Masuala ya nani kaumbwa siku ya ngapi au swali lolote la kidini huwa sihangaiki kuumiza akili, mimi ni muumini wa uwepo wa Yesu Kristo, haya masuala ya kiimani ni personal experience na sio kitu ninachoweza kudhihirisha kwa mtu mwingine, na ndio maana siwezi kufanya kama ambavyo nyie hufanya, kuchinja watu mkiwalazimisha dini.
Sina namna ya kumdhihirishia mtu yeyote uwepo wa Mungu, maana mwenyewe experience yangu na Yesu sina namna ya kuieleza kisayansi au kwa mtu anayefuata logics au common sense.
Hivyo hata nyie na huyo muarabu wenu hamna namna ya kudhihirishia mtu yeyote hapo Tandale zaidi ya kuvaa mikanzu, kuotesha ndevu na makobaz mkitembea.
Hamna siku hata moja utanikuta kwenye ligi ya kidini, eti dini ipi ndio kweli, hayo huwa naachia Yesu mwenyewe atembelee wasiomtambua namna alivyonitembelea, sio kitu cha kulazimishia mtu. Nimeshuhudia waislamu waliotembelewa na Yesu wakibadilika wenyewe, mtu anapata hiyo personal experience aidha anaponywa kimiujiza baada ya maombi.
Hutanikuta napambana na athests wa humu kama akina
Kiranga wanapolumbana na akina
Bwana Utam