- Thread starter
- #61
umemwelewa kwanza ?
Nimemwelewa sana na laiti asinge nifingamanisha humo ingekuwa vyema zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umemwelewa kwanza ?
Hii title ya thread yako sijailewa. Unaweza kuifafanua?
Wakristo wasio haki ?"Ukweli kuhusu Gaza, usiopendwa na wakristo wasio haki."
1. Ukweli - Uhalisia wa hakika uliopo.
2. Usiopendwa - unaoepukwa, usioongelewa, usiokidhi maslahi fulani.
3. Wasio haki - wale wenye jambo la kuficha, wenye hila, waongo, wapotoshaji, wabinafsi.
Hadi hapo bado kuna kisichoeleweka?
Wakristo wasio haki ?
Ww ni nani hasa hadi kuweza kusema "wakristo wasio haki"?
Wakristo walio haki ni kina nani hasa ?
Ww unaona ulivyoandika hapo ni point kabisa.1. Nimetafsiri kwa ufasaha kila kitu pale kasoro neno wakristo.
2. Wakristo ni watu kama walivyo waislam, baniani, mabuddha, watanzania, wagogo, wasukuma nk.
3. Key words ni "wasio haki" wewe huoni kuwa kuwa kwa hali hiyo kama binadamu "walio haki" na "wasio haki" huwapo?
4. Angalizo jikite kwenye mada badala ya kukaza ubongo.
5. Kilichoandikwa kote ni kiswahili usitake kulazimisha yako yasiyokuwapo.
Ww unaona ulivyoandika hapo ni point kabisa.
Epuka kuweka watu na imani zao katika makundi. Huna haki wala mamlaka ya kufanya hivyo.
Na pia mbaya zaidi mwishoni unamalizia kwa kuandika "Ni amri".
Amri kwa nani? Ww ukiwa kama nani?
Katika dunia kuna madhehebu mangapi ?
Why single out Wakristo ?
Katika ukristo kuna madhehebu mangapi ?
Na unakuja na mbanga za kukaza ubongo.
Ww umekaza shingo au unatumia kichwa kama kifunikio cha shingo?
Mkuu hili ni JANGA, maneno makali sana haya wanafundishana hawa wahuni.
Mm sio mjomba wako.1. Huna lolote mjomba; Soma mada kuelewa (if you like); wapi nimetoa amri?
2. Wacha kurukia treni Kwa mbele.
3. Usinitishe wala tusitishane!
4. Kipi kipya katika nilichoandika?
Bure kabisa!
Mm sio mjomba wako.
Soma mwisho wa andiko lako.
Neno "Natoa Amri" lipo kama bumper sticker?
Nikutishe for what hasa? You mean nothing to me.
Kuna watanzania wawili wameuawa ukanda wa Gaza. Hilo hujaona kama ni jambo la maana na kuzungumzia ukaamua kuamka na Wakristo.
Get your shit together
dunia iruhusu silaha ziingie Palestina ili nao wajilinde sasa.
1. Ukuongelea archeologists, unarudi kwenye history ambayo umetaka isiongelewe.
2. Kwamba upo upo hujui unasema au husemi nini.
Usipofuata anachoandika mtu nadharia anazoandika mtu kumbe utaziona je?
Wajilinde dhidi ya nani wakati adui yao mkubwa magaidi ya Hamas yanadhibitiwa na Israeli.
Natumia zaidi ya nadharia kujua kundi lako.... LIKES zako zilifanya nimekuweka kwenye kundi la magaidi wa waislamu.
Onyesha moja niione .. ukweli mchungu, huna na huwezi kuipata!
Zile silaha walizotumia kufanya ugaidi October 7 wanazipata wapi kwani?!Adui wa Palestina sio Hamas, adui wa Palestina ni Israel, Israeli amepewa mamlaka yakumiliki silaha zote huku adui yake Palestina akifungwa mikono.
Suluhu ni kumruhusu Palestina naye amiliki silaha, awe na jeshi na aruhusiwe kujilinda na kupambania madai yake, dunia iwaache waishi hivyo mpaka wenyewe siku watakayoamua na kuona sasa wanahitaji amani.
Ni ujinga, kumuacha Israeli afanye anayofanya huku tukijua anaowafanyia hivyo hawana silaha na hawaruhusiwi kumiliki silaha.
Zile silaha walizotumia kufanya ugaidi October 7 wanazipata wapi kwani?!
Zile silaha walizotumia kufanya ugaidi October 7 wanazipata wapi kwani?!
Yes wapigwe pini maana wakipata silaha kubwa wataleta zaidi maugaidi IsraeliZile ni homemade hakuna silaha.
Hata yale marockets mengi ni homemade.
Palestina wanaviwanda vidogovidogo vya kienyeji kutengeneza silaha ndogo ndogo za kujilinda maana wamepigwa pini kila mahala ili wasiingize silaha kutoka kokote kule.