Lipia tangazo!Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.
Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii,
Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani,
Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari.
Inafikia mahali mpaka nashindwa kukatiza mbele ya kundi la akina mama kwani ni lazima watanisema tu.
Sina raha na nyumba yangu
Sina raha na gari yangu wala biashara yangu.
Nimeamini kuwa kuna umri na wakati ukifika, vyote vya nyuma huwa ni simulizi ila si kwa simulizi yangu.
Siwezi changia mada ambayo ndani yake madadapoa wametajwa kwani mfano utarudi kwangu dhahiri.
Nimejaribu kubadili laini za simu mara kadhaa ila haijasaidia.
Nimejaribu kutulia ndani kwangu ila imeshindikana.
Ushauri wenu nauhitaji mno
Na laiti marehemu mama na pacha wangu wangekuwa hai, sidhani kama leo hii ningekuwa kahaba.
Najuta, Najuta na Najuta mnoooooo!!!!
Nicheki DM kama unahitaji kunisaidia.
Nkuja huko DM usije kunitangazs tu man nina mke humu LamomyKuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.
Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii,
Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani,
Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari.
Inafikia mahali mpaka nashindwa kukatiza mbele ya kundi la akina mama kwani ni lazima watanisema tu.
Sina raha na nyumba yangu
Sina raha na gari yangu wala biashara yangu.
Nimeamini kuwa kuna umri na wakati ukifika, vyote vya nyuma huwa ni simulizi ila si kwa simulizi yangu.
Siwezi changia mada ambayo ndani yake madadapoa wametajwa kwani mfano utarudi kwangu dhahiri.
Nimejaribu kubadili laini za simu mara kadhaa ila haijasaidia.
Nimejaribu kutulia ndani kwangu ila imeshindikana.
Ushauri wenu nauhitaji mno
Na laiti marehemu mama na pacha wangu wangekuwa hai, sidhani kama leo hii ningekuwa kahaba.
Najuta, Najuta na Najuta mnoooooo!!!!
Nicheki DM kama unahitaji kunisaidia.
NdioMume tena? š¤š¤
Hakuna cha mambo ya kiroho wala kirobaLabda kuna mambo ya kiroho yanaingia hapo.
Mtu anakuwa amefungwa spiritually.
Wewe utakubali kuuziwa gari ambalo limechakaa beyond repair?Ndio
Kwani kwenye kujiuzaBaada ya kuacha je umepata kazi mbadala mkuu
Umechoka au umezeeka?Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.
Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii,
Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani,
Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari.
Inafikia mahali mpaka nashindwa kukatiza mbele ya kundi la akina mama kwani ni lazima watanisema tu.
Sina raha na nyumba yangu
Sina raha na gari yangu wala biashara yangu.
Nimeamini kuwa kuna umri na wakati ukifika, vyote vya nyuma huwa ni simulizi ila si kwa simulizi yangu.
Siwezi changia mada ambayo ndani yake madadapoa wametajwa kwani mfano utarudi kwangu dhahiri.
Nimejaribu kubadili laini za simu mara kadhaa ila haijasaidia.
Nimejaribu kutulia ndani kwangu ila imeshindikana.
Ushauri wenu nauhitaji mno
Na laiti marehemu mama na pacha wangu wangekuwa hai, sidhani kama leo hii ningekuwa kahaba.
Najuta, Najuta na Najuta mnoooooo!!!!
Nicheki DM kama unahitaji kunisaidia.
Kwani katika maelelezo yake amezungumzia hili au unamuanza tuWeka majibu yako ya Ukimwi humu
Da khantwe huyo mume wake Akiwa kaka Yako utafurahishwa na Hilo !?Hili nalo wazo zuri š
Magari mengi yapo hivyo siku hizi, haina makombo ndio maana hamshtukiiWewe utakubali kuuziwa gari ambalo limechakaa beyond repair?
Hakuna Mwanaume anayetaka kujenga familia na Kahaba,watu huangalia historia ya Mwanamke.Atafute na mume wa kujenga nae familiaš