Ukweli Humuweka Mtu Huru: Nimechoka Kujiuza, Nimechoka.

Kuwa nje ya mawasiliano for time
Huo muda utumie ili kuponya majeraha yako then muda mwingi mrudia Mungu na fanya shughuli za jamii
 
Kuamini topics zingine nako kunahitaji moyo, unaweza kuta ni Mwanaume ameanzisha mada ilimradi tu kupima responses za watu humu...au Chai tu hii😂
Kabisa yawezekana
 
Hahaha huyu wala sio demu nawashangaa wajinga mko bize kushauri, tena hiyo ni id fake, kwa akili yako unadhani mhusika anaweza kutaja jina lake bayana! Since huyu ni mwamba anawachota mkajae dm awapige hela😂😂😂😂
 

Kipindi kile nasema Uache kujiuza na humu JF ulikuwa unakataa kabisa na kunitukana. Tutajuaje umeacha kweli na si unajitangaza
 
Naona biashara inatangazwa kijanja hapa.😁

Vipi unapiga miguu yote bibie,tukustaafishe kwa heshima!!😀
 
Usiache kipaji kiende na maji hivi hivi tu kama umri wako wa kustaafu bado. Hayo ni majukumu katika kuhudumia jamii.
 
Nice try.

4 attempts

4 off target


0 on target
 
Diana yule anayejifanya yupo kinyerezi?
Mimi nikiona binti anajiuza namuonea huruma sana maana najua amekutana na hali ngumu mno kiasi cha kuamua kuuza utu wake
Sio wote walikuwa na hali ngumu ndo wakajiingiza huko, Sasa mtu ana miaka mitano anajiuza huyu utasema amekosa mtaji wa kufungua biashara yoyote au ndo hvy kujiuza n starehe yake?
 
Sio wote walikuwa na hali ngumu ndo wakajiingiza huko, Sasa mtu ana miaka mitano anajiuza huyu utasema amekosa mtaji wa kufungua biashara yoyote au ndo hvy kujiuza n starehe yake?
Labda kuna mambo ya kiroho yanaingia hapo.

Mtu anakuwa amefungwa spiritually.
 
kila la kheri na mwenyezi Mungu akawe nguzo kuu katika msimamo wako huu kuhusu maisha mapya
 
Huo ndio mwisho wa wanaokejeli ndoa na kujigamba kwamba watayaweza maisha bila mme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…