1. Kwa imani ya kikristo, uwepo wa dunia na vyote vilivyomo umejengeka kutokea katika kitabu cha Mwanzo.
2. Kwa mujibu wa kitabu hicho binadamu aliumbwa siku ya sita baada ya awali kuumbwa mbingu na nchi.
3. Kwamba hapo #2; day 1: kuliumbwa nuru katika giza; day 2: kukaumbwa mbIngu day 3: ardhi, bahari, mito, mImea; day 4 : jua, mwezi, nyota; day 5: viumbe wengine wote.
4. Kwamba day 6: akaumbwa binadamu ili avitawale vingine vyote.
5. Hakuna popote penye kuonyesha kuna aliyeumbwa popote pengine special tofauti na hapo.
6. Hakuna popote penye kuonyesha nchi iliyoumbwa na Mungu ilikuwa na mipaka.
7. Kwamba kwa uamini huu, historia yetu inaanzia hapa na ndipo day 0; kwamba mwingine yeyote mwenye yake tofauti na hii, kikristo hiyo ni batili.
8. Haina shaka hii dunia bwerere kama ilivyo tulipewa sote na hayupo aliye mjomba zaidi wa Mungu kuliko mwingine.
9. Kwa imani hii ya kikristo, kwa nini ni vigumu kuuvaa u "Tiganga" na kutamka bayana:
I. Wazo la uwepo kwa walio wajomba zaidi wa Mungu ni batili.
II. Watu wote ni ndugu, baba mmoja mama mmoja.
III. Mahasimu wanaogombana kwa jina la upalestina au uisraeli wakaishi pamoja.
IV. Kila mtu akawajibike na gharama zake za kesi.
Natoa amri!