Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

Nimekuele

Nimekuelewa sana aisee parachichi tuko nayo hapa makambako ila mh sijaielewa sana hii tunda
Nyie watu mkichinguza kila kitu Africa kiendacho nje ni hivyo hivyo vikwazo kibao. Nini utafanya Africa kisiwe na vikwazo ?
Kuna vikwazo vya ndani na nje na kunavikwazo vya NATURE kama hali ya hewa.
Leo mahindi sh elf8 je mkulima atatoka ?
Viazi mviringo jan vilikuwa elf 20. Mkifanya anallytical research mfanye mazao yote mtaona ni bure tu.
Binafsi nilifanya tafiti ya mawese kwetu kigoma mambo niliojifunza nikaamua bora nipande parachichi. Nikaingia simulteneous na kilimo cha miti. Kote ni changamoto.
Kutobua hapa TZ na Africa inahitaji akili nyingi sana na bahati pia.
 
Mbona umekalili maisha aliekwambia soko la maana ni china ni nani? Mbona US na Canada wana exemption ya kodi kuingiza mazao kutoka africa? Offcorse quality control ni muhimu lakini parachichi ukifuata mashart kupata zaidi ya 1MIL USD ni mpigo mmoja tu.
 
Ni hakilipi kwa Tanzania pekee au Dunia nzima? Shida iko hapo, Ukifuatilia Wakenya wanakimbizana na Parachichi balaa.
Ndio hapo sasa miaka nane yote hiyo hajawahi kuexport anauzia wachuuzi tu..wachuuzi wanawapanga kuwalilia shida ili muwauzie kwa bei ya kutupa wakati avo 1kg ni more than 4USD kwa marekani bei ya jumla🤣 alafu anakhja kulialia humu, parachichi inalipa lakini unayo pesa ya kuwekeza?
 
S
Swadkta ila n kupambana na kuomba MUNGU
 
Watanzania wamekazana kula Mapera wazungu wachina nk wanakula parachichi. Lini tuta amka ? Wazungu wanasafirisha parachichi maelfu ya miles sisi Singida tu hapo karibu watu hawana mda na kula maparachichi. Kama unashindia mapapai unategemea upate akili ya kuuza bidhaa yako ? Kumuamsha mtu mweusi ni kazi kubwa .
Achana na bidhaa za viwandani matumbo yetu tu hapa TZ yanatosha kuwa kiwanda.
Anzeni kuwaza namna gani jamii yetu ianze kula parachichi kwa wingi, afya zetu zitaimarika sana. Yaani tupo busy kujadili kuboresha Afya za Wachina wazungu nani katuroga ?
Vilevile anza kuwaza namna gani ya kuchakata parachichi kama bidhaa ya kuzalisha bidhaa zingine.
 
Watu
Yote watu hata wakiwaza bila uwekezaji ni nawazo mfu tu.tuwazecila tujue Kuna hitajika uwekezaji mkubwa
 
Serikali ingeanzisha viwanda vya mafuta yatokanayo na avocado ili kunusuru wakulima wa zao hili dhidi ya kutegemea nchi za nje.Au serikali ihimize wawekezaji wajenge viwanda vya mafuta
 
Mbona umekalili maisha aliekwambia soko la maana ni china ni nani?
Main destinations za soko la parachichi la Tanzania ni wapi kama sio China.
Mbona US na Canada wana exemption ya kodi kuingiza mazao kutoka africa?
Kwahiyo mkulima wa ekari 5 kule Njombe mwenye mtaji wa milioni 20 za kubangaiza asome madaftari ya wapi kuna tax exemption kisha alime parachichi ili akauze Marekani na Canada?
Offcorse quality control ni muhimu lakini parachichi ukifuata mashart kupata zaidi ya 1MIL USD ni mpigo mmoja tu.
Sawa fuata hayo masharti upate $1M tuone.
Hiyo comment yangu ina miezi kibao humu na sijawahi ona mtu ananipinga kwa kuniprove wrong. Wala usiteseke kulima, wapo wakulima kibao hata bei ya buku kwa kilo wanakuuzia, nunua upeleke Canada upate hiyo $1 millio
 
Bro kama unapesa nenda China tafuta kampuni la vipodoz waoneshe
Tungejikita kwenye kuzalisha mazao ya viwanda ie Machungwa, Maembe, Limao za juisi hizi huwa hazina mbegu nyingi, zina maji mengi.

Sasa machungwa ya Tz huvunwa hata kabla ya muda wake, pia yana mbegu nyingi sana
Natafuta99
Wakenya wana exposure ya international Business wanajua kusaka masoko ya nje ya nchi na wanajua procedure na ubora wa bidhaa zinazoweza uzika nje so usilaumu viongozi kwa jambo usilolijua
 
location Njombe
 

Attachments

  • Screenshot_20241104-211059_1.jpg
    162.6 KB · Views: 3
Mpaka sasa kwa investigation niliyofanya heka moja unapata mapato ya shillings millioni 1350000 hadi 1550000 kwa parachichi ya miaka 5-6 shambani ikiwa na interval ya kuweka samadi kwa muda wa miaka 2-3 , palizi mara mbili kwa mwaka bila kupulizia dawa yoyote ile na kwa sasa niko field naendelea kukusanya data.
 
Mkuu fangasi hazishambilii. Bila kupulizia dawa, vimelea huko havipo ?
 
Wazee wa parachichi kwenda nje ya nchi bdo mpo?
Kuna jamaa ana nunua ukiwa na mzogo
 
Parachichi mwaka huu chache mvua ilipiga maua yamepukutisha sana mzigo unaadimika na soko la uchina limefunguka
Sio China tu. Kuna hyo jamaa ukiwa na mzigo ananunua. Yeye upeleka uarabuni

Tembele tiktok uone kazi yake
 
Mkuu fangasi hazishambilii. Bila kupulizia dawa, vimelea huko havipo ?
Mkuu ili shamba nililotembelea ni organic 100% kuna heka 8 . Huyu mkulima apulizii dawa yoyote . Kuhusu fungal ipo ila aina maradhi sana . Sema wakulima wengine utumia tankopa na sulphur ya unga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…