Si kuwa uhangaike kutafuta, ushahidi huna na hutakaa uupate.
1. Imekuwa siku njema ya nyama choma, ndizi choma, malimao chumvi, pili pili, vishushio, nk; yaani full burudani!
2. hIvi wasiraeli waliumbwa siku ya ngapi? Wapalestina nao je?
3. Ni hayo tu kwa hIvi vitu choma muwajibike wenyewe kama familia tena naturally - nje kwa kuni. 😀
Katika hicho kitabu cha mwanzo soma vizuri utaona kuwa Mungu alianzisha taifa ili kujifunua kwa wanadamu na kupitia taifa hilo kwa maana ya kizazi baada ya kizazi akazaliwa mwana wa Mungu ili kuokoa wanadam na ukisoma vizuri utaona kuwa kitabu hichohicho cha mwanzo mwana ibilisi naye akaanzisha taifa ili kupingana na na vya Mungu na ukisoma kwa umakini utaona kuwa mwanzilishi wa taifa hilo alifukuzwa toka kwa babaye na ya kuwa mwanzilishi wa raifa hilo hakupewa urithi au baraka ya ardhi na ndiye huyo watu wake leo hii wanalalamika na kusema ardhi ni yetu yetu.1. Kwa imani ya kikristo, uwepo wa dunia na vyote vilivyomo umejengeka kutokea katika kitabu cha Mwanzo.
2. Kwa mujibu wa kitabu hicho binadamu aliumbwa siku ya sita baada ya awali kuumbwa mbingu na nchi.
3. Kwamba hapo #2; day 1: kuliumbwa nuru katika giza; day 2: kukaumbwa mbIngu day 3: ardhi, bahari, mito, mImea; day 4 : jua, mwezi, nyota; day 5: viumbe wengine wote.
4. Kwamba day 6: akaumbwa binadamu ili avitawale vingine vyote.
5. Hakuna popote penye kuonyesha kuna aliyeumbwa popote pengine special tofauti na hapo.
6. Hakuna popote penye kuonyesha nchi iliyoumbwa na Mungu ilikuwa na mipaka.
7. Kwamba kwa uamini huu, historia yetu inaanzia hapa na ndipo day 0; kwamba mwingine yeyote mwenye yake tofauti na hii, kikristo hiyo ni batili.
8. Haina shaka hii dunia bwerere kama ilivyo tulipewa sote na hayupo aliye mjomba zaidi wa Mungu kuliko mwingine.
9. Kwa imani hii ya kikristo, kwa nini ni vigumu kuuvaa u "Tiganga" na kutamka bayana:
I. Wazo la uwepo kwa walio wajomba zaidi wa Mungu ni batili.
II. Watu wote ni ndugu, baba mmoja mama mmoja.
III. Mahasimu wanaogombana kwa jina la upalestina au uisraeli wakaishi pamoja.
IV. Kila mtu akawajibike na gharama zake za kesi.
Natoa amri!
Katika hicho kitabu cha mwanzo soma vizuri utaona kuwa Mungu alianzisha taifa ili kujifunua kwa wanadamu na kupitia taifa hilo kwa maana ya kizazi baada ya kizazi akazaliwa mwana wa Mungu ili kuokoa wanadam na ukisoma vizuri utaona kuwa kitabu hichohicho cha mwanzo mwana ibilisi naye akaanzisha taifa ili kupingana na na vya Mungu na ukisoma kwa umakini utaona kuwa mwanzilishi wa taifa hilo alifukuzwa toka kwa babaye na ya kuwa mwanzilishi wa raifa hilo hakupewa urithi au baraka ya ardhi na ndiye huyo watu wake leo hii wanalalamika na kusema ardhi ni yetu yetu.
Masuala ya nani kaumbwa siku ya ngapi au swali lolote la kidini huwa sihangaiki kuumiza akili, mimi ni muumini wa uwepo wa Yesu Kristo, haya masuala ya kiimani ni personal experience na sio kitu ninachoweza kudhihirisha kwa mtu mwingine, na ndio maana siwezi kufanya kama ambavyo nyie hufanya, kuchinja watu mkiwalazimisha dini.
Sina namna ya kumdhihirishia mtu yeyote uwepo wa Mungu, maana mwenyewe experience yangu na Yesu sina namna ya kuieleza kisayansi au kwa mtu anayefuata logics au common sense.
Hivyo hata nyie na huyo muarabu wenu hamna namna ya kudhihirishia mtu yeyote hapo Tandale zaidi ya kuvaa mikanzu, kuotesha ndevu na makobaz mkitembea.
Hamna siku hata moja utanikuta kwenye ligi ya kidini, eti dini ipi ndio kweli, hayo huwa naachia Yesu mwenyewe atembelee wasiomtambua namna alivyonitembelea, sio kitu cha kulazimishia mtu. Nimeshuhudia waislamu waliotembelewa na Yesu wakibadilika wenyewe, mtu anapata hiyo personal experience aidha anaponywa kimiujiza baada ya maombi.
Hutanikuta napambana na athests wa humu kama akina Kiranga wanapolumbana na akina Bwana Utam
Sina haja ya kuutafuta maana niliutumia kukuweka kwenye kiwango kimoja na magaidi ya humu.
Mtu akiweka bango la hovyo, kila atakayelipa LIKE huwa amefungamana na hiyo kauli.
Fundisho hujengwa kwa maandiko zaidi ya 1 ndiyo kanuni ya biblia. Haitakiwi kuchomoka na mstari mmoja then ujenge fundisho kupitia mstari huo kwa lengo la kutaka kuonyesha biblia inaunga mkono kile unachoamini. Maana wewe kuna unachoamini sasa basi ulichofanya ni kutafuta mstari wa biblia then ndo ukaandika hayo uliyoandika kwa lengo la kuonyesha biblia inaunga mkono ingawa umejificha ficha hivi🤣😂😆Mkuu haya mambo ni njema zaidi kwenda hoja Kwa hoja:
1. Nilitegemea uonyeshe kama kuna mtu aliumbwa tofauti na siku ya 6.
2. Nikategemea kama kuna ardhi hakupewa binadamu na Mungu.
3. Nikategemea ukanushe kama sisi sote si wajomba kamili wa Mungu.
4. Vinginevyo pote nilipoandika ni kweli na kweli tupu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Fundisho hujengwa kwa maandiko zaidi ya 1 ndiyo kanuni ya biblia. Haitakiwi kuchomoka na mstari mmoja then ujenge fundisho kupitia mstari huo kwa lengo la kutaka kuonyesha biblia inaunga mkono kile unachoamini. Maana wewe kuna unachoamini sasa basi ulichofanya ni kutafuta mstari wa biblia then ndo ukaandika hayo uliyoandika kwa lengo la kuonyesha biblia inaunga mkono ingawa umejificha ficha hivi🤣😂😆
1. Sihangaiki na historia pia lakini nimelazimika kujiangalia baada ya kukuona ukikomalia kuwa Israel alipewa eneo na Mungu.
2. #1 hapo' ikanifanya kuikumbuka historia tokea day 0.
3. Kwamba hupendi kuangalia ilikuwaje kuanzia kwenye uumbaji?
4. Jibu la #3 hapo ni kuwa si wewe peke yako; wenzako hawa hapa:
"Ukweli kuhusu Gaza, usiopendwa na wakristo wasio haki."
5. Wakristo wasio haki hawawezi kuupenda ukweli huo, laiti ungefutwa!
1. Ushahidi huna na huwezi kuupata zaidi sana nikuonyeshe hii hapa ikikupendeza:
Kufanana kwa Wanaowanyanyapaa kina Mwabukusi na visa vya Yesu
2. Kutambua kuwa ninaandika kutegemea haki iliko na si mahaba mshindo.
Shida tupu broKupigwa mpigwe na wayahudi lawama wapewe wakristo.
Hamna sehemu wala hata siku moja nimesema Israel wamepewa ardhi na Mungu, nimekuambia sina namna ya kudhihirisha uwepo wa Mungu dunia hii, japo mimi ni muumini, hiyo ni personal experience, ni kitu waislamu mnapaswa kujifunza, kutokulazimisha watu haya mambo ya dini.
Kwa kifupi kila sehemu ina historia yake ya namna gani watu walivyoishi pale, kwa mfano Wayahudi waliishi hapo hata kabla muarabu hajabuni hiyo dini yenu.
Archaelogists wamegundua ushahidi wa kutosha kuhusu uwepo wa Wayahudi pale maelfu ya miaka.
Hao Waarabu wenu wangekubali kuishi na Wayahudi kwa amani, sema dini yenu hairuhusu na ndio maana mumeweka hili agano la kuwafuta Wayahudi na mtafutika sana.
Nilikuambia mimi huwa sifuati tu kile mtu anaandika, ili kujua ulivyo na ili nikuweke kwenye kundi lipi nafuata zaidi ya nadharia unazoandika.
hahahaaaaKupigwa mpigwe na wayahudi lawama wapewe wakristo.
umemwelewa kwanza ?"mpigwe" - ukimaanisha kina nani ndugu? Hata miye Kisaki huku ninayesubiria kitoto Yesu kuzaliwa?
Kwani wewe ni katika wale wasio haki?
waarab wameanza vamia israel tang 19271. Mkuu mimi siteseki hata chembe ila ujumbe huu ni mwuungwana labda kuliko wewe:
View attachment 2851454
2. Kuna jumbe zaidi huku:
View attachment 2851455
3. Kumbe uvamizi hapa haukuanza 0ct. 7:
View attachment 2851457
4. Kumbe kumekuwa na uvamizi tokea miaka ya 1948?
5. Kwa hiyo kwako na makasiriko yako dhidi ya dhwalimu ni kuanzia lini ndugu?
6. Nikadhani tuanzie day 0?
waarab wameanza vamia israel tang 1927