Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Yes wapigwe pini maana wakipata silaha kubwa wataleta zaidi maugaidi Israeli
kwahiyo aachwe Israeli afanye maugaidi na kuua mamilioni ya watu, Yaani Istaeli ni ruksa kuua na ndio mwenye haki ya kujilinda, ila Palestina ndio hana haki.