Ukweli ambao wengi hawaujui ni kuwa China haijawahi kuifungia mitandao ya kijamii ya Marekani, ila mitandao ya Marekani ilikimbia kutoa huduma China

Wachina tunachat nao kila siku wote whatsapp wanatumia VPN! Sasa mbna unapingana na kauli yako kwamba hawajaban? Sheria ndio hizohizo wote wanatumia for banning kiongozi!
Sheria imefuatwa ndio maana bila VPN huwezi kutumia WhatsApp
 
Anajua sana hilo ila ameamua tu kushupaza shingo
 
Sheria imefuatwa ndio maana bila VPN huwezi kutumia WhatsApp
Kwa hiyo hii sio sahihi sio?

"Ukweli ambao wengi hawaujui ni kuwa China haijawahi kuifungia mitandao ya kijamii ya Marekani, ila mitandao ya Marekani ilikimbia kutoa huduma China"​

Kwa hiyo hii sio sahihi sio?

"Ukweli ambao wengi hawaujui ni kuwa China haijawahi kuifungia mitandao ya kijamii ya Marekani, ila mitandao ya Marekani ilikimbia kutoa huduma China"​

Ni sahihi, ni kitu gani haujaelewa mkuu?
 
TikTok kupigwa ban USA ni sahihi, tena wamecheleweshwa...mbona China mitandao ya marekani imepigwa ban. ..mpaka kutumia VPN ndio kupata access. ...
Jibu ni rahisi mitandao ya Marekani haipo China kwa sababu wameshindwa kufuata shsria za China
 
Wewe unaongolea nadharia na pia unaunganisha mambo yasiyohusiana, pia sidhani kama unaelewa maana ya ultimate decision.
Mambo ya Snowden, WikiLeaks na Pagers za Hamas wala hayahusiani na mada ya mleta uzi. Udukuzi uliozungumziwa na Snowden sio jambo lililoidhinishwa kwa mujibu wa sheria za Marekani ndio maana ikawa scandal. Mjadala kuhusu China sio udukuzi wa serikali kwa kificho kwamba ikigundilika serikali inaweza kupelekwa mahakamani au kuzua mjadala, Kinachozungumzwa kuhusu serikali ya China ni kuwa na mamlaka ya kisheria kupewa taarifa zozote binafsi bila kizuizi chochote au check and balance yoyote.
 
Hata kama kweli CIA na FBI wangekuwa na access kama hiyo waliyo nayo serikali ya China katika makampuni, CIA na FBI hawajawa na tuhuma za kutumia hiyo access kukandamiza wapinzani na wakosoaji wa kisiasa wa serikali iliyo madarakani Marekani.
 
Umenikumbusha wakati mwendazake John f Kennedy anapiga marufuku SIGARA za kutoka cuba, ye alijiwahi akaagiza pakti kama buku hivi kisha ndio akapiga marufuku 😂🤣
 
Tufanye umeshinda mkuu, ila hizo taarifa zipo na wanazipata muda wowote wanaotoka, ila ni uhuru wako kukataa
 
Hata kama kweli CIA na FBI wangekuwa na access kama hiyo waliyo nayo serikali ya China katika makampuni, CIA na FBI hawajawa na tuhuma za kutumia hiyo access kukandamiza wapinzani na wakosoaji wa kisiasa wa serikali iliyo madarakani Marekani.
 
Sikupingi tangu kuanguka kwa Soviet Union dunia imekuwa ikihitaji balance of power na China na Russia ziko kazini kwa hilo
balance of power huipat kwa kuvamia Taiwan au Ukraine bali ni kuwakusanya wanyonge kwa ushawishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…