wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
Nataka unipe huo utaalamu waliokua wanatutishia wazazi wetu kua watatulaani. Ili na me nikae nao kama dharula, siunajua tena watoto wa skuhizi unaweza ukamtishia "nakulaani", alaf anajibu "sawa nilaani kama unaweza", mzazi unabaki kushangaa mawingu tu ๐๐๐๐Hmm kamefanya nini na unataka ukafanye nini? Watoto wadogo hawajitambui bana labda usubiri wawe watu wazima ndio urushe kombola
Fresh tu mkuu ๐คฃHata usipo kata tamaaa, haimaanishi utafanikiwa, unaweza usikate tamaa na bado ukafeli tu haijalishi muda kiasi gani.!!
๐๐ NiacheWe lichokozi๐
Wavunjie heshimaMnatuchanganya bana๐
Kwahiyo nikifanya kosa gani nalaanika nianze kuwa na mipaka๐
Kama wewe tu๐Wakubwa wanafaidi ๐๐๐
Mwenyew ndio jibu ningetoa! Nakumbuka tu mdogo wangu alikuwa anataka apewe milion 4 na mama akanunue pc๐ณ, mama akamnyima akaniambia mimi nikafute used uko chuoni hata ya 400k nimpe! Mdogo wangu alinipigia woiii aliongeaa kama kuna laana ya mzazi mimi naitafuta! Nikawa nasubiri kombola wapi! Hapa ndio nasubiri ushuhuda ili nikae wimawima isije kunikuta mie๐Nataka unipe huo utaalamu waliokua wanatutishia wazazi wetu kua watatulaani. Ili na me nikae nao kama dharula, siunajua tena watoto wa skuhizi unaweza ukamtishia "nakulaani", alaf anajibu "sawa nilaani kama unaweza", mzazi unabaki kushangaa mawingu tu ๐๐๐๐
Ntakulamba kofi๐ซด๐พ๐๐ Niache
Mimi nipewe tu pesa jamani tofauti na hapo nitakuwa sina option๐Na ndugu zetu wanawake muwe Wapole, siyo Kila mwanamke ataolewa, huu ni ukweli mchungu ๐คฃ
Niwatukane au niwapige?Wavunjie heshima
thanks Seran, moments creat memories ni ngumu kufutikaPolee sana, i lost a sis too, inaumiza kuliko kawaida.. am still healing Kwakweli
Thanks SisNi kweli ๐
Pole sana, maumivu na uchungu ni malipo ya upendo wetu kwa wale waliotangulia.
Nakuombea upate ahueni na faraja ๐ !
๐๐๐๐Wazazi wa zamani wametutesa sana. Unaishi kwa uoga, unaogopa kuongea ukweli mzazi akikukosea, unashindwa kuuliza maswali pale unapokandamizwa kisa laana.. Nilivojitambua na kuelewa there is no such thing nikasema ENOUGHMwenyew ndio jibu ningetoa! Nakumbuka tu mdogo wangu alikuwa anataka apewe milion 4 na mama akanunue pc๐ณ, mama akamnyima akaniambia mimi nikafute used uko chuoni hata ya 400k nimpe! Mdogo wangu alinipigia woiii aliongeaa kama kuna laana ya mzazi mimi naitafuta! Nikawa nasubiri kombola wapi! Hapa ndio nasubiri ushuhuda ili nikae wimawima isije kunikuta mie๐
Usiwafanyie vyote hivyo. Utapata baraka bila kujua zimetoka wapiNiwatukane au niwapige?
achana nae kwanin upoteze nguvu zako kubishana nae?Ndio hiki nimeandika Halafu kuna tahira anakuja kusema nipunguze mihemko
Sana!! Hugs ๐ซ comrade, u shall overcome this!thanks Seran, moments creat memories ni ngumu kufutika
Dahh wacha mimi niendelee kuwazoom kwa mbali tu..๐๐๐๐Wazazi wa zamani wametutesa sana. Unaishi kwa uoga, unaogopa kuongea ukweli mzazi akikukosea, unashindwa kuuliza maswali pale unapokandamizwa kisa laana.. Nilivojitambua na kuelewa there is no such thing nikasema ENOUGH
Nauliza tu, biafsi siwezi kwanza my mom alivyo mkoloni atanikaanga kablaUsiwafanyie vyote hivyo. Utapata baraka bila kujua zimetoka wapi