp wala google hadi siku niliyoondoka.
Google na the likes of wameshindwa kucomply sheria za China
 
Acha upotoshaji Tiktok imepigwa ban kwa sababu Bytedance ina mahusiano ya karibu sana na chama cha Kikomunisti cha China(CCP).
Bado ByteDance iliamu kuifanya tiktok america iwe ni kampuni inayojitegemea Marekani. Hili ni suala la kiuchumi kuliko la kiusalama. Kampuni yoyote ya China inayofanya vizuri mwisho wanasema inatishia usalama wa Marekani. Mfano DJI nayo inaelekea huko huko, BYD magari yake hayahitajiki Marekani kwa sababu imekuwa tishio na wamesema kabisa ni magari yote yenye kutumia mifumo ya computer, sasa kwa technology ilipo sasa hakuna gari isiyo na mfumo wa computer.
Ni vita ya kiuchumi zaidi na global dominance. Karibu mitandao yote mikubwa ulimwenguni wamiliki ni Wamarekani, hivyo asingetaka mchina aanze kunyemelea taji lake.
 
Google na the likes of wameshindwa kucomply sheria za China
Na hizi sheria za kuwa na data center nchi husika naona zimeanza kutumika karibu dunia nzima. EU nao wameanza, Australia walishaanza, India nao wanataka sasa iwe hivyo. Ila hizi sheria naona kama zitaongeza cost ya makampuni kuoperate. Kwa nchi kama za kwetu sidhani kama sitaapply.
Mfano kuitaka starlink, sijui facebook iwe na ofisi hapa sijui kama itacomply. Running cost zitakuwa too much.
 
Kampuni yoyote ya China inayofanya vizuri mwisho wanasema inatishia usalama wa Marekani
Hapa ndipo mzizi wa fitina ya Marekani ulipo. Hakuna lingine lolote

China ikishai-outcompete Marekani basi Mmarekani anakimbilia kusema kampuni ya China ni tishio kwa usalama

 
Baada ya hili sakata la TikTok nimekutana na wadau majukwaani wakidai China ndio wa kwanza kufungia mitandao ya kijamii ya Marekani. Kwa hiyo ni kama Marekani nao wameijibu China.

Wengi hawajui kuhusu sheria za China inapohusu huduma zozote ambazo zitahitaji taarifa za watumiaji.

Ikiwa unataka kutoa huduma za mitandao ya kijamii au zozote ambazo zinahitaji taarifa za watumiaji ni lazima ufungue Chinese users data au data center ndani ya China (taarifa za watumiaji wa China lazima zitunzwe ndani ya China na si vinginevyo)


Soma Pia: Bunge la Marekani lapitisha Muswada wa Sheria ya kuifungia TikTok

Twitter (X), facebook, YouTube, Instagram n.k walishindwa kufuata hiyo sheria kwa hiyo walijifukuza wenyewe kutoka soko la China

Kampuni kama vile Apple, Microsoft, Tesla wamekubaliana na sheria ya China wamefungua data centers hivyo wanaweza kutoa huduma zao ndani ya China
View attachment 3204690

Apple walikubali kuanzisha data center nchini China kama sheria inavyotaka.

Twitter (X), instagram, facebook, YouTube, Linkedin etc banned China not China banned them.

TikTok ilifungua primary data center Northern Virginia na Hillsboro, Oregon, Marekani, kwa ajili ya usalama wa taarifa za watumiaji.

Ila bado Marekani inataka ipewe umiliki kabisa. ByteDance wamiliki wa TikTok wakaona huu ujinga ni bora wajitoe soko la Marekani
WhatsApp ilifungiwa tangu 2017
 
Back
Top Bottom